Live kutoka kuzimu!

Live kutoka kuzimu!

Soma Uzi wote na comments zote, utaona maandiko niloquote.

Pia hapo page one, Nimequote (Luke 16:19-31).

Najibu swali moja baada ya jingine.

Karibu.
😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Mkuu hivi maana ya mfano unaielewa?,kwani mfano huwa ni kitu halisi?

Luka 16 hizo habari ni za mfano,si uhalisia,kiini cha ujumbe kipo pale mstari wa 31:
 
Yesu kushuka kuzimu baada ya kufa ni mfano pia?

Elia na Musa kumtokea Yesu mlimani ni mfano pia?
 
Yesu kushuka kuzimu baada ya kufa ni mfano pia?

Elia na Muda kumtokea Yesu mlimani ni mfano pia?
Mkuu hujajibu swali langu;

Eliya alipaa mbinguni,hakwenda kuzimu,Musa alizikwa na Mungu,ila maandiko hayohayo yanashuhudia kuwa alifufuliwa na Mikaeli alaika mkuu.

Maandiko yameandika hizi habari;
Kwahiyo hizo habari za Eliya si mifano.

Ila habari ya swali langu nijibu na mimi.
 
Yesu alikuwa kwenye moyo wa nchi yaani kaburini,hata yeye alisema hivi atakuwa siku 3 kwenye moyo wa nchi.

Hizo habari za yeye kwenda kuzimu rudi ile sehemu imeelezea vema tu.
 
Mkuu hujajibu swali langu;

Eliya alipaa mbinguni,hakwenda kuzimu,Musa alizikwa na Mungu,ila maandiko hayohayo yanashuhudia kuwa alifufuliwa na Mikaeli alaika mkuu.

Maandiko yameandika hizi habari;
Kwahiyo hizo habari za Eliya si mifano.

Ila habari ya swali langu nijibu na mimi.
Wewe ni msabato,

Unakubaliana nami?
 
Wewe ni msabato, msabato Hadi Leo aliaminishwa na Hellen White kuwa Neno ndiye Malaika Mkuu!!

Kumlinganisha Yesu na Malaika mkuu ni ROHO ya mpinga kristo hiyo.

Wasabato Hadi Leo hawaamini kuhusu Roho mtakatifu,

Si Rahisi kujua ikiwa unaamini hivyo.
 
Wewe mpinga kristo, wapi imeandikwa Malaika Mkuu Mikaeli alimfufua Musa?
 
Wewe ni msabato,

Unakubaliana nami?
Haya ya mimi ni nani hayatakusaidia,kwa kuwa tokea mwanzo nikileta hoja hujibu ila unanishambulia!

Wewe ukiwa hujui kitu heri kukaa pembeni badala ya kutuhumu waamini au kushambulia dhehebu.

Mimi nikisema wewe ni mlokole mpumbavu sikosei,ila sikuiti hivyo maana najua wewe ni mjinga wa maandiko.

Unakosea sana kutuhumu wasabato,hao nilishakuacha nao uendelee kuwadhihaki utamalizana nao hukohuko ila hiyo tabia yako hailalalishi uongo unaondika kuhusu habari za kuzimu na kutumia biblia usivyojua.

Na hii inathibitisha hauna ukweli mkonoji mwako,hii nina uhakika,wewe ni mwongo.
 
Wewe ni msabato, msabato Hadi Leo aliaminishwa na Hellen White kuwa Neno ndiye Malaika Mkuu!!

Kumlinganisha Yesu na Malaika mkuu ni ROHO ya mpinga kristo hiyo.

Wasabato Hadi Leo hawaamini kuhusu Roho mtakatifu,

Si Rahisi kujua ikiwa unaamini hivyo.
Nani amesema namlinganisha Yesu na Malaika Mkuu?
Hujui hicho kitu kimeadikwa wazi?
Mkuu acha basi kutupotosha haya maneno yako unaweza siku moja kujuta.

Sipati faidq yoyote kuja hapa kudanganya,wewe unawezaje kuacha kujibu maswali niliyouliza kuhusu mfano wa luka 16?

Kwanini unakuwa mnafiki kiasi hiki?
 
Wewe mpinga kristo, wapi imeandikwa Malaika Mkuu Mikaeli alimfufua Musa?
Umeanza tena kunitukana!

