Live kutoka kuzimu!

Live kutoka kuzimu!

Nakuambia hakika,hakuna roho wa aina hii,anayehukumu kisa nimehoji mambo dhahiri,ninyi kwa akili zetu mnaona ni sawa kuhukumu watu hivi?,huyo roho aliyempeleka kuzimu na anashindwa kutujibu maswali hapa,huyo aendelee kushuhudia tu.

Huyo roho aliyeshindwa kukuambia mimi either ni shetani,au agent wa shetani, au mchawi,hakika huyo si roho wa kweli,na huyo akikushuhudia juu yangu sina neno.

Endelea kupotosha watu ila mimi ni safi katika hili.

Halembwi na hamna hekima nyingine wala sijui,namna yoyote wewe ni wa kuzimu na usipo tubu ,utaenda Motoni.
Na kama yupo yoyote uliyempotosha akapuuzia uzi huu damu yake ipo mikononi mwako
 
Roho wa Mungu ananimbia huyo ni agent na wakala wa kuzimu nia yake ,ni ushindwe kufikisha neno la MUNGU.
Mpuuzie .
Amini kuna watu wengi wasaidika warudia toba,
Na kuwa wateule wajao.
Na Mtumishi na wewe Mungu akukumbuke kama mtu uliyeitetea injiri
 
Hu

Huna la kusema wewe agent wa kuzimu toka mbele yangu shetani,
Na hukumu ya mwisho ipo juu yako.Tumekushitukia wewe ni agent na shetani .
Na utachomwa milele pamoja na mapepo na wachawi.
Acha kuwapotosha wana wa Mungu
Mara mmenistukia,mara roho amekuonyesha,kipi ni kipi?

Hizi imani za hovyo ndio mnaita watu wachawi kwenye maombi yenu!

Wewe ni mjinga tu,kuhusu biblia hakuna unachojua,ni mjinga tu na kama mwenzako,umejikinai kiimani!

Siwezi kuona watu wanapotoshwa nikakaa kimya,nilianza kwa kuuliza maswali,hakuna aliyeweza kujibu,sanasana naona mnabadilisha ID kupambana na mimi na hakika hamuwezi kunishinda,maana najua mnapotosha watu!

Eti uniambie hayo yaliyoandikwa ni neno la Mungu,lipi hapo,wapumbavu!
 
Upumbavu!

Injili iko wapi kwenye huo uongo?
Hivi kila kitu kikiadithiwa kuhusu ubaya wa shetani tayari ni injili🤔🤔
 
Hu

Huna la kusema wewe agent wa kuzimu toka mbele yangu shetani,
Na hukumu ya mwisho ipo juu yako.Tumekushitukia wewe ni agent na shetani .
Na utachomwa milele pamoja na mapepo na wachawi.
Acha kuwapotosha wana wa Mungu
Ila wajinga ni wengi sana,mjinga mmoja yuko huko ananiita agent aa kuzimu,wewe unaona hili jina ni salama kumuita mtu kama mimi niliyeuliza maswali mkashindwa kuyajibu?

Yaani kabisa hujaona hoja ya kiroho kunikabili badala ya kuzimu huko mnapopawaza sana!
 
Halembwi na hamna hekima nyingine wala sijui,namna yoyote wewe ni wa kuzimu na usipo tubu ,utaenda Motoni.
Na kama yupo yoyote uliyempotosha akapuuzia uzi huu damu yake ipo mikononi mwako
Huu uzi hauna wokovu kabisa!
Mtu anaamini kwa kufundishwa mema ya Mungu,sio hayo mnayotunga mkiwa mnadhani mna usalama!

Umeshaniita ni wa kuzimu,halafu unasema nisipotubu nitaenda motoni,kule kwenye uongo mmesema walio kuzimu hawawezi tena kuokolewa,sasa mbona mnapishana kwenye mahubiri yenu haya yenye kumtangaza ibilisi?

Jikinai tu,ila ipo wakati utajua ulikosea sana.
 
