Live kutoka kuzimu!

Live kutoka kuzimu!

Kubali kwanza u msabato ndipo tuendelee na mada.

Wasabato walisoma BIBLIA na kukimbilia airport Ili wapande ndege kwenda kuhubiri INJILI bila visa Wala passport.

Unajiuliza, ikiwa walielekezwa kwenda airport, iweje wazuiwe kuingia ndani!!

Msipokubali Roho MTAKATIFU, Mbinguni hamuingii.

Ulisoma kuwa WAFU hawasikii chochote, unakomaa hapo hapo hutaki kusikia maandiko mengine.

Basi tu!!
Mkuu,wewe ni mjinga.

Naomba nikuache,ila niliyoandika itabaki ushuhuda kwako na kwa watu wengine pia.

Yaani unazunguka hujioni wewe unanilazimisha usabato halafu unataka niseme nini kuhusu wafu wakati inajulikana hawajui lolote?,na maandiko yako wazi kuhusu hili?

Wewe kujibu swali langu umeshindwa,unaleta porojo za kipumbavu eti wasabato walienda airport!

Ndiyo maana nasema huyajui unandikayo,maana hilo limashuhudia wewe ni mtu wa kubahatisha maneno!

Na kupitia maneno yako kadhaa,nina uhakika,una uongo mwingi sana wq kiroho bahati mbaya wewe unajua ni ukweli.

Tujipe muda,kaza shingo.

Mimi sijui kuchukuliana na wapumbavu.

Unajua ukipitia uzi huu kuna maswali hata wengine wanauliza,hujibu unapiga chenga tu,acha ujinga wewe mtu.

Kuhusu maandiko haya,rudi ukaombe kwenye ukweli,huenda unaomba ila una majibu ya kila kitu,maombi yako yanakuwa upumbavu kama ulivyo.
 
Wewe ni msabato!!

Usipoondoa huko kukaririshwa kwako nafundisho ya Nabii wa uongo Hellen White, hakipo Kitu utaelewa.

Ubarikiwe.
 
Wewe ni msabato!!

Usipoondoa huko kukaririshwa kwako nafundisho ya Nabii wa uongo Hellen White, hakipo Kitu utaelewa.

Ubarikiwe.
Sawa,haya jibu swali langu basi.

Usabato huo huujui,kaa kwa kutulia.

Mimi nimekupa maandiko utumiayo imeandikwa kuwa wafu hawajui lolote,yakatae sasa!

Endelea na hadithi zako za kujidanganya
 
INTRODUCTION.

Sikutishi, Ninakupa UKWELI Ili uamue mahali pa kwenda utakapokufa.

MBINGUNI ni makazi ya Walio hai.

KUZIMU: Ni nyumbani kwa wafu, ni gereza la kuwatunza wafu wakipitia mateso kabla ya HUKUMU ya Mungu.

Mateso yanayoendelea mahali hapa yanafanywa na Mapepo na Mashetani Kwa Roho za watu wasiomtii Mungu, wafao katika Dhambi.

Jehanum haijawapo Bado, Ile itaumbwa wakati wa Mwisho wa Ulimwengu utapowadia, na pale Mungu ndipo ataadhibu watu waliotunzwa katika Gereza la kuzimu, ila katika kuzimu, watu, mapepo na mashetani Kwa ujumla wao watatupwa Kwa ajili ya HUKUMU ya milele.

AINA ZA WAFU WALIO MAGEREZANI.

1. Imeandikwa, Atendaye dhambi ni mtumwa wa dhambi, hiyo Kwa tafsiri hiyo WANADAMU Walio hai ni wafu wanaotembea, bila TOBA na kutakaswa, utaelekea kuzimu ninapokwenda kupaongelea.

2. Misukule.

Hawa wamefungwa na hutumika na wachawi na mapepo, shetani Ili kufanya KAZI za Shetani kujenga ufalme wake.

Zipo pia aina nyingi za misukule Walio katika magereza ya kuzimu lakini sitawaongelea leo.

AINA ZA KUZIMU / MATABAKA YA KUZIMU.

