Live kutoka kuzimu!

Nimeshalijibu swali Hilo tena Kwa kutumia maandiko kabisa.

Nakusihi Rudi Polepole, soma tangu page one na Kila nilipoquote maandiko jiridhishe mwenyewe Kwa kutumia BIBLIA .
 
Nilinotice kitu hicho,

Yesu anarefer "Huyo",

BIBLIA anarefer " Kitabu chenu".

Hakuna kitu shetani na ufalme wa kuzimu Huwa wanachukia kama kufichua Siri zao!!

Ubarikiwe Kwa kunotice jambo Hilo.
Kwamba kurefer Huyo ni kosa,hivi mbona hamuijui biblia kiasi hiki?

Yaani hata maandilo yameandika haya mambo kwa muundo huu,leo mimi naonekana agent wa shetani,jamani acheni upuuzi wa kidini,tena kama wewe huna cha kunieleza kuhusu uzima huu.

Ninyi mnapotosha watu,na mkiulizwa maswali mnajibu ujinga tu,ila ninyi haohao mnajifanya kunirekebisha,mna nini cha kunifundisha kuhusu biblia hii kikanijenga tofauti na kuongelea umizimu?

Yaani mnapata wapi nguvu ya kumuita mtu usiyemjua agent wa ibilisi kisa amekuhoji yale usiyoweza kumueleza?

Jibuni kwa hekima sana,msijione ni ninyi tu mnaijua biblia.
 

[emoji3][emoji3][emoji3]umevurugwa wewe
 
[emoji3][emoji3][emoji3]umevurugwa wewe
Hata YESU kristo wa Nazareth,

Mungu aliyeshuka Toka Mbinguni katika mwili aliitwa ana Pepo, so sishangai wewe kuniita hivyo.

Yesu mwenyewe ameeleza UKWELI kuhusu kuwepo kuzimu na mateso ya moto katika (Luke 16:19-31).

Ninakuombea Neema na Rehema uokoke kabla ya kufa usije ingia kuzimu ya moto usipotubu.

Aamen
 
Nilinotice kitu hicho,

Yesu anarefer "Huyo",

BIBLIA anarefer " Kitabu chenu".

Hakuna kitu shetani na ufalme wa kuzimu Huwa wanachukia kama kufichua Siri zao!!

Ubarikiwe Kwa kunotice jambo Hilo.
Eti kufichua siri,shetania na siri gani sasa?

Si nimeuliza mnionyeshe neno la Mungu kwa ujumbe huu,haya nionyeshe!

Acheni kudhani kuwa mko salama sana,ndio maana mapepo hayawatoki maana mnapenda sana habari zake!

Hayo maandiko mtapotosha sana na rohp hizo usemazo,hapo juu mtu amekuuliza unamwambia aanze upya kusoma,umejuaje kama hajasoma na hajaona hoja ndani yake?

Ninyi mliojikinai,mmepata wapi nguvu kuita wale wanaowauliza habari zenu kuwa wamepotoka?,mimi nilianza vizuri tu kukuuliza baada ya kuona nakuzidi kwa hoja ukaanza ufarisayo uyahudi sijui nini huko!

Ninaandika haya kama ushuhuda kwa wengine,sipingi kazi ya Mungu nakataa mambo ya uongo tena uliokosa ushahidi hadi kuamua kutoka nje ya mada!

Hakuna mtu kati yenu awezaye kunishinda kwa hoja za uzima,isipokuwa utaandika matusi yote ila wasomaji wameona hamko sahihi!
 
Hata YESU kristo wa Nazareth,

Mungu aliyeshuka Toka Mbinguni katika mwili aliitwa ana Pepo, so sishangai wewe kuniita hivyo.

Ninakuombea Neema na Rehema uokoke kabla ya kufa usije ingia kuzimu ya moto usipotubu.

Aamen
Sasa mbona mimi mmeniita ni pepo?

Kumbe wewe huyo mtu kukuita una pepo imekuuma eeh?

Ila wewe kumuita mwenzako pepo au shetani ni sawa tu!,hivi mkuu hadi hapa unajiona uko sawa kweli una neno la kweli mkononi wewe?

Hujioni u mwanadamu mnafiki zaidi unayejidanganya nafsi yako?
 
Yes
Yesu wetu anaufunguo wa kuzimu kwahiyo tunajua vyote vyote,lolote tuombalo kwa jina lake tunapokea .
Neno linasema " nyinyi mmepewa kuzijua siri za Mungu"
Sasa huu uzi mbona chini unasema mmetoa siri za shetani,sasa siri za shetani nani anazijua kama si ninyi mliopotoka?

Maana siri za Mungu ziko kwako wamchao,hizi za shetani nani anazo kama si ninyi?

Mbona mnajipinga sana?

Kumbuka ni happ chini tu umesema ninyi mmefichua siri za shetani,hapa unasema za Mungu mnazo,sasa kipi ni kipi ninyi mliojikinai?
 
Wapi kaniita Nina Pepo?

Yesu alimwita Petro Shetani,

Alimwambia "Toka nyuma yangu Shetani".