Mara mmenistukia,mara roho amekuonyesha,kipi ni kipi?

Hizi imani za hovyo ndio mnaita watu wachawi kwenye maombi yenu!

Wewe ni mjinga tu,kuhusu biblia hakuna unachojua,ni mjinga tu na kama mwenzako,umejikinai kiimani!

Siwezi kuona watu wanapotoshwa nikakaa kimya,nilianza kwa kuuliza maswali,hakuna aliyeweza kujibu,sanasana naona mnabadilisha ID kupambana na mimi na hakika hamuwezi kunishinda,maana najua mnapotosha watu!

Eti uniambie hayo yaliyoandikwa ni neno la Mungu,lipi hapo,wapumbavu!
[/QUOTE

Hatumjibu shetani neno la Mungu siyo KWA ajiri ya wapoteo,
Neno la msaaba Kwa wapoteao wanaona ni upuuzi
Sisi hatumjibu shetani.
Wewe shetani acha kupotosha watu nenda kuzimu
 
Huu uzi hauna wokovu kabisa!
Mtu anaamini kwa kufundishwa mema ya Mungu,sio hayo mnayotunga mkiwa mnadhani mna usalama!

Umeshaniita ni wa kuzimu,halafu unasema nisipotubu nitaenda motoni,kule kwenye uongo mmesema walio kuzimu hawawezi tena kuokolewa,sasa mbona mnapishana kwenye mahubiri yenu haya yenye kumtangaza ibilisi?

Jikinai tu,ila ipo wakati utajua ulikosea sana.

Sisi tunakukemea hatumjibu,neno la Mungu si kwa ajiri yako,humpotoshi na lazima injiri iubiriwe na Hata kama unahisi utapoteza Mavuno.
Lazima tukuaibishe , hakuna utakaye mpata ,sisi tutakukemea Kwa damu na neno la Mungu,uiipeta zako tutakukemea KWA jina la yesu wa nazareti toka ,rudi kuzimu
 
Ila wajinga ni wengi sana,mjinga mmoja yuko huko ananiita agent aa kuzimu,wewe unaona hili jina ni salama kumuita mtu kama mimi niliyeuliza maswali mkashindwa kuyajibu?

Yaani kabisa hujaona hoja ya kiroho kunikabili badala ya kuzimu huko mnapopawaza sana!
Acha hekima za kipepo Hata shetani alitumia neno la imeandikwa .
Sisi tunakukemea ishiri si kwa ajiri ya wapoteao wanaona ni upuuzi ,ni kwaajiri ya waaminio.
Lazima neno la Mungu lifike Hata kama linakuchoma,injiri lazima ihubiriwe ukamwambie aliyekutuma tumekushitukia sawa.
Hakuna vihekima vya kipepo.ww ni wa kuzimu
 
W

Wewe siyo Mtu,wewe ni pepo na sikuogopi na mwambie aliyekutuma mmeshindwa kwa Damu ya yesu kristo wa nazaleti.
Injiri itasonga na lazima tukuaibishe.Kuhusu namba haikuhusu sisi wanna wa aliye juu,ambaye ujumbe umetumwa kwetu ,tuachiwe wenyewe sawa,
Ubadiri mbinu. Na kwa taarifa yako. Tumekujua na uende ukapeleke majibu kuwa kazi mlionituma nimekutana na maskali wa yesu ,hamna kupotosha hapa KWA hekima za kipepo sawa ,shetani na waambie mashetani wenzako,tuko hapa kusimia lazima injiri isonge mbele.na kama hata itabidi kuharibu ww kwa jina la yesu,tutafanya hivyo ukitusumbua ,
Imeandikwa yesu anazo funguo za mauti na kuzimu,
Pili imeandikwa tumepewa mamlaka ya kukanyaga ng'e na nyoka,tutakukanyaga sasa hivi😡😠 ,sawa nyoka
 
we jamaa nimegundua nabishana na mtoto wa chekechea juu ya mambo Spiritual
nasemaje sio kwa majivuno wala kebehi hiki chakula nikupacho kinawafaa watu wazima na sio watoto naona bado upo chini ya waangalizi mpaka utakapo utakapo kua
kwaheri
note kama unataka kujua Bible code njoo chemba hautakua mateka!