1. KUZIMU KAVU.

Hili ni eneo ambalo hutumiwa na matajiri wa Ulimwengu huu , wanasiasa, wasanii, viongozi mbalimbali kwenda kupata utajiri au nyota Kwa kufunga mikataba ya kubadilishana na NAFSI zao, eneo hili ni kama gulio la kuuza na kubadilishana NAFSI za WANADAMU Kwa sadaka ya Damu.

Eneo hili wachawi hutamba na kujiona ndo wamefika lakini wasilolijua ni kuwa shetani Huwa amewaficha kutojua eneo au tabaka la tatu chini kabisa nini kinaendelea, huko ndipo nitapaongelea Leo. Wachawi huua na kumwaga Damu za watu wakishirikiana na mapepo Ili kumfurahisha boss wao shetani, ila ukifika muda wao, shetani huwageuka na kuwaua na huenda tabaka la tatu la kuzimu.

2. Tabaka la pili/ Kuzimu kama himaya ya Mashetani na Mapepo kama himaya Yao./ Ulimwengu wa Giza.

Mahala hapa, binadamu mchawi hakanyagi, ni eneo la kimamlaka ambapo mipango Yao husukwa wakiongozwa na Shetani mwenyewe.

Eneo Hilo ni Giza tupu, na ndipo hukaa mapepo yenye kuleta dhoruba na vimbunga na Kila aina ya majanga tunayoyaita ya asili.

Mahali hapa ndipo palipo na kizuizi Cha maombi ya WATAKATIFU kufika Mbinguni, maana ndipo walipo mapepo na mashetani yaongozao falme za Dunia na watu wake, hivyo Kwakuwa Mbinguni ni juu zaidi, mwanadamu aliye chini kutoboa sehemu hiyo Si vyepesi, ndomana unaweza omba Leo na ikachukua muda mrefu kupata majibu, sababu ufalme huu huzuia.

3. KUZIMU YA MOTO.

Mahali hapa ndipo nitapokueleza kinachoendelea.

WANADAMU Walio katika kuzimu na magereza haya ya kawaida mfano Misukule nk nk huweza kufunguliwa kirahisi na kurudishwa, lakini mtu alifika KUZIMU ya MOTO harudi tena kamwe duniani, ni anasubiri HUKUMU.

Wapo watu ambao huuwawa na wachawi au wafao kabla ya siku zao kutimia, Roho hizi hutangatanga duniani Hadi pale muda wao ukifika ndipo huingizwa na Malaika wa Giza eneo lile la mateso yaana kuzimu ya moto.

Ni hapa ambapo wachawi, wazinzi,wezi ,wapenda anasa ambao walikuwa wakimtumikia shetani wakidhani ni rafiki yao, hugeuka na kuwatesa vikali bila kujali KAZI walomfanyia.

TOPIC: LIVE KUTOKA KUZIMU.

Shimo hili halijai na halijawahi kujaa, tangu kuumbwa Ulimwengu wamekuwa wakitupwa Roho za WANADAMU na halijai, tangu alipotupwa Cain hadi Leo.

Na umbali wa mtu mmoja na mwingine, ni sawa na Mita Mia. Hivyo Kila Mmoja hutweswa kivyake, vinavyosikika ni vilio na maumivu yasiyokoma.

Eneo hili moto huwaunguza watu waliomo bila mapumziko na mapepo yaliyomo, huendelea kuwaadhibu raia au wafungwa wa humo sawasawa na dhambi zilizowapeleka humo.

1. IDARA YA WACHORA TATOOS!

Nami nikaona watu waliojichora miili Yao wake Kwa waume Kila mmoja Mahali pake.

Kuna wengine waliojichora tattoo baadhi ya sehemu tu za miili Yao, lakini wengine waliojichora mwili mzima.

Wanawake wengine waliojichora Hina mwilini, pia walikuwa katika IDARA hiyo.