So kama wewe Si Pepo, kwann uumie ukiitwa Pepo? Hujui kuwa Pepo anaweza kukuingia na kukutumia?
 
Wajinga walioshiba wakadhani wanajua kumbe wameamini uongo!

Nawahakikishia,sio kwamba mnajua kila kitu,sio kwamba kila atakayewahoji hajui,sio kwamba mko sahihi hata asilimia 1,hayo mliyoandika ni wajinga wenzenu tu walio na mlengo huo ndio watakaoogopa na kuona kuna uzima ndani yake!

Hakuna injili ya hivi,injili ni habari njema za Mbinguni sio masimulizi mazuri ya utendaji wa shetani,hizi habari zinajaza makanisa mengi ila hao wakiendelea hivyo watapotea.

Najua mna roho ngumu ila ukweli huu niliouandika utasomwa kizazi na kizazi,hakuna wa kuja kubadili kuwa hayo yenu ni upotovu!

Nasimama hadharani kukataa upotovu huu,hubiri habari njema ya Yesu Ajaye nitakuelewa,kumtaja sana shetani haikusaidii.

Ukisoma maandiko yote,hakuna mahali mtu aliokolewa kwa kusimuliwa ujinga kama huu,bali kwa kuambiwa neema iliyopo katika Masihi.

Mkikaza shingo kazeni,endeleeni kukemea siwashangai maana mnakemea hadi malari ili itoke na mtu anakufa,ila ukweli uko hadharani;

Eti roho yenye mikono,macho,tumbo,mara kuzimu kuna blenda,yaani hadithi za kijinga tu.

Mwenye macho ameona,maandiko yako wazi,na nilipoleta ushahidi kuwa mtu akifa anakuwa ardhini kaburini,mjinga akasema uongo mwingine;
 
Nilinotice kitu hicho,

Yesu anarefer "Huyo",

BIBLIA anarefer " Kitabu chenu".

Hakuna kitu shetani na ufalme wa kuzimu Huwa wanachukia kama kufichua Siri zao!!

Ubarikiwe Kwa kunotice jambo Hilo.
Amina lazima injiri isonge mbele balikiwa Mtu wa Mungu
 

Shetani ni malaika Muhasi aliyeumbwa na Mungu,alitoka Mbinguni,!
Mungu anamjua vyema na mawazo yake na mipango yake, na anavyo wapotosha nyie manyumbu wake ili badaye akakuchome na ww,πŸ€“πŸ€“

Ona anakutumikisha na bado na ww anakutesa? πŸ€“πŸ€“
 
Pumbavu jifunze kuandika!
Acha ujinga basi.

Maandiko ya wajinga ndiyo yako hvi,unapoteza maana ya maneno!
 

" sio masimulizi mazuri ya utendaji wa shetani,"πŸ€“πŸ€“πŸ€“ tumekugundua
 
Uzi wa kijinga na mjinga ameingia.

Maraika,balikiwa,yaani yeye hapa haoni kuharibu neno,ila mimi kuandika Yeye amejua ni shida.

Ukinajisika akili ni jambo baya sana.
 
Jikite kwenye mada au ukae kimya.
Mkuu,wewe una akili.

Ila mbona nilipojikita kwenye mada hukunijibu badala yake ulinipa jina baya na ovu wakati siko hivyo?

Mimi kama ningekuwa simtaki Mungu hakika nisingezunguka,ningesema tu.

Shida ni kwamba hata nilipojaribu kuuliza maswali kwa upole,nilijibiwa vibaya,nilipoleta nukuu hukuweza kuzijibu zile nukuu bali ulifungua shambulio kwangu;

Ndiyo maana nasema haya ninayoandika,ni ushuhuda kwenu hapo baadae kuwa nilikuwa sahihi;
 
Umejibiwa Kwa Kila Angle unarudi kuuliza swali Hilo Hilo.

Kama hujaridhika na majibu kaa kimya.
 
Umejibiwa Kwa Kila Angle unarudi kuuliza swali Hilo Hilo.

Kama hujaridhika na majibu kaa kimya.
Shida inaanzia hapa!
Amini umenijibu!

Naamini hujanijibu!

Tuache wasomaje wengine waone umejibu au hujajibu!

Lakini ukweli haujifichi,hata kama utakuja kwa kuchelewa,ukweli utasimama.
 
Shida inaanzia hapa!
Amini umenijibu!

Naamini hujanijibu!

Tuache wasomaje wengine waone umejibu au hujajibu!

Lakini ukweli haujifichi,hata kama utakuja kwa kuchelewa,ukweli utasimama.
Hayupo msomaji anayekusupport,

Nimekwambia ikiwa hujaridhika na majibu kaa kimya sababu Si sawa kulazimisha mawazo Yako yawe mawazo ya Kila mtu.

Nilikushauri anzisha thread Yako ikielezea huo unaouita UKWELI kuhusu thread hii lakini muda wote umo ndani ya Uzi huu tu!!


Kaa kimya, ni BUSARA pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…