Okay,endelea kuniita hilo jina ila haitakusaidia lolote,wala hainipunguzii ule uwezo wa neema kufika Mbinguni.

Niite kila jina baya,nafurahi kuona hili.
 
Haya ya mimi ni nani hayatakusaidia,kwa kuwa tokea mwanzo nikileta hoja hujibu ila unanishambulia!

Wewe ukiwa hujui kitu heri kukaa pembeni badala ya kutuhumu waamini au kushambulia dhehebu.

Mimi nikisema wewe ni mlokole mpumbavu sikosei,ila sikuiti hivyo maana najua wewe ni mjinga wa maandiko.

Unakosea sana kutuhumu wasabato,hao nilishauacha nao uendelee kuwadhihaki ila hiyo tabia yako hailalalishi uongo unaondika kuhusu habari za kuzimu na kutumia biblia usivyojua.

Na hii inathibitisha hauna ukweli mkonoji mwako,hii nina uhakika,wewe ni mwongo.
Kubali u msabato.

Imeshindwa kuthibitisha katika maandiko wapi Malaika mkuu alimfufua Musa!!

Pia umekiri Musa na Elia walionekana mlimani wakiwa na YESU wakiwa na miili ya kiroho.

Hapo hapo unapinga kuwa kuzimu hakuna mateso sababu WAFU hawasikii chochote na hawana miili.

Ndo nakuambia wewe ni kipofu unayeamini unaona!!
 
Umeanza tena kunitukana!

Okay,endelea kuniita hilo jina ila haitakusaidia lolote,wala hainipunguzii ule uwezo wa neema kufika Mbinguni.

Niite kila jina baya,nafurahi kuona hili.
Kubali wewe ni msabato.

Ikiwa humkubali Roho mtakatifu, Roho wa kristo, haipo Mbingu utaenda zaidi ya kuzimu.
 
Kubali u msabato.

Imeshindwa kuthibitisha katika maandiko wapi Malaika mkuu alimfufua Musa!!

Pia umekiri Musa na Elia walionekana mlimani wakiwa na YESU wakiwa na miili ya kiroho.

Hapo hapo unapinga kuwa kuzimu hakuna mateso sababu WAFU hawasikii chochote na hawana miili.

Ndo nakuambia wewe ni kipofu unayeamini unaona!!
Sijakiri hilo unalosema eti walionekana mlimani wakiwa na miili ya kiroho,usianze kuniwekea maneno wewe mtu.

Wewe nimekuuliza uniambie ule luka 16 ni mfano au uhalisia,angalia umejibu?,haya maana yq mfano ni nini umejibu?

Usabato unaoutukana hapa huujui,na nakuambia huna ufahamu sawasawa kuhusu maandiko,hujui lolote,ndiyo maana hapa unadanganya na kupiga chenga ukiulizwa maswali.

Mkuu,nina uhakika wewe ni mwongo,na umejizoeza habari za kufikirika ukitumia maandiko.

Hao wasabto nakuacha nao,endelea kuwadhihaki.
 
Kubali wewe ni msabato.

Ikiwa humkubali Roho mtakatifu, Roho wa kristo, haipo Mbingu utaenda zaidi ya kuzimu.
Hii itakusaidia nini?,

Hivi kila mtu anayekupinga au kukuuliza tayari hana Roho Mtakatifu?

Hilo la kwenda Mbinguni hukumu uwezavyo,wewe si Mungu hunitishi hata kidogo,ila naandika hapa kama ushuhuda kwako na kwa wengine,wana wa nuru hawana tabia zako.
 
U msabato usibishe.
 
Kwani uzi wako ni wa kuwajadili wasabato?
Kubali kwanza u msabato ndipo tuendelee na mada.

Wasabato walisoma BIBLIA na kukimbilia airport Ili wapande ndege kwenda kuhubiri INJILI bila visa Wala passport.

Unajiuliza, ikiwa walielekezwa kwenda airport, iweje wazuiwe kuingia ndani!!

Msipokubali Roho MTAKATIFU, Mbinguni hamuingii.

Ulisoma kuwa WAFU hawasikii chochote, unakomaa hapo hapo hutaki kusikia maandiko mengine.

Basi tu!!
 
Back
Top Bottom