Mapepo yenye visu vikali yaliendelea kukata Kila eneo lililochorwa tattoo na kutoboa ngozi Kwa visu vile, mtu yule alipiga kelele Kwa maumivu makali lakini mapepo hayakuacha kuwatesa wakati moto ukiendelea kuwaunguza na hawateketei.

Yaliwakejeli na kuwaambia haya ni malipo Kwa kutomsikiliza Muumba wenu, wakati ngozi ikiendelea kukatwa, kutobolewa, moto uliendelea kuwaunguza, na zoezi hili liliendelea mfululizo, hakuna kupumzika kule.

Pia walitoka funza wakali na kuchimba vidonda vile vilivyoachwa wazi na mapepo yaliwatoboa Kila Mahali penye tattoo, michoro au Hina. Maumivu Yale hayaelezeki.

Rejea (Luke: 16: 19-31.). Tajiri alimwomba maskini achovye angalau tonne la maji Ili angalau auburudishe Ulimi wake ulochomwa Kwa moto mkali.

2. IDARA YA WATOA MIMBA, WAFANYA UASHERATI KABLA YA NDOA NA WAPIGA PUNYETO.

Nami nikaona Pepo akimgeuza KICHWA chini miguu juu mwanamke aliyetoa mimba alipokuwa msichana, Pepo lilichukua kisu kikubwa na kuanza kuchoma na kukatakata sehemu za Siri za mwanamke yule bila huruma, Pepo lilimpiga mkuki uliopita kupitia sehemu za Siri Kisha mkuki Kutokea mgomoni na kumbanika kama mshikaki, alitamani kufa lakini kule kifo hakipo, ni mateso mfululizo.

Mwanamke alipiga kelele akiomba msaada Kwa Malaika wa Mungu amsaidie Kutoka mahala pale akiapa kuwa kamwe hatorudia dhambi Ile lakini haikuwezekana, maana imeandikwa, Mshahara wa dhambi ni MAUTI, na Baada ya KIFO ni HUKUMU.

Kisha nikaona kundi la mapepo wakimburuta kijana mmoja wa kiume aliyekuwa akijichua, alipigwa pingu na kutundikwa juu na kuisha mapepo yalianza kukatakata uume wamtu yule Kwa msumeno bila kujali maumivu aliyopitia, na Kila baada ya kumaliza kukata, kiungo kilirudi mahala pake na yaliendelea na zoezi Hilo bila kuacha Hadi tunaondoka eneo la tukio.

Nami nikamwona Binti mmoja aliyekuwa alifanya UASHERATI KABLA ya NDOA,

Pepo lilichukua blender kubwa ya kama ambayo hutumika kusagia juc, blender Ile ilikuwa kubwa yenye uwezo wa mtu mzima kuingia ndani,

Mapepo yalimtumbukiza Binti yule ndani ya blender na kuanza kumsaga na mapanga Yale makali yalikata nyama na mifupa yote ikawa Damu ya kimiminika,

Baada ya hapo, mwili wa Binti yule ulirudi mahala pake kama kawaida na mapepo yalianza tena zoezi like tena na tena na tena. Tangu Binti yule tangu kuingia ndani ya kuzimu zoezi lile lilikuwa endelevu Hadi sasa linaendelea, na usisahau moto mkali inaendelea kumuunguza na kusagwa ndani ya blender kukiendelea.

3. IDARA YA WATOTO WAANGALIA CARTOON.

Mtoto mmoja alilia Kwa uchungu akimsihi Pepo aliyekuwa akiyatoboa macho ya mtoto yule huku alimwambia, wazazi wako walikupa kuangalia cartoon zetu nawe ulizifurahia ,sasa ni zamu Yako kulipia,

Mtoto yule alipokuwa duniani, alipenda kuangalia cartoon za kichawi na za mapigano, mapepo yalitoka ndani ya TV na kumwingia na kumfanya awe kiburi asiyetii Wala kusikiliza maonyo ya wazazi, na alipokuwa akienda shuleni siku moja, gari lilipinduka na akafa na kujikuta Kuzimu ya moto.