Huyu si agent bali anamapokeo ya Neno la Mungu,dawa ni kumuombea neno limfungue na ajue kweli.
Ila yule Spirit of Tanzania .
Ni roho ya shetani kabisa na yupo kupotosha watu
Anajifanya anaandika vihekima hakuna sehemu alipo mtaja yesu kristo wa nazaleti badala atamtaja "huyo" yeye ,
Nk
 
W

Wewe siyo Mtu,wewe ni pepo na sikuogopi na mwambie aliyekutuma mmeshindwa kwa Damu ya yesu kristo wa nazaleti.
Injiri itasonga na lazima tukuaibishe.Kuhusu namba haikuhusu sisi wanna wa aliye juu,ambaye ujumbe umetumwa kwetu ,tuachiwe wenyewe sawa,
Ubadiri mbinu. Na kwa taarifa yako. Tumekujua na uende ukapeleke majibu kuwa kazi mlionituma nimekutana na maskali wa yesu ,hamna kupotosha hapa KWA hekima za kipepo sawa ,shetani na waambie mashetani wenzako,tuko hapa kusimia lazima injiri isonge mbele.na kama hata itabidi kuharibu ww kwa jina la yesu,tutafanya hivyo ukitusumbua ,
Imeandikwa yesu anazo funguo za mauti na kuzimu,
Pili imeandikwa tumepewa mamlaka ya kukanyaga ng'e na nyoka,tutakukanyaga sasa hivi😡😠 ,sawa nyoka
Hakuna Yesu wa namna hii,injili gani mmetoa ninyi?

Hivi unaponiita shetani unajua maana yake?

Ndio maana nasema hamjui maandiko,mwanadamu unatoa injili ya uongo ukihojiwa unaanza kuita watu wa kuzimu,wana mapepo eti ndio ukristo😁

Binafsi huna cha kunitisha.
 
Acha hekima za kipepo Hata shetani alitumia neno la imeandikwa .
Sisi tunakukemea ishiri si kwa ajiri ya wapoteao wanaona ni upuuzi ,ni kwaajiri ya waaminio.
Lazima neno la Mungu lifike Hata kama linakuchoma,injiri lazima ihubiriwe ukamwambie aliyekutuma tumekushitukia sawa.
Hakuna vihekima vya kipepo.ww ni wa kuzimu
Ninyi mmetumia wapi neno imeandikwa kwenye huu upotovu wenu?

Sawa,ikiwa mimi ni wa kuzimu na nimewashuhudia wote kuwa haya msemayo hayahasimama kwenye naandiko,na kwa sababu hiyo mimi ndio nikawa wa kuzimu,mwasemaje upande wenu huo mliouhubiri?

Kaa chini acha kujikinai,ongea na Yesu wa kweli akuambie kama kweli uko sawa.
 
Hakuna Yesu wa namna hii,injili gani mmetoa ninyi?

Hivi unaponiita shetani unajua maana yake?

Ndio maana nasema hamjui maandiko,mwanadamu unatoa injili ya uongo ukihojiwa unaanza kuita watu wa kuzimu,wana mapepo eti ndio ukristo😁

Binafsi huna cha kunitisha.
Toka shetani,
Nenda kuzimu ulishashindwa?
Injiri ni KWA ajiri ya watoto wa Mungu,na waasikiapo wanaosema hii ni kwa ajiri yangu, na hauitaji nguvu nyingi, ww mwana wa kuzimu ,hakuna wa kukujibu zaidi ya kukufukuza urudi ulipo tumwa na hekima za kipepo ,wambie injiri inasonga mbele
 
Sisi tunakukemea hatumjibu,neno la Mungu si kwa ajiri yako,humpotoshi na lazima injiri iubiriwe na Hata kama unahisi utapoteza Mavuno.
Lazima tukuaibishe , hakuna utakaye mpata ,sisi tutakukemea Kwa damu na neno la Mungu,uiipeta zako tutakukemea KWA jina la yesu wa nazareti toka ,rudi kuzimu
Wewe ni mpumbavu tu.

