GEBA2013
JF-Expert Member
- Feb 22, 2014
- 4,880
- 6,047
POLE SANA UNAMSIKILIZA HUYO TAPELI NA ANAKUAMINISHA UWONGO KIASI HICHO?SOMA BIBLIA WAFU WAKO MAKABURINI WANASUBIRI UFUFUO.hapa nimekuelewa, ubarikiwe mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
POLE SANA UNAMSIKILIZA HUYO TAPELI NA ANAKUAMINISHA UWONGO KIASI HICHO?SOMA BIBLIA WAFU WAKO MAKABURINI WANASUBIRI UFUFUO.hapa nimekuelewa, ubarikiwe mkuu
Huu ndio ukweli,kumuita tapeli nashindwa,ila huyo mtu anafanya kama yeye tu ndio anajua vitu sahihi,hafundishiki.POLE SANA UNAMSIKILIZA HUYO TAPELI NA ANAKUAMINISHA UWONGO KIASI HICHO?SOMA BIBLIA WAFU WAKO MAKABURINI WANASUBIRI UFUFUO.
We jamaa jau hapo ndo ulipozingua sasa kwahiyo chumvi uchawi duh... anyway kwa mafundisho uliyoyasema ukisearch hell in Buddhism youtube utakutana nacho ulichokiongelea hicho.Kuna mchawi na mganga mmoja humu JF Huwa anamwambia kutumia chumvi ya mawe kuinyunyiza kabla ya kulala Ili kujinginga na wachawi,
Uliwahi jiuliza maarifa hayo potofu kayatoa wapi zaidi ya kuzimu?
Maagent wa kuzimu mnawaelewa, Agent wa Kutoka JUU kwann upate tabu kumsoma?
Jamaa anazingua baadhi ya sehemu hasa hiyo ya chumvi dah, pia hell according to Buddhism ndo kama alichoongelea jamaa huyo YouTube vipo vyote hivyo ila yeye the way anavyowasilisha.. dah2Wafalme2:19-21
19:Watu wa mjini wakatoka wakamwambia Elisha,tazama twakusihi mahali pa mji huu ni pazuri kama bwana wangu aonavyo,lakini maji yake hayafai ,na nchi huzaa mapooza
20;Akasema nileteeni chombo kipya mtie chumvi ndani yake,wakamletea
21;Akatoka akaenda mpaka chemchem ya maji ,akatupa Ile chumvi mle ndani,akasema BWANA asema hivi nimeyaponya maji Haya,hakutoka huko tena kufa wala kuzaa mapooza.
Huwa unapata muda wa kusoma maandiko Kweli?Chumvi Ina historia tangu enzi na enzi
Kwa hiyo rasta zimebuniwa kuzimu si ndio, na hiyo smart phone unayotumia kuleta hili bandiko imebuniwa wapi, kitu kingine natumaini huwa unatumia kioo, je asili unaijua vile kilipotoka?. kingine vipi na wale mababu zetu walikuwa wanavaa magome ya miti kwa hiyo nao wanaenda kuzimu au... bro kuna sehemu unajichanganyaTohara Mungu aliagiza waisraeli wafanye Kwa watoto wao kuonyesha tofauti Yao na mataifa mengine.
Manabii pia Mungu ameruhusu kutonyoa ikiwa ni Mnadhiri wa Mungu.
Bt Mwanaume KICHWA chake ni muhimu kinyolewe, mwanamke kuacha nywele zake kama kifuniko Cha KICHWA chake ni sawa.
Lakini kufuata mitindo ya kidunia Kwa wana wa Mungu ni DHAMBI.
Mfano Mwana wa Mungu kuvaa nguo zilizochanwa mapajani ni dhambi inayotosha kukutupa kuzimu ukifa.
Kuvaa nguo zilizochanika sehemu sehemu, au kusuka Rasta ni mitindo iliyobuniwa kuzimu.
Ni ya kuzimu kubuni mitindo hiyo ni kumfanya anayevaa nguo za kuchanika au kusuka Rasta awe kichaa. Na mapepo hayo yanaishi jalalani. Ndomana vichaa hukaa jalalani na kuwa na mwonekano wa Rasta.
Waangalie vijana wanyoa viduku, wafuga Rasta akili zao, zinaelekea kuwa vichaa kamili.
Kufuga kucha ndefu Nia ya Mapepo yaliyobuni mtindo huo ni ufanane na Misukule Ili baadae uchukuliwe msukule baadae uende Kuzimu.
Ukifuga kucha ndefu ukidhani ni urembo, ukinyoa viduku, au kusuka Rasta na unasali, ukifa, utakataliwa GETI la Mbinguni na kurudishwa kutupwa KUZIMU ya moto.
Lazima iwepo tofauti ya Wana wa Mungu na Wana wa Giza.
Haifai kufanana nao, aliyeokoka analegezaje suruali? Kulegeza suruali nia ni uwe shoga au mfiraji.
Na mashoga na wafirahi Mbinguni hawaingii.
Huo ni UKWELI. Kubali uokolewe au kataa uhukumiwe
Aamen
nimwamini nani apaPOLE SANA UNAMSIKILIZA HUYO TAPELI NA ANAKUAMINISHA UWONGO KIASI HICHO?SOMA BIBLIA WAFU WAKO MAKABURINI WANASUBIRI UFUFUO.