Zoezi la mapepo kuyatoboa macho ya mtoto yule mwenye miaka 7 yanaendelea na kujirudia Hadi sasa kosa kuu likiwa ni kuangalia cartoon mbaya.

4. IDARA YA MAKAHABA NA WASAGAJI NA MASHOGA.

Nami nikaona Pepo mwenye uume mkubwa wa CHUMA kinene na urefu wa uume huo wa CHUMA ulikuwa Mita moja, urefu wa Mita moja ni sawa na hatua Moja ya mtu mzima akitembea.

Pepo lile lilimfunga mwanamke yule aliyekuwa alifanya ukahaba na usagaji wanawake wenzie alipokuwa duniani,

Pepo lile baada ya kumfunga minyororo lilimburuta na kuanza kumbaka na kuharibu sehemu za ndani ya MWILI Ule bila huruma.

Kila baada ya kufanya unyama Ule, mwili ulijirudi kama mwanzo na Pepo alianza tena zoezi lile lililokuwa endelevu.

Nami nikaona Mwanaume aliye kufa Kwa ugonjwa uliosababishwa na kansa uliotokana na vitendo vya USHOGA akiingia kuzimu, alidakwa kama mpira na kuanza kuingiliwa na kubakwa kinyume na maumbile na Pepo lile lenye uume mkubwa wa CHUMA mnene wenye urefu wa Mita 1.

Huku moto ukiendelea na ubakaji na kupigwa mkuki Mahali Mahali na kubanikwa mshikaki vikiendelea.

ITAENDELEA...
Ni kama unataka kusema shetani na mapepo yake wanatumiwa na Mungu kuwatesa watu walio kataa kumtii Mungu

Basi shetani Si mbaya kama tuaminishwavyo maana Nae anamtumikia mungu kama wachungaji na mashekhe sema yeye yupo kitengo cha mateso

Mi nadhani shetani hausiki kutufanya tutende dhambi kama ni hivyo maana asingestahili kupewa kitengo cha mateso angetafutwa mwamba mwingine ili asimame kwenye haki

Sijui naandika nini Mimi eee Mungu nirehemu nawaza ovyo ovyooo
 
Mkuu,wewe ni mjinga.

Naomba nikuache,ila niliyoandika itabaki ushuhuda kwako na kwa watu wengine pia.

Yaani unazunguka hujioni wewe unanilazimisha usabato halafu unataka niseme nini kuhusu wafu wakati inajulikana hawajui lolote?,na maandiko yako wazi kuhusu hili?

Wewe kujibu swali langu umeshindwa,unaleta porojo za kipumbavu eti wasabato walienda airport!

Ndiyo maana nasema huyajui unandikayo,maana hilo limashuhudia wewe ni mtu wa kubahatisha maneno!

Na kupitia maneno yako kadhaa,nina uhakika,una uongo mwingi sana wq kiroho bahati mbaya wewe unajua ni ukweli.

Tujipe muda,kaza shingo.

Mimi sijui kuchukuliana na wapumbavu.

Unajua ukipitia uzi huu kuna maswali hata wengine wanauliza,hujibu unapiga chenga tu,acha ujinga wewe mtu.

Kuhusu maandiko haya,rudi ukaombe kwenye ukweli,huenda unaomba ila una majibu ya kila kitu,maombi yako yanakuwa upumbavu kama ulivyo.
Musa alikufa,

Na umekiri aliongea na Yesu mlimani.

Hapohapo unapinga WAFU hawajui lolote.

Usisubiri Hadi ufe ndo ujue UKWELI.

Maandiko yanaposema WAFU hawajui lolote, inamaanisha MWILI.

Mtu ni ROHO, mwili na ROHO vilipoungana, ndipo ikaumbika NAFSI.

Mtu kufa ni kujitenga na mwili. MWILI ndo haujui lolote.

Ila NAFSI huenda kuzimu au Mbinguni kusubiri HUKUMU.

1. Kiswahili ni finyu.

NAFSI huitwa Roho. Na Roho huitwa Roho.

2. Kiingereza kipo kidogo deep.

Soul ndiyo NAFSI.

