Live kutoka kuzimu!

Unasema kwamba mapepo na mashetani yatawatesa?
Hivi hapa umefikiri nini?
Kwamba mwenye zambi amtese mzambi mwenzie?

Hizi ni nadharia zisizo na mashiko, hizi ni hekaya za watu wajinga na wenye fikra duni.

Nalog off
Nimefurahi kuona comment ya kwanza ni ya mtu anayeitumia akili yake!

Kuongezea tu hapo, watu pia wanapaswa kutambua shetani hana mamlaka hapa duniani wala akhera (maisha baada ya duniani), kiufupi ile dhana ya kudhani kuzimu ni kwa shetani ni dhana ya kumpa nguvu shetani asiyokuwa nayo. Shetani hana anachomiliki juu ya wanadamu isipokuwa sauti ovu tu ya ushawishi kwa wanadamu. Yeye mwenyewe ni kiumbe dhaifu sana kwa muumba wake na hana mamlaka juu ya waja wa Allah wanaofata muongozo sahihi.
 
Ni Kweli aliyeokoka, aliyejazwa Roho mtakatifu ana mamlaka na ni mshindi juu ya shetani na kuzimu.

Lengo la mada ni kuwasaidia WANADAMU kuokoka na kupata nguvu juu ya dhambi, Ili Majina Yao yaandikwe kitabu Cha Uzima wasijetupwa kuzimu ya moto.

Amen
 
","
,sawa yawezekana mimi ni shetani,"

"Eti kufichua siri,shetania na siri gani sasa?"
"
Ushetani una nguvu sana,huku ukiwa umefichwa kwa ustadi kabisa.

Endeleeni kupotosha watu.

Swali langu liko palepale,ni neno gani la Mungu nililopinga kwenye uzi huu?

Na uzi huu una neno lipi la Mungu?
"Ushetani una nguvu sana,huku ukiwa umefichwa kwa ustadi kabisa."

Jumbe zako za siri tumezijua, sawa na hutusumbui kwa chochote,na mwambie aliyekutuma ameshindwa
 
",sawa yawezekana mimi ni "


"
"Ushetani una nguvu sana,huku ukiwa umefichwa kwa ustadi kabisa."

Jumbe zako za siri tumezijua, sawa na hutusumbui kwa chochote,na mwambie aliyekutuma ameshindwa
Hujui usemalo,endelea kuropoka na kupayuka hapa!

Macho yako yanaona yale tu unayoamua kutaka kuona,hautaona kuvuka mpaka huo.
 
",sawa yawezekana mimi ni "


"
"Ushetani una nguvu sana,huku ukiwa umefichwa kwa ustadi kabisa."

Jumbe zako za siri tumezijua, sawa na hutusumbui kwa chochote,na mwambie aliyekutuma ameshindwa
Yatosha.

Nakushauri usimjibu, atatutoa njiani,

Tusaidie wenye utayari na Nia ya kutaka kubadilika.

Amen
 
Hujui usemalo,endelea kuropoka na kupayuka hapa!

Macho yako yanaona yale tu unayoamua kutaka kuona,hautaona kuvuka mpaka huo.
Hahaha🤓🤓🤓
Nimeona Mengi na nimegundua hekima ya kipepo ,kama ya shetani alivyo mdanganya eva,
Au delila alivyo mdanganya samson
 
Aah haha angalia sasa uone mada ilivyoweka,ni kama huyo shetani ana mamlaka huko paitwapo kuzimu!

Hizi hadithi hizi basi tu,ni vile watu tunaamua kumpa utukufu shetani bila kujua!

Yaani uzi huu umempa sifa kubwa sana ibilisi,halafu Mungu akatajwa kidogo sana,halafu watu waokolewe dah!
 
Hahaha🤓🤓🤓
Nimeona Mengi na nimegundua hekima ya kipepo ,kama ya shetani alivyo mdanganya eva,
Au delila alivyo mdanganya samson
Najua hauna akili,umeshiba ujinga,hivyo hautaona ule ujuzi wa maandiko,wewe unaona kutaja taja mapepo na shetani ndio sifa kuwa unamjua Mungu!

Huu ni ujinga.
 
"Live Kutoka kuzimu" Itaendelea soon.....
 
"Live Kutoka kuzimu" Itaendelea soon.....
acha kamba live kutoka kuzimu ya wapi?
hivi wewe unajielewa kweli?
i think shetani anajipigia promo na kuzimu yake
wewe kama ni mwana wa NURU
hubiri Injili ya Yesu Kristo iletayo wokovu kwa wote waaminio
sio kuwaaminisha watu habari za kuzimu zisizokua na faida yoyote na ni upuuzi mtupu kwa mwana wa Pendo la Mungu kuzungumzia habari za sehemu isiyomhusu!
 
Najua hauna akili,umeshiba ujinga,hivyo hautaona ule ujuzi wa maandiko,wewe unaona kutaja taja mapepo na shetani ndio sifa kuwa unamjua Mungu!

Huu ni ujinga.
yaani wanachofanya hawa jamaa ni sawa na mwanaume aliye muoa single maza aliyetelekezwa na akampa upendo wa dhati,maisha mazuri ya ndoa na furaha na anamtimizia mahitaji mara kumi kuliko huyo Bwana wake aliyemtelekeza
ila maajabu ni huyo single maza awe ana muongelea ex wake kila siku na kumsifia sifia kwamba jamaa alikua shababi,anapiga jim na anaweza kazi na hata now kwa alivyo na sound akija mtongoza tena haoni namna atachomoa!

sasa hawa ndugu zetu wanaojiita wana wa Ufalme wa Mungu wapo busy kumuongelea na kumsifia Shetani master wao wa zamani kuliko kumuongelea Baba yao Yesu Kristo mwenye upendo mkuu na aliwatoa huko sigimbi na kuwaleta mjini ila still wana kupraise sigimbi kua kunatisha na kuna wajanja kuliko mjini daaa huu ni msiba wa fikra!

ila Walokole wana vioja vya ajabu sana,hii kitu hutaikuta sehemu yeyote ila kwao tu!
 
Dadamtu
 
Hizi ni nadharia za kilokole cha dhehebu gani?

Maana katika maandiko yako, hakuna nukuu yoyote kutoka katika kifungu chochote cha neno kutoka katika kitabu chochote kitakatifu!

Unapokufa mwili huzikwa aridhini na kuoza, iweje uende kuzimu na tatoo zako?

Hilo la kwanza, la pili nikuulize, kama mdhambi alishahukumiwa akajiendea zake kuzimu kuendelea kutumikia kifungo cha jehanamu, siku ya kiama atatolewaje tena kuja kuhukumiwa adhabu ile ile, ina maana Mungu ni wa double standard katika hukumu zake?

La tatu, kwanini mapepo na mashetani twaambiwa ni malaika walioasi na wanasubiri hukumu ya jehanamu, wao kule wakakae raha mustarehe bila kuungua na kupata mateso eti wawe ni viranja wa kutesa na kuchochea moto bila wao kuungua?

Topic hii umeiandaa kisiasa, maana siasa ni nadharia za uongo na kweli zinazitolewa kwa lengo flani.

Sasa na wewe una ajenda yako ovu kwa kuandaa bandiko hili lenye kuleta taharuki ya kiimani!
 
Soma Uzi wote na comments zote, utaona maandiko niloquote.

Pia hapo page one, Nimequote (Luke 16:19-31).

Najibu swali moja baada ya jingine.

Karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…