Wala usiendelee, umeandika pumba mwanzo mwisho.INTRODUCTION.
Sikutishi, Ninakupa UKWELI Ili uamue mahali pa kwenda utakapokufa.
MBINGUNI ,ni makazi ya Walio hai,
KUZIMU: Ni nyumbani Kwa wafu, ni gereza la kuwatunza wafu wakipitia mateso kabla ya HUKUMU ya Mungu,
Mateso yanayoendelea mahali hapa yanafanywa na Mapepo na Mashetani Kwa Roho za watu wasiomtii Mungu, wafao katika Dhambi.
Jehanum haijawapo Bado, Ile itaumbwa wakati wa Mwisho wa Ulimwengu utapowadia, na pale Mungu ndipo ataadhibu watu waliotunzwa katika Gereza la kuzimu, ila katika kuzimu, watu, mapepo na mashetani Kwa ujumla wao watatupwa Kwa ajili ya HUKUMU ya milele.
AINA ZA WAFU WALIO MAGEREZANI.
1. Imeandikwa, Atendaye dhambi ni mtumwa wa dhambi, hiyo Kwa tafsiri hiyo WANADAMU Walio hai ni wafu wanaotembea, bila TOBA na kutakaswa, utaelekea kuzimu ninapokwenda kupaongelea.
2. Misukule.
Hawa wamefungwa na hutumika na wachawi na mapepo, shetani Ili kufanya KAZI za Shetani kujenga ufalme wake.
Zipo pia aina nyingi za misukule Walio katika magereza ya kuzimu lakini sitawaongelea Leo.
AINA ZA KUZIMU / MATABAKA YA KUZIMU.
1. KUZIMU KAVU.
Hili ni eneo ambalo hutumiwa na matajiri wa Ulimwengu huu , wanasiasa, wasanii, viongozi mbalimbali kwenda kupata utajiri au nyota Kwa kufunga mikataba ya kubadilishana na NAFSI zao, eneo hili ni kama gulio la kuuza na kubadilishana NAFSI za WANADAMU Kwa sadaka ya Damu,
Eneo hili wachawi hutamba na kujiona ndo wamefika lakini wasilolijua ni kuwa shetani Huwa amewaficha kutojua eneo au tabaka la tatu chini kabisa nini kinaendelea, huko ndipo nitapaongelea Leo. Wachawi huua na kumwaga Damu za watu wakishirikiana na mapepo Ili kumfurahisha boss wao shetani,ila ukifika muda wao, shetani huwageuka na kuwaua na huenda tabaka la tatu la kuzimu.
2. Tabaka la pili/ Kuzimu kama himaya ya Mashetani na Mapepo kama himaya Yao./ Ulimwengu wa Giza.
Mahala hapa, binafamu hakanyagi, ni eneo la kimamlaka ambapo mipango Yao husukwa wakiongozwa na Shetani mwenyewe.
Eneo Hilo ni Giza tupu, na ndipo hukaa mapepo yenye kuleta dhoruba na vimbunga na Kila aina ya majanga tunayoyaita ya asili.
Mahali hapa ndipo palipo na kizuizi Cha maombi ya WATAKATIFU kufika Mbinguni, maana ndipo walipo mapepo na mashetani yaongozao falme za Dunia na watu wake, hivyo Kwakuwa Mbinguni ni juu zaidi, mwanadamu aliye chini kutoboa sehemu hiyo Si vyepesi, ndomana unaweza omba Leo na ikachukua muda mrefu kupata majibu, sababu ufalme huu huzuia.
3. KUZIMU YA MOTO.
Mahali hapa ndipo nitapokueleza kinachoendelea.,
WANADAMU Walio katika kuzimu na magereza haya ya kawaida mfano Misukule nk nk , huweza kufunguliwa kirahisi na kurudishwa, lakini mtu alifika KUZIMU ya MOTO harudi tena kamwe duniani, ni anasubiri HUKUMU.
Wapo watu ambao huuwawa na wachawi au wafao kabla ya siku zao kutimia, Roho hizi hutangatanga duniani Hadi pale muda wao ukifika ndipo huingizwa na Malaika wa Giza eneo lile la mateso yaana kuzimu ya moto.
Ni hapa ambapo wachawi, wazinzi,wezi ,wapenda anasa ambao walikuwa wakimtumikia shetani wakidhani ni Rafiki Yao, hugeuka na kuwatesa vikali bila kujali KAZI walomfanyia.
TOPIC: LIVE KUTOKA KUZIMU.
Shimo hili halijai na halijawahi kujaa, tangu kuumbwa Ulimwengu wamekuwa wakitupwa Roho za WANADAMU na halijai, tangu alipotupwa Cain Hadi Leo,
Na umbali wa mtu mmoja na mwingine, ni sawa na Mita Mia. Hivyo Kila Mmoja hutweswa kivyake, vinavyosikika ni vilio na maumivu yasiyokoma.
Eneo hili moto huwaunguza watu waliomo bila mapumziko na mapepo yaliyomo, huendelea kuwaadhibu raia au wafungwa wa humo sawasawa na dhambi zilizowapeleka humo.