Roho ni Spirit.

Wasabato huvichanganya hivi vitatu na kushindwa kuelewa.

Nawe ubarikiwe. Uelewe sasa.
 
Ni kama unataka kusema shetani na mapepo yake wanatumiwa na Mungu kuwatesa watu walio kataa kumtii Mungu

Basi shetani Si mbaya kama tuaminishwavyo maana Nae anamtumikia mungu kama wachungaji na mashekhe sema yeye yupo kitengo cha mateso

Mi nadhani shetani hausiki kutufanya tutende dhambi kama ni hivyo maana asingestahili kupewa kitengo cha mateso angetafutwa mwamba mwingine ili asimame kwenye haki

Sijui naandika nini Mimi eee Mungu nirehemu nawaza ovyo ovyooo
Jambo Rahisi Inatakiwa ujue ni,

1. Kuzimu IPO ni HALISI.

2. Ni makao ya muda ya NAFSI na ROHO za waliokufa dhambini.

3. Kuzimu Kuna mateso, ikiwa hutaki kuamini kuwa mapepo yanatesa watu kuzimu, basi amini Kuna moto mkali.

Kuyajua hayo matatu ni kugeuza njia Yako umuelekee Mungu Ili usiingie huko.

Makao ya Wana wa Mungu wafapo ni Mbinguni, ni vyema Ukienda huko.
Hakuna mateso.

Amen
 
Musa alikufa,

Na umekiri aliongea na Yesu mlimani.

Hapohapo unapinga WAFU hawajui lolote.

Usisubiri Hadi ufe ndo ujue UKWELI.

Maandiko yanaposema WAFU hawajui lolote, inamaanisha MWILI.

Mtu ni ROHO, mwili na ROHO vilipoungana, ndipo ikaumbika NAFSI.

Mtu kufa ni kujitenga na mwili. MWILI ndo haujui lolote.

Ila NAFSI huenda kuzimu au Mbinguni kusubiri HUKUMU.

Kiswahili ni finyu.

NAFSI huitwa Roho. Na Roho huitwa Roho.

Kiingereza kipo kidogo deep.

Soul ndiyo NAFSI.

Roho ni Spirit.

Wasabato huvichanganya hivi vitatu na kushindwa kuelewa.

Nawe ubarikiwe. Uelewe sasa.
Pumbavu!
TUongee na mimi sio wasabato!

Acha ujinga!
Hujaona iko wazi kuwa Musa yu mbinguni alifufuliwa?,

Maandiko yako hayana hili?

Niambie mtu mwingine aliyekufa na akatokea hai baadae ni nani tofauti na Musa?

Ewe mpotovu usipotoshe watu hapa!

Najua unataka kutumia maneno yangu kuhalalisha uongo wako!
Acha upumbavu.
 
Ushauri wangu ni huu,endelea kuamini uko sawa,ila uwe mtu wa maombi ya kweli.

Wasabato unaowataja taja hapa hauna uwezo sawa na wao,sanasana utaishia kuwadhihaki ambacho pia haikusaidii kitu.

Tunaweza ignore each other?

Maana hauna hoja ya kunijibu bali shambulizi kwa wengine wasiohusika.
 
Nisome upumbavu wa nini sasa?,

Wewe umeandika nini cha maana nikisoma nitaelimika!
Unaandika upotovu,ukiulizwa maswali unazunguka tu.
Mbona nikikuuliza swali hutaki kujibu, soma post no 509 tujadiliane Polepole Kwa utulivu.
 
Ushauri wangu ni huu,endelea kuamini uko sawa,ila uwe mtu wa maombi ya kweli.

Wasabato unaowataja taja hapa hauna uwezo sawa na wao,sanasana utaishia kuwadhihaki ambacho pia haikusaidii kitu.

Tunaweza ignore each other?

Maana hauna hoja ya kunijibu bali shambulizi kwa wengine wasiohusika.
Ndugu MSABATO!!!

Mimi nakuambia,

Haiipo Mbingu ya wasabato.

