Live kutoka kuzimu!

Mkuu,wewe ni mjinga.

Naomba nikuache,ila niliyoandika itabaki ushuhuda kwako na kwa watu wengine pia.

Yaani unazunguka hujioni wewe unanilazimisha usabato halafu unataka niseme nini kuhusu wafu wakati inajulikana hawajui lolote?,na maandiko yako wazi kuhusu hili?

Wewe kujibu swali langu umeshindwa,unaleta porojo za kipumbavu eti wasabato walienda airport!

Ndiyo maana nasema huyajui unandikayo,maana hilo limashuhudia wewe ni mtu wa kubahatisha maneno!

Na kupitia maneno yako kadhaa,nina uhakika,una uongo mwingi sana wq kiroho bahati mbaya wewe unajua ni ukweli.

Tujipe muda,kaza shingo.

Mimi sijui kuchukuliana na wapumbavu.

Unajua ukipitia uzi huu kuna maswali hata wengine wanauliza,hujibu unapiga chenga tu,acha ujinga wewe mtu.

Kuhusu maandiko haya,rudi ukaombe kwenye ukweli,huenda unaomba ila una majibu ya kila kitu,maombi yako yanakuwa upumbavu kama ulivyo.
 
Wewe ni msabato!!

Usipoondoa huko kukaririshwa kwako nafundisho ya Nabii wa uongo Hellen White, hakipo Kitu utaelewa.

Ubarikiwe.
 
Wewe ni msabato!!

Usipoondoa huko kukaririshwa kwako nafundisho ya Nabii wa uongo Hellen White, hakipo Kitu utaelewa.

Ubarikiwe.
Sawa,haya jibu swali langu basi.

Usabato huo huujui,kaa kwa kutulia.

Mimi nimekupa maandiko utumiayo imeandikwa kuwa wafu hawajui lolote,yakatae sasa!

Endelea na hadithi zako za kujidanganya
 
Ni kama unataka kusema shetani na mapepo yake wanatumiwa na Mungu kuwatesa watu walio kataa kumtii Mungu

Basi shetani Si mbaya kama tuaminishwavyo maana Nae anamtumikia mungu kama wachungaji na mashekhe sema yeye yupo kitengo cha mateso

Mi nadhani shetani hausiki kutufanya tutende dhambi kama ni hivyo maana asingestahili kupewa kitengo cha mateso angetafutwa mwamba mwingine ili asimame kwenye haki

Sijui naandika nini Mimi eee Mungu nirehemu nawaza ovyo ovyooo
 
Musa alikufa,

Na umekiri aliongea na Yesu mlimani.

Hapohapo unapinga WAFU hawajui lolote.

Usisubiri Hadi ufe ndo ujue UKWELI.

Maandiko yanaposema WAFU hawajui lolote, inamaanisha MWILI.

Mtu ni ROHO, mwili na ROHO vilipoungana, ndipo ikaumbika NAFSI.

Mtu kufa ni kujitenga na mwili. MWILI ndo haujui lolote.

Ila NAFSI huenda kuzimu au Mbinguni kusubiri HUKUMU.

1. Kiswahili ni finyu.

NAFSI huitwa Roho. Na Roho huitwa Roho.

2. Kiingereza kipo kidogo deep.

Soul ndiyo NAFSI.

Roho ni Spirit.

Wasabato huvichanganya hivi vitatu na kushindwa kuelewa.

Nawe ubarikiwe. Uelewe sasa.
 
Sawa,haya jibu swali langu basi.

Usabato huo huujui,kaa kwa kutulia.

Mimi nimekupa maandiko utumiayo imeandikwa kuwa wafu hawajui lolote,yakatae sasa!

Endelea na hadithi zako za kujidanganya
Soma post namba 509.
 
Jambo Rahisi Inatakiwa ujue ni,

1. Kuzimu IPO ni HALISI.

2. Ni makao ya muda ya NAFSI na ROHO za waliokufa dhambini.

3. Kuzimu Kuna mateso, ikiwa hutaki kuamini kuwa mapepo yanatesa watu kuzimu, basi amini Kuna moto mkali.

Kuyajua hayo matatu ni kugeuza njia Yako umuelekee Mungu Ili usiingie huko.

Makao ya Wana wa Mungu wafapo ni Mbinguni, ni vyema Ukienda huko.
Hakuna mateso.