1. IDARA YA WACHORA TATOOS!
Nami nikaona watu waliojichora miili Yao wake Kwa waume Kila mmoja Mahali pake.
Kuna wengine waliojichora tattoo baadhi ya sehemu tu za miili Yao, lakini wengine waliojichora mwili mzima.
Wanawake wengine waliojichora Hina mwilini, pia walikuwa katika IDARA hiyo,
Mapepo yenye visu vikali yaliendelea kukata Kila eneo lililochorwa tattoo na kutoboa ngozi Kwa visu vile, mtu yule alipiga kelele Kwa maumivu makali lakini mapepo hayakuacha kuwatesa wakati moto ukiendelea kuwaunguza na hawateketei.
Yaliwakejeli na kuwaambia haya ni malipo Kwa kutomsikiliza Muumba wenu, wakati ngozi ikiendelea kukatwa, kutobolewa, moto uliendelea kuwaunguza, na zoezi hili liliendelea mfululizo, hakuna kupumzika kule.
Pia walitoka funza wakali na kuchimba vidonda vile vilivyoachwa wazi na mapepo yaliwatoboa Kila Mahali penye tattoo, michoro au Hina. Maumivu Yale hayaelezeki.
Rejea (Luke: 16: 19-31.). Tajiri alimwomba maskini achovye angalau tonne la maji Ili angalau auburudishe Ulimi wake ulochomwa Kwa moto mkali.
2. IDARA YA WATOA MIMBA, WAFANYA UASHERATI KABLA YA NDOA NA WAPIGA PUNYETO.
Nami nikaona Pepo akimgeuza KICHWA chini miguu juu mwanamke aliyetoa mimba alipokuwa msichana, Pepo lilichukua kisu kikubwa na kuanza kuchoma na kukatakata sehemu za Siri za mwanamke yule bila huruma, Pepo lilimpiga mkuki uliopita kupitia sehemu za Siri Kisha mkuki Kutokea mgomoni na kumbanika kama mshikaki, alitamani kufa lakini kule kifo hakipo, ni mateso mfululizo.
Mwanamke alipiga kelele akiomba msaada Kwa Malaika wa Mungu amsaidie Kutoka mahala pale akiapa kuwa kamwe hatorudia dhambi Ile lakini haikuwezekana, maana imeandikwa, Mshahara wa dhambi ni MAUTI, na Baada ya KIFO ni HUKUMU.
Kisha nikaona kundi la mapepo wakimburuta kijana mmoja wa kiume aliyekuwa akijichua, alipigwa pingu na kutundikwa juu na kuisha mapepo yalianza kukatakata uume wamtu yule Kwa msumeno bila kujali maumivu aliyopitia, na Kila baada ya kumaliza kukata, kiungo kilirudi mahala pake na yaliendelea na zoezi Hilo bila kuacha Hadi tunaondoka eneo la tukio.
Nami nikamwona Binti mmoja aliyekuwa alifanya UASHERATI KABLA ya NDOA,
Pepo lilichukua blender kubwa ya kama ambayo hutumika kusagia juc, blender Ile ilikuwa kubwa yenye uwezo wa mtu mzima kuingia ndani,
Mapepo yalimtumbukiza Binti yule ndani ya blender na kuanza kumsaga na mapanga Yale makali yalikata nyama na mifupa yote ikawa Damu ya kimiminika,
Baada ya hapo, mwili wa Binti yule ulirudi mahala pake kama kawaida na mapepo yalianza tena zoezi like tena na tena na tena. Tangu Binti yule tangu kuingia ndani ya kuzimu zoezi lile lilikuwa endelevu Hadi sasa linaendelea, na usisahau moto mkali inaendelea kumuunguza na kusagwa ndani ya blender kukiendelea.
3. IDARA YA WATOTO WAANGALIA CARTOON.
Mtoto mmoja alilia Kwa uchungu akimsihi Pepo aliyekuwa akiyatoboa macho ya mtoto yule huku alimwambia, wazazi wako walikupa kuangalia cartoon zetu nawe ulizifurahia ,sasa ni zamu Yako kulipia,
Mtoto yule alipokuwa duniani, alipenda kuangalia cartoon za kichawi na za mapigano, mapepo yalitoka ndani ya TV na kumwingia na kumfanya awe kiburi asiyetii Wala kusikiliza maonyo ya wazazi, na alipokuwa akienda shuleni siku moja, gari lilipinduka na akafa na kujikuta Kuzimu ya moto.
Zoezi la mapepo kuyatoboa macho ya mtoto yule mwenye miaka 7 yanaendelea na kujirudia Hadi sasa kosa kuu likiwa ni kuangalia cartoon mbaya.
4. IDARA YA MAKAHABA NA WASAGAJI NA MASHOGA.
Nami nikaona Pepo mwenye uume mkubwa wa CHUMA kinene na urefu wa uume huo wa CHUMA ulikuwa Mita moja, urefu wa Mita moja ni sawa na hatua Moja ya mtu mzima akitembea.
