Bora tu nionekane wa kuzimu,lakini sio kuamini huu upuuzi wa kutungatungaJamaa atakuambia una mapepo au wewe ni shetani!
Nilijitahidi sana kumueleza,hakunielewa,nilionekana mtu wa kuzimu.
Ngoja tuone wewe watakuonaje.
😁😁😁😁😁😁😁😁😁Soma Uzi wote na comments zote, utaona maandiko niloquote.
Pia hapo page one, Nimequote (Luke 16:19-31).
Najibu swali moja baada ya jingine.
Karibu.
Yesu kushuka kuzimu baada ya kufa ni mfano pia?😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Mkuu hivi maana ya mfano unaielewa?,kwani mfano huwa ni kitu halisi?
Luka 16 hizo habari ni za mfano,si uhalisia,kiini cha ujumbe kipo pale mstari wa 31:
Mkuu hujajibu swali langu;Yesu kushuka kuzimu baada ya kufa ni mfano pia?
Elia na Muda kumtokea Yesu mlimani ni mfano pia?
Yesu alikuwa kwenye moyo wa nchi yaani kaburini,hata yeye alisema hivi atakuwa siku 3 kwenye moyo wa nchi.Yesu kushuka kuzimu baada ya kufa ni mfano pia?
Elia na Muda kumtokea Yesu mlimani ni mfano pia?
Wewe ni msabato,Mkuu hujajibu swali langu;
Eliya alipaa mbinguni,hakwenda kuzimu,Musa alizikwa na Mungu,ila maandiko hayohayo yanashuhudia kuwa alifufuliwa na Mikaeli alaika mkuu.
Maandiko yameandika hizi habari;
Kwahiyo hizo habari za Eliya si mifano.
Ila habari ya swali langu nijibu na mimi.
Wewe ni msabato, msabato Hadi Leo aliaminishwa na Hellen White kuwa Neno ndiye Malaika Mkuu!!Mkuu hujajibu swali langu;
Eliya alipaa mbinguni,hakwenda kuzimu,Musa alizikwa na Mungu,ila maandiko hayohayo yanashuhudia kuwa alifufuliwa na Mikaeli alaika mkuu.
Maandiko yameandika hizi habari;
Kwahiyo hizo habari za Eliya si mifano.
Ila habari ya swali langu nijibu na mimi.
Wewe mpinga kristo, wapi imeandikwa Malaika Mkuu Mikaeli alimfufua Musa?Mkuu hujajibu swali langu;
Eliya alipaa mbinguni,hakwenda kuzimu,Musa alizikwa na Mungu,ila maandiko hayohayo yanashuhudia kuwa alifufuliwa na Mikaeli alaika mkuu.
Maandiko yameandika hizi habari;
Kwahiyo hizo habari za Eliya si mifano.
Ila habari ya swali langu nijibu na mimi.
Haya ya mimi ni nani hayatakusaidia,kwa kuwa tokea mwanzo nikileta hoja hujibu ila unanishambulia!Wewe ni msabato,
Unakubaliana nami?
Nani amesema namlinganisha Yesu na Malaika Mkuu?Wewe ni msabato, msabato Hadi Leo aliaminishwa na Hellen White kuwa Neno ndiye Malaika Mkuu!!
Kumlinganisha Yesu na Malaika mkuu ni ROHO ya mpinga kristo hiyo.
Wasabato Hadi Leo hawaamini kuhusu Roho mtakatifu,
Si Rahisi kujua ikiwa unaamini hivyo.
Umeanza tena kunitukana!Wewe mpinga kristo, wapi imeandikwa Malaika Mkuu Mikaeli alimfufua Musa?
Kubali u msabato.Haya ya mimi ni nani hayatakusaidia,kwa kuwa tokea mwanzo nikileta hoja hujibu ila unanishambulia!
Wewe ukiwa hujui kitu heri kukaa pembeni badala ya kutuhumu waamini au kushambulia dhehebu.
Mimi nikisema wewe ni mlokole mpumbavu sikosei,ila sikuiti hivyo maana najua wewe ni mjinga wa maandiko.
Unakosea sana kutuhumu wasabato,hao nilishauacha nao uendelee kuwadhihaki ila hiyo tabia yako hailalalishi uongo unaondika kuhusu habari za kuzimu na kutumia biblia usivyojua.
Na hii inathibitisha hauna ukweli mkonoji mwako,hii nina uhakika,wewe ni mwongo.
Kubali wewe ni msabato.Umeanza tena kunitukana!
Okay,endelea kuniita hilo jina ila haitakusaidia lolote,wala hainipunguzii ule uwezo wa neema kufika Mbinguni.
Niite kila jina baya,nafurahi kuona hili.
Sijakiri hilo unalosema eti walionekana mlimani wakiwa na miili ya kiroho,usianze kuniwekea maneno wewe mtu.Kubali u msabato.
Imeshindwa kuthibitisha katika maandiko wapi Malaika mkuu alimfufua Musa!!
Pia umekiri Musa na Elia walionekana mlimani wakiwa na YESU wakiwa na miili ya kiroho.
Hapo hapo unapinga kuwa kuzimu hakuna mateso sababu WAFU hawasikii chochote na hawana miili.
Ndo nakuambia wewe ni kipofu unayeamini unaona!!
Hii itakusaidia nini?,Kubali wewe ni msabato.
Ikiwa humkubali Roho mtakatifu, Roho wa kristo, haipo Mbingu utaenda zaidi ya kuzimu.
U msabato usibishe.Hii itakusaidia nini?,
Hivi kila mtu anayekupinga au kukuuliza tayari hana Roho Mtakatifu?
Hilo la kwenda Mbinguni hukumu uwezavyo,wewe si Mungu hunitishi hata kidogo,ila naandika hapa kama ushuhuda kwako na kwa wengine,wana wa nuru hawana tabia zako.
Vipi swali nililouliza sasa?U msabato usibishe.
Kwani uzi wako ni wa kuwajadili wasabato?U msabato usibishe.
Kubali kwanza u msabato ndipo tuendelee na mada.Kwani uzi wako ni wa kuwajadili wasabato?