Amen
 
Pumbavu!
TUongee na mimi sio wasabato!

Acha ujinga!
Hujaona iko wazi kuwa Musa yu mbinguni alifufuliwa?,

Maandiko yako hayana hili?

Niambie mtu mwingine aliyekufa na akatokea hai baadae ni nani tofauti na Musa?

Ewe mpotovu usipotoshe watu hapa!

Najua unataka kutumia maneno yangu kuhalalisha uongo wako!
Acha upumbavu.
 
Ushauri wangu ni huu,endelea kuamini uko sawa,ila uwe mtu wa maombi ya kweli.

Wasabato unaowataja taja hapa hauna uwezo sawa na wao,sanasana utaishia kuwadhihaki ambacho pia haikusaidii kitu.

Tunaweza ignore each other?

Maana hauna hoja ya kunijibu bali shambulizi kwa wengine wasiohusika.
 
Nisome upumbavu wa nini sasa?,

Wewe umeandika nini cha maana nikisoma nitaelimika!
Unaandika upotovu,ukiulizwa maswali unazunguka tu.
Mbona nikikuuliza swali hutaki kujibu, soma post no 509 tujadiliane Polepole Kwa utulivu.
 
Ndugu MSABATO!!!

Mimi nakuambia,

Haiipo Mbingu ya wasabato.

IPO Mbingu ya waliookoka, na kumuingia mji huu, lazima umjue Roho mtakatifu na KAZI zake.

Ikiwa Humtambui Roho mtakatifu, ni mpinga kristo.

Huo ndio UKWELI.

Mbinguni hautaingia usipokubali kubadilika.

Ubarikiwe.
 
Sawa hongera.

Ni kweli hakuna mbingu ya wasabato.

Haya kuna nini tena cha kudhihaki uongezee?
 
Somo zuri sana hili.
Share na wengine,

Wambie WANADAMU wanaodanganyana duniani kuwa ukifa ndo basi tena, husikii chochote, ndo mwisho wanajidanganya.

Kuzimu Kuna moto na mateso makali, hakukaliki,

Waache njia mbaya, wamrudie Mungu Ili waingie Paradiso Mahali penye raha tele.

Ubarikiwe.
 
Mkuu kumbe na wewe ni muumini wa ile testimony ya Angelica Zambrano, bila shaka hiyo story ya mtoto kuangalia cartoon mbaya kisha akafa kwa ajali na kuenda Kuzimu ulitoa kwenye ile testimony yake ya "Hell is real", achana na huu uongo mkuu we used to believe in that shit when we were young and naive so stop this crap
 
Kuzimu ni real.

Mbinguni ni real.

Uamuzi ni wako.
 
Hayatanisaidia kitu yawepo ama yasiwepo ninachojua ni kimoja tu Mungu ni Pendo na ananipenda kweli kweli

Na akamtoa mwanae Wa pekee ili kila amwaminiye asipote Bali awe na uzima Wa milele nimechagua kukaa upande Wa Pendo pasipo vitisho vyovyote na ninafurahia wokovu

Ndio maana sipendi kumtisha mtu Kwa maneno na story kama hizi ili aache ubaya maana hata kuja kwakuwa amemjua Bwana Wa mapendo ila nikwasababu ya hofu

Sasa nauhakika asilimia mia injili haileti hofu ila inaleta amani na utulivu Wa nafsi nje ya hapo chochote kinachoingelewa au kuzungumzwa chenye kuonyesha ubaya Wa huyu baba Wa upendo sitakagi kusikia maana sio injili

Mathayo 11:27 Akasema, Nimekabidhiwa vyote na baba yangu; wala hakuna amjuaye Mwana, ila Baba; wala hakuna amjuaye Baba, ila Mwana, na ye yote ambaye Mwana apenda kumfunulia.
28 Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.
29 Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu;
30 kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.

NAMPENDA SANA HUYU MUNGU MUUMBA MBINGU NA NNCHI hata waseme hakuna jehanamu wala mbingu hata haitanitoa katika Pendo hili maana tangu nimemjua nimepata raha nafsini mwangu.
 
Ubarikiwe,
Anayewapeleka watu kuzimu na kuwarudisha duniani Ili washuhudie, ni Yesu huyo huyo aliye pendo.

Kuwambia kuzimu Kuna moto Si kuwatisha, ni kuwapa Kweli Ili wasiwe vipofu na kudanganywa na shetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…