Pepo lile lilimfunga mwanamke yule aliyekuwa alifanya ukahaba na usagaji wanawake wenzie alipokuwa duniani,
Pepo lile baada ya kumfunga minyororo lilimburuta na kuanza kumbaka na kuharibu sehemu za ndani ya MWILI Ule bila huruma,
Kila baada ya kufanya unyama Ule, mwili ulijirudi kama mwanzo na Pepo alianza tena zoezi lile lililokuwa endelevu,
Nami nikaona Mwanaume aliye kufa Kwa ugonjwa uliosababishwa na kansa uliotokana na vitendo vya USHOGA akiingia kuzimu, alidakwa kama mpira na kuanza kuingiliwa na kubakwa kinyume na maumbile na Pepo lile lenye uume mkubwa wa CHUMA mnene wenye urefu wa Mita 1. Huku moto ukiendelea na ubakaji na kupigwa mkuki Mahali Mahali na kubanikwa mshikaki vikiendelea.
ITAENDELEA...........
Usisome andiko moja pekee ,soma yote na uombe ufunuo juu ya maana. BIBLIA ni coded,
Yesu kabla ya kufa alimwambia mfungwa pembeni yake aliyetubu kuwa, Leo hii, utakuwa nami Paradiso hujasoma?
Hujasoma kuwa Yesu alipokufa alishuka kuzimu na kumnyang'anya Shetani funguo za MAUTI na kuzimu?
Ikiwa waliokufa hawatambui chochote kwanini mnafanya IBADA za WAFU na kuwasha mishumaa makaburini, hamjui mnawasiliana na kufanya I ada za WAFU?
Soma " Live Kutoka kuzimu" itaongeza ufahamu wako juu ya BIBLIA.
Pia nimequote maandiko Kila baada ya maelezo Fulani, Fungua BIBLIA usome kama utakuta tofauti na nilichokuletea!!
Na ndio hawa wanao comment kwa hasira na kupinga kila kitu cha kimungu. Ndio hawa wanaotala uwaoneshe Mungu kama wanavyoona Milima. Ndio hawa wanataka uwaletee Mungu huku umemshika mkono. Wanatumia fake ID kujifunua humu japo mtaani hatujawahi waona kwa dhahiri na kwa kiuhalisia. Kwa miaka yangu ya kuishi duniani sijawahi kutana naye hata mmoja physically na pia kwa muda niliotumia mitandao kama FB, Twitter, Instagram na mingineyo sijawahi kukutana nao zaidi ya huku JF kwa kuwa wana fake ID.
Waacheni watoto WADOGO waje kwangu, msiwazuie maana watoto WADOGO kama Hawa, ufalme wa Mungu ni wao.Mkuu naomba kuuliza, pale yesu aliposema "waacheni watoto wadogo waje kwangu ......,"' unaeza kuwa na uelewa juu ya kauli hii, yani kwanini hakusema '"waleteni watoto wadogo kwangu ...."? Kwako Mtumishi Rabbon
“Nayo mavumbi kuirudia nchi kama yalivyokuwa, nayo roho kumrudia Mungu aliyeitoa.” Mhubiri 12:7
“Walio hai wanajua ya kwamba watakufa; lakini wafu hawajui neno lo lote, wala hawana ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa. Mapenzi yao na machukio yao, na husuda yao, imepotea yote pamoja; wala hawana sehemu tena katika jambo lo lote linalofanyika chini ya jua.” “Lo lote mkono wako utakalolipata kulifanya, ulifanye kwa nguvu zako; kwa kuwa hakuna kazi, wala shauri, wala maarifa, wala hekima, huko kuzimu (kaburini) uendako wewe.” Mhubiri 9:5,6,10.
Ufufuko ni Illogical kama kweli mtu akifa anaenda mbinguni au kuzimu.
Pia shetani ndio mtu wa kwanza kudanganya kuhusu kifo katika kitabi cha mwanzo alipokwambia hawa kuwa ukila hilo tunda hakika hutokufa.
Hayo mambo ya kuabudu wafu ni upotovu na ni ibada ya kishetani. Hapa shetani ameteka watu sababu anajua watu wanakuwa na uchungu sana na watu wao waliokufa, utaletewa mpaka ndoto za watu wako waliokufa if youNow nimegundua pia u katika kifungo Cha dini ya wasabato.Umesema "ibrahimu alitokewa na malaika waliovaa miili ya wanadamu na wakashiriki chakula", hii nakubali ni kweli.
Lakini tabua malaika kwao neno roho halijasimama kama unavyolitumia wewe,na ndio maana nikakuuliza roho ni nini?,
Sasa kumbe ili roho ile chakula lazima iwe na mwili wa kula,ila hizo roho unazosema wewe za kuzimu zina mwili ni zipi hasa,maana miili hii tunakuwa tumeizika,na ukisema mtu akifa anaenda sijui kuzimu kuanza kutumikia hukumu mara moja au paradiso huo ni uongo na mafundisho yaliyojaa upotovu,maana YULE aliyefufuka,alifufuka na siku ileile ya jumapili asubuhi alimwambia mariam magdalene kuwa "usinishike maana sijaenda kwa BABA",kumbuka anasema hivyo baada ya kufa na kufufuka,sasa kama Yeye hata huko kwa BABA hajaenda,wewe unawezaje kutuaminisha hapa wale wema watakuwa paradiso hapohapo wanapokufa na waovu watakuwa kuzimu?