Kwa uandishi huu,kuhusu Yesu huna cha kuniambia,endelea kumkemea mwanadamu aliyekuuliza habari potovu uliyoandika.

Mnawaza sana kuhusu kuzimu,mmesahau mema ya Mungu.

Niko hapa kumtangaza Mungu na Yesu aliyemtuma,kamwe sitamtangaza shetani.
 
Toka shetani,
Nenda kuzimu ulishashindwa?
Injiri ni KWA ajiri ya watoto wa Mungu,na waasikiapo wanaosema hii ni kwa ajiri yangu, na hauitaji nguvu nyingi, ww mwana wa kuzimu ,hakuna wa kukujibu zaidi ya kukufukuza urudi ulipo tumwa na hekima za kipepo ,wambie injiri inasonga mbele
Ewe mjinga, injiri ndio nini sasa?
Yaani hayo niliyowauliza ndio hekima ya kipepo?

Mnaona raha sana kuita wenzenu wachawi mashetani nk,ila ninyi wenyewe hamjiangalii.

Ikiwa hekima ya kimbingu ni kutangaza habari za kuzimu, na mimi niliyetaka mtangaze neema ya Yesu imeonekana ni hekima ya kipepo,basi imedhihirika wazi nani yuko sahihi.
 
Wewe ni mpumbavu tu.

Kwa uandishi huu,kuhusu Yesu huna cha kuniambia,endelea kumkemea mwanadamu aliyekuuliza habari potovu uliyoandika.

Mnawaza sana kuhusu kuzimu,mmesahau mema ya Mungu.

Niko hapa kumtangaza Mungu na Yesu aliyemtuma,kamwe sitamtangaza shetani.
Yesu ni jina tu kama Jesus Moloko wa yanga,
Sisi tunaongelea Yesu mnazaleti aliyetufia msalabani,KWA ajiri ya Makosa yetu.
Na Mungu tunamwongelea yule aitwaye Yehova,
Na siyo huyo aliyekutuma ,kupinga neno la Mungu, ukiona unapinga neno la Mungu na unabii jua Ww ni agent ,au shetani au ww ni wakuzimu, na nakuhamuru toka KWA jina la yesu kristo aliye hai.
Afu kila uliye mpotosha akapuuzia Mungu atataka,damu yake kwenye mikono y'ako na hii sms utaoneshwa ,upo
 
Niambie neno la Mungu lipi nimepinga kwenye uzi huu toka uanzishwe?

Nionyeshe hilo neno la Mungu nililopinga tafadhali.
 
Ewe mjinga, injiri ndio nini sasa?
Yaani hayo niliyowauliza ndio hekima ya kipepo?

Mnaona raha sana kuita wenzenu wachawi mashetani nk,ila ninyi wenyewe hamjiangalii.

Ikiwa hekima ya kimbingu ni kutangaza habari za kuzimu, na mimi niliyetaka mtangaze neema ya Yesu imeonekana ni hekima ya kipepo,basi imedhihirika wazi nani yuko sahihi.

Siyo KWA ajiri yako ,habari za Mbinguni ,
Neema ipi hakuna neema hapa,
Neno la Mungu lipo wazi" tangu siku za yohana mbatizaji hata sasa ufalme wa Mungu unapatika kwa Mungu ,nao wenye nguvu wanauteka"
Pia neno lipo wazi "njia iyendayo uzimani ni nyembamba imesonga,nao wapitao ni wachache"
Ukiona unataka njia pana tukulembe lembe Mbinguni siyo kwako sawa,.
Sharti ni Moja tubu zambi na uziache basi
 
Back
Top Bottom