Live kutoka kuzimu!

Live kutoka kuzimu!

KUZIMU Si maisha yajayo, ni LIVE tunavyoongea mambo hayo yanatendeka.

Nilijaribu kukupa Maandiko yanayoongelea miili sawasawa na ulivyouliza, kwamba unaenda huko Kwa kutumia mwili upi.

Mimi nimefafanua Kwa kirefu.

Labda rudia tena kusoma.
Hayo maandiko na nilichokuuliza ni vitu viwili tofauti. Mi nineuliza hayo maisha baada ya kufa yanawezekanaje kuwa na viungo vya mwili wa maisha haya.we unanipa jibu la utendaji wa Roho Mtakatifu katika maisha haya. Kwa kifupi havina uhusianao wowowte
 
Hayo maandiko na nilichokuuliza ni vitu viwili tofauti. Mi nineuliza hayo maisha baada ya kufa yanawezekanaje kuwa na viungo vya mwili wa maisha haya.we unanipa jibu la utendaji wa Roho Mtakatifu katika maisha haya. Kwa kifupi havina uhusianao wowowte
Mtu wa ndani katika Roho ana viungo vyote kamili.

Jinsi ulivyo na pua, macho mdomo, sikio ,mikono, miguu nk nk hivyo hivyo wewe mtu wako wa ndani ana Kila kiungo uume ukiwapo, hivyo usishangae.

(Mathayo 18:9 ) Says, jicho lako likikusesha lingoe litupe mbali, Kwa maana ni Afadhali uingie uzimani Ukiwa CHONGO kuliko kutupwa Jehanum Ukiwa na Macho yote mawili mazima.

Uliza tena ikiwa una swali, ila usitoke nje ya "Live Kutoka kuzimu ".
 
Mungu anakuwa wapi viumbe wake wateseke hivo.
Anakuwepo, analia Kwa uchungu mkuu maana Mungu kamwe hafurahii kufa Kwa mtu mwenye dhambi,

Ndiye aliyetutuma kwenu tuje kuwaambia muache kufuata maagizo ya Mashetani, mumtii Mungu na kuacha DHAMBI awaokoe.

KUZIMU na Jehanam Si Kwa ajili ya WANADAMU, viliwekwa Kwa ajili ya mapepo na mashetani. Mwanadamu anaenda huko Kwa kupenda kwake Kwa hiari yake akishawishiwa na shetani na majeshi yake.

Na mtu akishakufa, hakuna Purgatory Wala nini, ni uongo wa mashetani kuwahadaa watu kuwa endeleeni kutenda dhambi, mtatakaswa pulgatory, ni uongo mtupu.

Amen.

Amen.
 
Yani mkuu mtoto mdogo asie na utambuzi wa mema na mabaya nae anaenda kupata hayo mateso?
Mbinguni wachawi hawaingii, ikiwa hujui Kuna watoto wachawi ambao hufundushwa uchawi kupitia njia mbalimbali kama cartoons, kulishwa vyakula ndotoni nk nk,

Uwe na HAKIKA wakifa wakiwa najisi na uchawi ni kuzimu ya moto live wataingia .

Ikiwa u mzazi na humpi mafunzo mtoto wako ya Mungu, wachawi watamfundisha uchawi ndotoni, au kupitia cartoon,

Omba sana Kwa ajili ya family Yako na Hasa watoto.

Amen
 
Meen hiyo ya kusagwa kwenye blender kisha unarudi tena kuwa mtu Kisha unasagwa tena,that genius.
Mwili wa udongo ni WA muda tu.

Lakini mwili wa Kiroho haufi, kufa ni kuadhibiwa Si kupotea.

KUZIMU BAADAYE Jehanum ni ADHABU ya milele,

Paradise Kisha Mbinguni ni Kwa WATAKATIFU ,ni milele pamoja na Mungu.

Amen
 
Thibitisha kama kuzimu ipo?