Hoja namba 3,haipaswi kuulizwa na mtu anayejiaminisha anajua maandiko kama wewe,bali mwanafunzi,hivyo nashangaa wewe kuuliza hilo swalii kwangu.
Naomba nihamie hoja namba 4 kama ulivyouliza,na kabla sijaanza kukujibu nikuulize swali,kipindi musa na eliya wanakuja na kuongea na masihi kuhusu habari za kufariki kwake,petro na yohana na yakono waliwatambua musa na eliya na hata petro aliwataja kwa majina yao bila kuwambiwa wala kutambulishwa na mtu,niambie aliwezaje kuwatambua wakati watu hao waliishi kizazi cha zamani sana zaidi ya miaka 2000 ilikuwa imepita na hajawahi kuwaona kabla?,
Sasa kabla sijakujibu zaidi,nacukua nafasi hii kuuthibitishia umma unaosoma uzi huu kuwa japo wewe mwenyewe unafanya kama vile unayajua maandiko,HUJUI LOLOTE SAWASAWA NA UANDIKACHO HAPA,HII NATHIBITISHA BAADA YA WEWE MWENYEWE KUULIZA SWALI NAMBA 4 HAPO JUU,AMBALO MTU MWENYE NURU SAWASAWA HAWEZI KUTUMIA MFANO HUO KUENDELEZA MAFUNDISHO YA UONGO JUU YA WAFU,hilo swali huwa linaulizwa na wote wasiojua maandiko huku wakilitumia fungu husika kupotosha watu wengine,naomba nikujibu vema ili nikutoe kwenye kutoamini na kuamini kinyume na kilichotakiwa kama ifuatavyo;
Kwanza tusome jinsi lilivyoandikwa kwenye vitabu vyetu: " Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, leo hivi utakuwa pamoja nami peponi",katika fungu hili utaona wazi kuwa huyo mwizi na Yesu siku hiyo watakuwa peponi,hiyo ndio mana yake hasa kwa mujibu wa uandishi ulivyo.
Ila kwa msomaji wa biblia kwa maombi mengi ungekuwa umefunguliwa katika kifungo hiki kwa kujua kuwa Yesu na huyo mwizi wakifa hawatajua neno lolote bali kusubiri ufufuo,sasa kama wapo peponi na Mungu,maana naamini Mungu peponi yupo,kwanini waje kufufua mwili huu ulioharibika eti kwa kuunganisha roho na mwili,yaani mwili upo,then ili ufufuke ndio uungwe kweli na roho?,kinyume chake jibu swali roho ni nini?, piq kipindi anamfufua lazaro, aliita njoo huku nje,hakusema roho itoke peponi ije iungane na mwili ndio mwili tena utoke nje ya kaburi.
Katika fungu husika,msomaji anayejua maandiko angeweza kufunuliwa tu kuwa pale shida ni mahali alama ya koma ilipowekwa,na kitabu husika kina sehemu nyingi tu zilizowekwa muundo huo maana ni wanadamu huunganisha kitabu kile,sasa fungu lile yapaswa lisomeke hivi " Yesu akamwambia, Amin, nakuambia leo hivi,utakuwa pamoja nami peponi",yaani huyo mwizi alipaswa siku hiyo,saa hiyo (leo hivi) aamini kabisa kabla hajafa kuwa atakuwa na Yesu peponi,hii ndio maana ya fungu husika wala si kama utakavyo kuliweka.
Kwahiyo shida pale ni ile alama ya koma tu wala si maandishi katika fungu husika,kama ingekuwa hivyo basi Yesu angekuwa mwongo maana alisema akifa atakuwa katika moyo wa nchi yaani ardhi kwa siku 3,je peponi ni ardhini kwenye moyo wa nchi?,jibu ni dhahiri atakuwa kaburini,hadi hapa tu,elezea kwanini asingesema atakuwa peponi kwa siku 3 halafu atafufuka ila anasema atakuwa kwenye moyo wa nchi?
Wasabato wanasoma maandiko KIMWILI, ni sawa pia kikuita mfarisayo.
Wasabato hawaamini juu ya Roho mtakatifu na kunena Kwa lugha, so Imani ya wasabato haipo katika Kristo,
Soon utaanza kuona shift MAKANISA na makusanyiko ya jumapili wakihamia Jumamosi na kuungana.
Wote wamwaminio kristo tutaungana na kurudi kuwa kitu kimoja na kurudi kuabudu jumamosi, Yesu analitaka Kanisa lake liungane na kuwa kitu kimoja kabla ya UNYAKUO.
Endelea kusoma " Live Kutoka KUZIMU utakutana na waliotupwa kuzimu ya moto Kwa Kukataa Kweli ya maandiko Kwa kushika baadhi ya maandiko na kukataa mengine.
Aamen.
mkuu hapa kuna masomo mengine, naomba uitazame koment yako hii kisha uyaandae, na kama yapo naomba un-tag huko tafadhl
Are you mad?INTRODUCTION.
Sikutishi, Ninakupa UKWELI Ili uamue mahali pa kwenda utakapokufa.
