Emar
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,789
- 2,965
Nakuambia hakika,hakuna roho wa aina hii,anayehukumu kisa nimehoji mambo dhahiri,ninyi kwa akili zetu mnaona ni sawa kuhukumu watu hivi?,huyo roho aliyempeleka kuzimu na anashindwa kutujibu maswali hapa,huyo aendelee kushuhudia tu.
Huyo roho aliyeshindwa kukuambia mimi either ni shetani,au agent wa shetani, au mchawi,hakika huyo si roho wa kweli,na huyo akikushuhudia juu yangu sina neno.
Endelea kupotosha watu ila mimi ni safi katika hili.
Halembwi na hamna hekima nyingine wala sijui,namna yoyote wewe ni wa kuzimu na usipo tubu ,utaenda Motoni.
Na kama yupo yoyote uliyempotosha akapuuzia uzi huu damu yake ipo mikononi mwako