Hizi ni hekaya za watu kutoka Mashariki ya kati?

Hembu Lete kisa kutoka watu wa Mashariki mwa afrika ambao wakizungumzia habari hizo.
Huamini kuwa KUZIMU IPO, nyumbani kwenu hakuna makaburi au watu waliowahi kufa?

KUZIMU ni nyumbani Kwa WAFU,

KUZIMU na Mizimu ndo issue Ile Ile,
KUZIMU, Mizimu, Roho za Mababu zilizokufa na kwenda kwao KUZIMU au Kwa WAFU.

Huwa mnagawana nguo za marehemu Ili iweje? Au Huwa mnawasha mishumaa makaburini Ili iweje, au Huwa mnafanya kumbukumbu na IBADA siku ya arobaini ajili ya nini, au ukipitiwa changamoto wewe unayeamini mababu kwanini Huwa unaenda kulilia makaburini?

KUZIMU ni HALISI kama MBINGU ilivyo halisi.

Amen
 
Utuambie kbs utajiita nabii nani?
Wala hata Si Nabii, ni mtumwa ndogo tu asiye na faida katika Ufalme wa Mungu.


Muhimu ni Wana wa Mungu wajue kuwa Mungu anachukia dhambi watendazo WANADAMU, ila anawapenda sana WANADAMU ndio maana anatuma watumishi wake kuwasihi wageuke na kuziacha njia zao mbaya Kwa hiari Yao.

Amen
 
 
Duuh idara ya wapiga punyeto 😁
PUNYETO ni mbaya na ni something spiritual,

Mtu afanyapo masterbation,Ile imagination akilini inayosababisha uume kusimama ni ya kipepo, picha unayojenga akilini ni Pepo unashiriki nalo,

Na usichojua ni kuwa manii unazomwaga Kwa PUNYETO huchukuliwa na kupelekwa Kuzimu yalipo Makao ya mapepo na mashetani kwenye viwanda vyao, na mbegu hizo hutumika kutengeneza watoto katika viwanda vya kuzimu,

Mbegu zako huchukuliwa na huenda kuumba miili na kuleta watoto Walio Nusu mtu nusu Pepo duniani.

Kumbuka mbegu zako hutoa millions ya mbegu, sasa tangu mtu ameanza TABIA hiyo amesaidia kuitaabusha Dunia Kwa kiasi Gani.!!

Mungu amesema, Kila mtu awe na mke wake mwenyewe.

Mungu atusaidie, Ikitokea mpiga PUNYETO kafa na hajatubu na kuacha UOVU huo,

Mateso ya kule hayaelezeki.

Amen
 
Yani mkishavuta bangi zenu mnaamini vitu hovyohovyo bila kushirikisha ubongo kabisa!
Ujumbe huu Si wako, wapo watakaookolewa Kwa kusoma Thread hii.

Ikiwa Yesu, Mungu mwenyewe aliyekuwa katika mwili wa mwanadamu alipojitambulisha kwao walimwita Mwendawazimu, iweje Mimi ?

Mungu akusaidie, akipenda atakuokoa, Si KAZI yangu kuhukumu, nimeleta maonyo pekee!!
 
Manabii wa Uongo na Wachungaji wa uongo nao Wana sehemu Yao KUZIMU ya moto!

Endelea kuwepo!!
 
Kwa wajuzi wa hizi habari. Kaini yupo kuzimu?
Hakuna muuaji atakayeingia Mbinguni.

Wauaji wote wapo mle ndani KUZIMU ya moto.

Tusubiri muendelezo wa simulizi.
 
Mada nzuri sanaila umezungua tu pale ulipotaja chama pendwa cha chaputa eti na wenyewe nao wana kuzimu yao.
Hivi punyeto imekatazwa kweli kwenye biblia kuwa ni dhambi?
Soma post No 55, Nimemjibu Dr Haya land, aliuliza swali kama lako.
 
Back
Top Bottom