MBINGUNI ,ni makazi ya Walio hai,
KUZIMU: Ni nyumbani Kwa wafu, ni gereza la kuwatunza wafu wakipitia mateso kabla ya HUKUMU ya Mungu,
Mateso yanayoendelea mahali hapa yanafanywa na Mapepo na Mashetani Kwa Roho za watu wasiomtii Mungu, wafao katika Dhambi.
Jehanum haijawapo Bado, Ile itaumbwa wakati wa Mwisho wa Ulimwengu utapowadia, na pale Mungu ndipo ataadhibu watu waliotunzwa katika Gereza la kuzimu, ila katika kuzimu, watu, mapepo na mashetani Kwa ujumla wao watatupwa Kwa ajili ya HUKUMU ya milele.
AINA ZA WAFU WALIO MAGEREZANI.
1. Imeandikwa, Atendaye dhambi ni mtumwa wa dhambi, hiyo Kwa tafsiri hiyo WANADAMU Walio hai ni wafu wanaotembea, bila TOBA na kutakaswa, utaelekea kuzimu ninapokwenda kupaongelea.
2. Misukule.
Hawa wamefungwa na hutumika na wachawi na mapepo, shetani Ili kufanya KAZI za Shetani kujenga ufalme wake.
Zipo pia aina nyingi za misukule Walio katika magereza ya kuzimu lakini sitawaongelea Leo.
AINA ZA KUZIMU / MATABAKA YA KUZIMU.
1. KUZIMU KAVU.
Hili ni eneo ambalo hutumiwa na matajiri wa Ulimwengu huu , wanasiasa, wasanii, viongozi mbalimbali kwenda kupata utajiri au nyota Kwa kufunga mikataba ya kubadilishana na NAFSI zao, eneo hili ni kama gulio la kuuza na kubadilishana NAFSI za WANADAMU Kwa sadaka ya Damu,
Eneo hili wachawi hutamba na kujiona ndo wamefika lakini wasilolijua ni kuwa shetani Huwa amewaficha kutojua eneo au tabaka la tatu chini kabisa nini kinaendelea, huko ndipo nitapaongelea Leo. Wachawi huua na kumwaga Damu za watu wakishirikiana na mapepo Ili kumfurahisha boss wao shetani,ila ukifika muda wao, shetani huwageuka na kuwaua na huenda tabaka la tatu la kuzimu.
2. Tabaka la pili/ Kuzimu kama himaya ya Mashetani na Mapepo kama himaya Yao./ Ulimwengu wa Giza.
Mahala hapa, binafamu hakanyagi, ni eneo la kimamlaka ambapo mipango Yao husukwa wakiongozwa na Shetani mwenyewe.
Eneo Hilo ni Giza tupu, na ndipo hukaa mapepo yenye kuleta dhoruba na vimbunga na Kila aina ya majanga tunayoyaita ya asili.
Mahali hapa ndipo palipo na kizuizi Cha maombi ya WATAKATIFU kufika Mbinguni, maana ndipo walipo mapepo na mashetani yaongozao falme za Dunia na watu wake, hivyo Kwakuwa Mbinguni ni juu zaidi, mwanadamu aliye chini kutoboa sehemu hiyo Si vyepesi, ndomana unaweza omba Leo na ikachukua muda mrefu kupata majibu, sababu ufalme huu huzuia.
3. KUZIMU YA MOTO.
Mahali hapa ndipo nitapokueleza kinachoendelea.,
WANADAMU Walio katika kuzimu na magereza haya ya kawaida mfano Misukule nk nk , huweza kufunguliwa kirahisi na kurudishwa, lakini mtu alifika KUZIMU ya MOTO harudi tena kamwe duniani, ni anasubiri HUKUMU.
Wapo watu ambao huuwawa na wachawi au wafao kabla ya siku zao kutimia, Roho hizi hutangatanga duniani Hadi pale muda wao ukifika ndipo huingizwa na Malaika wa Giza eneo lile la mateso yaana kuzimu ya moto.
Ni hapa ambapo wachawi, wazinzi,wezi ,wapenda anasa ambao walikuwa wakimtumikia shetani wakidhani ni Rafiki Yao, hugeuka na kuwatesa vikali bila kujali KAZI walomfanyia.
TOPIC: LIVE KUTOKA KUZIMU.
Shimo hili halijai na halijawahi kujaa, tangu kuumbwa Ulimwengu wamekuwa wakitupwa Roho za WANADAMU na halijai, tangu alipotupwa Cain Hadi Leo,
Na umbali wa mtu mmoja na mwingine, ni sawa na Mita Mia. Hivyo Kila Mmoja hutweswa kivyake, vinavyosikika ni vilio na maumivu yasiyokoma.
Eneo hili moto huwaunguza watu waliomo bila mapumziko na mapepo yaliyomo, huendelea kuwaadhibu raia au wafungwa wa humo sawasawa na dhambi zilizowapeleka humo.
1. IDARA YA WACHORA TATOOS!
Nami nikaona watu waliojichora miili Yao wake Kwa waume Kila mmoja Mahali pake.
Kuna wengine waliojichora tattoo baadhi ya sehemu tu za miili Yao, lakini wengine waliojichora mwili mzima.