IPO Mbingu ya waliookoka, na kumuingia mji huu, lazima umjue Roho mtakatifu na KAZI zake.

Ikiwa Humtambui Roho mtakatifu, ni mpinga kristo.

Huo ndio UKWELI.

Mbinguni hautaingia usipokubali kubadilika.

Sawa hongera.

Ni kweli hakuna mbingu ya wasabato.

Haya kuna nini tena cha kudhihaki uongezee?
 
Somo zuri sana hili.
Share na wengine,

Wambie WANADAMU wanaodanganyana duniani kuwa ukifa ndo basi tena, husikii chochote, ndo mwisho wanajidanganya.

Kuzimu Kuna moto na mateso makali, hakukaliki,

Waache njia mbaya, wamrudie Mungu Ili waingie Paradiso Mahali penye raha tele.

Ubarikiwe.
 
Mkuu kumbe na wewe ni muumini wa ile testimony ya Angelica Zambrano, bila shaka hiyo story ya mtoto kuangalia cartoon mbaya kisha akafa kwa ajali na kuenda Kuzimu ulitoa kwenye ile testimony yake ya "Hell is real", achana na huu uongo mkuu we used to believe in that shit when we were young and naive so stop this crap
 
Mkuu kumbe na wewe ni muumini wa ile testimony ya Angelica Zambrano, bila shaka hiyo story ya mtoto kuangalia cartoon mbaya kisha akafa kwa ajali na kuenda kuzimu ulitoa kwenye ile testimony yake ya "Hell is real", achana na hayo matakataka mkuu we used to believe in that shit when we were young and naive so stop this crap
Kuzimu ni real.

Mbinguni ni real.

Uamuzi ni wako.
 
Jambo Rahisi Inatakiwa ujue ni,

1. Kuzimu IPO ni HALISI.

2. Ni makao ya muda ya NAFSI na ROHO za waliokufa dhambini.

3. Kuzimu Kuna mateso, ikiwa hutaki kuamini kuwa mapepo yanatesa watu kuzimu, basi amini Kuna moto mkali.

Kuyajua hayo matatu ni kugeuza njia Yako umuelekee Mungu Ili usiingie huko.

Makao ya Wana wa Mungu wafapo ni Mbinguni, ni vyema Ukienda huko.
Hakuna mateso.

Amen
Hayatanisaidia kitu yawepo ama yasiwepo ninachojua ni kimoja tu Mungu ni Pendo na ananipenda kweli kweli

Na akamtoa mwanae Wa pekee ili kila amwaminiye asipote Bali awe na uzima Wa milele nimechagua kukaa upande Wa Pendo pasipo vitisho vyovyote na ninafurahia wokovu

Ndio maana sipendi kumtisha mtu Kwa maneno na story kama hizi ili aache ubaya maana hata kuja kwakuwa amemjua Bwana Wa mapendo ila nikwasababu ya hofu

Sasa nauhakika asilimia mia injili haileti hofu ila inaleta amani na utulivu Wa nafsi nje ya hapo chochote kinachoingelewa au kuzungumzwa chenye kuonyesha ubaya Wa huyu baba Wa upendo sitakagi kusikia maana sio injili

Mathayo 11:27 Akasema, Nimekabidhiwa vyote na baba yangu; wala hakuna amjuaye Mwana, ila Baba; wala hakuna amjuaye Baba, ila Mwana, na ye yote ambaye Mwana apenda kumfunulia.
28 Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.
29 Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu;
30 kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.

NAMPENDA SANA HUYU MUNGU MUUMBA MBINGU NA NNCHI hata waseme hakuna jehanamu wala mbingu hata haitanitoa katika Pendo hili maana tangu nimemjua nimepata raha nafsini mwangu.
 
Ubarikiwe,
Anayewapeleka watu kuzimu na kuwarudisha duniani Ili washuhudie, ni Yesu huyo huyo aliye pendo.

Kuwambia kuzimu Kuna moto Si kuwatisha, ni kuwapa Kweli Ili wasiwe vipofu na kudanganywa na shetani.
 
Back
Top Bottom