Wanawake wengine waliojichora Hina mwilini, pia walikuwa katika IDARA hiyo,
Mapepo yenye visu vikali yaliendelea kukata Kila eneo lililochorwa tattoo na kutoboa ngozi Kwa visu vile, mtu yule alipiga kelele Kwa maumivu makali lakini mapepo hayakuacha kuwatesa wakati moto ukiendelea kuwaunguza na hawateketei.
Yaliwakejeli na kuwaambia haya ni malipo Kwa kutomsikiliza Muumba wenu, wakati ngozi ikiendelea kukatwa, kutobolewa, moto uliendelea kuwaunguza, na zoezi hili liliendelea mfululizo, hakuna kupumzika kule.
Pia walitoka funza wakali na kuchimba vidonda vile vilivyoachwa wazi na mapepo yaliwatoboa Kila Mahali penye tattoo, michoro au Hina. Maumivu Yale hayaelezeki.
Rejea (Luke: 16: 19-31.). Tajiri alimwomba maskini achovye angalau tonne la maji Ili angalau auburudishe Ulimi wake ulochomwa Kwa moto mkali.
2. IDARA YA WATOA MIMBA, WAFANYA UASHERATI KABLA YA NDOA NA WAPIGA PUNYETO.
Nami nikaona Pepo akimgeuza KICHWA chini miguu juu mwanamke aliyetoa mimba alipokuwa msichana, Pepo lilichukua kisu kikubwa na kuanza kuchoma na kukatakata sehemu za Siri za mwanamke yule bila huruma, Pepo lilimpiga mkuki uliopita kupitia sehemu za Siri Kisha mkuki Kutokea mgomoni na kumbanika kama mshikaki, alitamani kufa lakini kule kifo hakipo, ni mateso mfululizo.
Mwanamke alipiga kelele akiomba msaada Kwa Malaika wa Mungu amsaidie Kutoka mahala pale akiapa kuwa kamwe hatorudia dhambi Ile lakini haikuwezekana, maana imeandikwa, Mshahara wa dhambi ni MAUTI, na Baada ya KIFO ni HUKUMU.
Kisha nikaona kundi la mapepo wakimburuta kijana mmoja wa kiume aliyekuwa akijichua, alipigwa pingu na kutundikwa juu na kuisha mapepo yalianza kukatakata uume wamtu yule Kwa msumeno bila kujali maumivu aliyopitia, na Kila baada ya kumaliza kukata, kiungo kilirudi mahala pake na yaliendelea na zoezi Hilo bila kuacha Hadi tunaondoka eneo la tukio.
Nami nikamwona Binti mmoja aliyekuwa alifanya UASHERATI KABLA ya NDOA,
Pepo lilichukua blender kubwa ya kama ambayo hutumika kusagia juc, blender Ile ilikuwa kubwa yenye uwezo wa mtu mzima kuingia ndani,
Mapepo yalimtumbukiza Binti yule ndani ya blender na kuanza kumsaga na mapanga Yale makali yalikata nyama na mifupa yote ikawa Damu ya kimiminika,
Baada ya hapo, mwili wa Binti yule ulirudi mahala pake kama kawaida na mapepo yalianza tena zoezi like tena na tena na tena. Tangu Binti yule tangu kuingia ndani ya kuzimu zoezi lile lilikuwa endelevu Hadi sasa linaendelea, na usisahau moto mkali inaendelea kumuunguza na kusagwa ndani ya blender kukiendelea.
3. IDARA YA WATOTO WAANGALIA CARTOON.
Mtoto mmoja alilia Kwa uchungu akimsihi Pepo aliyekuwa akiyatoboa macho ya mtoto yule huku alimwambia, wazazi wako walikupa kuangalia cartoon zetu nawe ulizifurahia ,sasa ni zamu Yako kulipia,
Mtoto yule alipokuwa duniani, alipenda kuangalia cartoon za kichawi na za mapigano, mapepo yalitoka ndani ya TV na kumwingia na kumfanya awe kiburi asiyetii Wala kusikiliza maonyo ya wazazi, na alipokuwa akienda shuleni siku moja, gari lilipinduka na akafa na kujikuta Kuzimu ya moto.
Zoezi la mapepo kuyatoboa macho ya mtoto yule mwenye miaka 7 yanaendelea na kujirudia Hadi sasa kosa kuu likiwa ni kuangalia cartoon mbaya.
4. IDARA YA MAKAHABA NA WASAGAJI NA MASHOGA.
Nami nikaona Pepo mwenye uume mkubwa wa CHUMA kinene na urefu wa uume huo wa CHUMA ulikuwa Mita moja, urefu wa Mita moja ni sawa na hatua Moja ya mtu mzima akitembea.
Pepo lile lilimfunga mwanamke yule aliyekuwa alifanya ukahaba na usagaji wanawake wenzie alipokuwa duniani,
Pepo lile baada ya kumfunga minyororo lilimburuta na kuanza kumbaka na kuharibu sehemu za ndani ya MWILI Ule bila huruma,
Kila baada ya kufanya unyama Ule, mwili ulijirudi kama mwanzo na Pepo alianza tena zoezi lile lililokuwa endelevu,
Nami nikaona Mwanaume aliye kufa Kwa ugonjwa uliosababishwa na kansa uliotokana na vitendo vya USHOGA akiingia kuzimu, alidakwa kama mpira na kuanza kuingiliwa na kubakwa kinyume na maumbile na Pepo lile lenye uume mkubwa wa CHUMA mnene wenye urefu wa Mita 1. Huku moto ukiendelea na ubakaji na kupigwa mkuki Mahali Mahali na kubanikwa mshikaki vikiendelea.
ITAENDELEA...........
Mkuu amka Acha hallucination...Ni mbaya sana kwa afya ya ubongo wakoINTRODUCTION.

Freemasons njooni Polepole, hapa Pana ulinzi, halipo ambalo halitafunuliwa Ili kuwatenga Wana wa Mungu na kuzimu ya moto.
Njia ya Mbinguni ni nyembamba sana.Kwa hiyo rasta zimebuniwa kuzimu si ndio, na hiyo smart phone unayotumia kuleta hili bandiko imebuniwa wapi, kitu kingine natumaini huwa unatumia kioo, je asili unaijua vile kilipotoka?. kingine vipi na wale mababu zetu walikuwa wanavaa magome ya miti kwa hiyo nao wanaenda kuzimu au... bro kuna sehemu unajichanganya
Ntafurahi kama ntapokea majibu ya maswali haya ma3Ntafafanua Kwa uchache.
Mungu amekataza IBADA za sanamu,nazo hizo ni kama ifuatavyo:
1. Kusherehekea X-Mass tarehe 25december.
IBADA hiyo unaweza Sema ni ya Mungu lakini walioset tarehe hiyo ni ya kishetani kabisa na IBADA hiyo haabudiwi Yesu halisi. Mungu amekataza.
2. Kuwasha mishumaa makaburini.
Kuwasha mishumaa ni sawa tu na mioto mingine ya kichawi, wanga huonekana wamebeba mioto, pia ni sawa tu na Mila za kukanyaga mafiga, au kumpitisha mtoto mchanga katika moto.. Ni uchawi kabisa, hivyo ikiwa umeokoka epuka kushiriki kuwasha mishumaa makaburini.
3. Kusherehekea siku ya Kuzaliwa.
Kutunza kumbukumbu ya lini ulizaliwa Si shida, lakini kusherehekea siku hiyo ni kujiunga na miungu inayopokea IBADA hiyo pasi wewe kujua, hivyo Kwa kufanya hivyo unamkasirisha Mungu maana imeandikwa Umwabudu Mungu pekee.
4. Kuchukua au kugawana nguo za marehemu/ Mikoba nk nk.
Zipo kabila, usipochukua nguzo za marehemu kwenye kikao Cha ukoo unatengwa na kulaaniwa, ikiwa unapenda uende Mbinguni ukifa, kataa, jitenge kabisa.
Nguo ni Zina NAFSI ndani yake, Elisha alichukua joho la Elia na kulitumia kufanya Muujiza,
Likewise kupewa nguo ya marehemu asiyeokoka ni kuchukua NAFSI TABIA na mashetani yaliyokuwa ndani yake na kuyahamishia kwako.
Jitenge na mambo hayo ikiwa unatamani kuona Mbingu.
5. Kuhudhuria Makusanyiko au sherehe za kikabila.
Yapo makabila hukutana Kila mwisho wa mwaka na kusherehekea, familia au ukoo.
Watu wa kaskazini hiyo imefana na kuzoeleka sana,
Ile ni IBADA ya Mizimu, Kuna pombe Huwa inaenda kumwagwa katika kaburi la ukoo, maana yake ni kupeleka IBADA Kwa mashetani na Mizimu ya ukoo Ili kupata ulinzi na baraka za kipepo.
Kila kabila na Mila yake. Aliyeokoka lazima ujitenge nao, uwe adui wa ndugu zako Ili uwe Rafiki wa Yesu na Mbingu, la utatupwa kuzimu.
6. Kurithi Majina, au kurithisha watoto Majina.
Wengi wanapitia taabu maishani sababu ya Majina waliyopewa.
Umpa Jina mtoto la mama au shangazi ,ikiwa mtu huyo ni mchawi, Roho ya yule mchawi na mapepo yake yatahania Kwa mtoto direct.
Ikiwa umeokoka, Nenda Kwa watumishi wa Mungu uombe ushauri Jina Gani umpe mwanao kumpa future nzuri.
Ukiogopa uadui na mzazi wako Kwa kutomwita mwanao Jina ambalo unajua mtu huyo anaabudu miungu au ni mshirikina ni Kwa HASARA Yako.
Upinzani unaouona dhidi yangu unatokana na kusema Kweli yote ambao huamsha hasira ya shetani.
Endelea kusoma " Live Kutoka KUZIMU" utapata mengi usoyajua yatakayokusaidia kuepuka kutupwa KUZIMU ya moto Kwa kutojua.
Aamen
Sitakijibu ewe mwana wa kuzimu,Ntafurahi kama ntapokea majibu ya maswali haya ma3
1. Huyo ni Mungu yupi anayekasirika kusherehekea birthday?
2. Mungu wako anaitwa nani?
3. Unaweza fafanua vizuri hyo namba 3!!?