Nawe ubarikiwe.Mbingu ya kiwaki huku kwetu kuna mbususu za kumwaga chura pro max wachana na izo fake za mloganzia
spiritual haiwezi kuopinga bioz hata siku moja ukifa umefariki full stop viungo vyote havifanyi kaziBiology haijadiliwi hapa.
Hapa tunajadili spiritual realm.
Nyumba zipo, vyakula vipo nk nk lakini miili ya huko Si kama ya hapa duniani,Mkuu kama Kuna kula na kunywa huko mbinguni, inamaana nyumba za huko Zina vyoo kama huku Duniani?
Mtu hafi ndugu, anabadili form , anavua na kujitenga na vazi linaloitwa mwili.spiritual haiwezi kuopinga bioz hata siku moja ukifa umefariki full stop viungo vyote havifanyi kazi
Sasa mkuu si watakuwa wanene Sana kama vinavyoingia mwilini havitoki?Nyumba zipo, vyakula vipo nk nk lakini miili ya huko Si kama ya hapa duniani,
Hakuna uchafu huko, na vyakula vya huko ni vya halisi kama huku lakini katika Ulimwengu mwingine.
Hakuna vyoo na maji taka huko, usichanganye utakatifu na usafi wa Mbinguni na huku.
UBARIKIWE.
Mkuu nafsi hufa na huuishwa ila roho haifi na haiuishwi..NAFSI huhifadhiwa wapi?
Na inapohifadhiwa hujitambua au haijitambui?
Sasa hapa ndo tutaelewena ukienda hiviMtu hafi ndugu, anabadili form , anavua na kujitenga na vazi linaloitwa mwili.
Usizidiwe akili na wachawi na Waganga, mwana wa Mungu Inatakiwa uwe na akili kuwazidi wale wa Ulimwengu wa Giza.
Ubarikiwe.
Huo mfumo wa maisha ya huko usiutafsiri Kwa akili zako kibinadamu, it won't work.Sasa mkuu si watakuwa wanene Sana kama vinavyoingia mwilini havitoki?
kwaiyo ww ukifariki tusemeje ebu acha wosia kabisa ili tuandike pale kwenye kabur lako kuzaliwa mwaka 1994 na kijitenga na mwili 2023 mwezi wa 11 saa 5 uskuπ€£π πππππMtu hafi ndugu, anabadili form , anavua na kujitenga na vazi linaloitwa mwili.
Usizidiwe akili na wachawi na Waganga, mwana wa Mungu Inatakiwa uwe na akili kuwazidi wale wa Ulimwengu wa Giza.
Ubarikiwe.
Ikiwa huongei Kwa muktadha wa ukristo na uislamu,Mkuu nafsi hufa na huuishwa ila roho haifi na haiuishwi..
Mtu baada ya kufa hupitia vingi sana ikiwwmo. Utambuzi kamili wa yeye ni nani na alitoka wapi na hiyo ndo kazi ya nafsi (atmic) kuna mengi ya kuongea kuhusu ulimwengu wa kiroho ila niishie hapa tu..
nafsi huifadhiwa wapi?
kwangu mimi nina majibu tofauti sana na wengi na wakristo wote na waislamu wote kwasababu mimi siongei kwa kusoma vitabu bali kuwepo katika spiritual realm!
Mlengo ntakaoongelea kuhusu nafsi na roho na mwili nitaongelea tofauti sana na ndo maana huwa kwenye public kama humu napenda kuongelea kwa mlengo wa Biblia au mafundisho wengi waliozoea...
nafsi na roho hupita katika sehemu mbalimbali katika ulimwengu wa kiroho na ndio utambuzi wenyewe wa mwanadamu
Wale wanandoa waliokutana huko na kufurahiana walienda kuishi kwenye apartment moja?Huo mfumo wa maisha ya huko usiutafsiri Kwa akili zako kibinadamu, it won't work.
Ubarikiwe!!
Basi sawa tumekusikia,kwaiyo ww ukifariki tusemeje ebu acha wosia kabisa ili tuandike pale kwenye kabur lako kuzaliwa mwaka 1994 na kijitenga na mwili 2023 mwezi wa 11 saa 5 uskuπ€£π πππππ
Endelea kuwepo!!Wale wanandoa waliokutana huko na kufurahiana walienda kuishi kwenye apartment moja?
Ulimwengu wa roho hauna dini, spirituality is just a independent realm kuna vitu vingi vya kuongea kuhusu hichi ila.sio sasaIkiwa huongei Kwa muktadha wa ukristo na uislamu,
Unatafsiri kisayansi au kinajimu?
Na unaongozwa na Roho ipi nyuma,
Ya Mungu au Shetani?
Kumbe uko huko upande wa pili?Sasa hapa ndo tutaelewena ukienda hivi
Hahaaaa ndo ulivyoconclude hivyoKumbe uko huko upande wa pili?
Shetani Huwa Hana shukrani, atakutumia Leo, ila utakapokufa hutoamini atavyokugeuka.
Rudi Kwa Mungu uwe salama.
Ubarikiwe.
Mkuu nilitaka kujua pia kama walijiunga na watoto wao na kama wazazi wao walikuwa huko walijumuika nao.......Endelea kuwepo!!
ITAENDELEA.....
Najibu comments kwanza.
Ubarikiwe.
Ndio hivyo,Hahaaaa ndo ulivyoconclude hivyo
ITAENDELEA......Mkuu nilitaka kujua pia kama walijiunga na watoto wao na kama wazazi wao walikuwa huko walijumuika nao.......
kama grand^10 parents waliingia huko...., je wanaishi pamoja..... hizo nyumba zikoje .... yaani kama li Bugando moja linaka ukoo wa pleo?
Samahani kwa maswali ya kitoto labda!
Sasa bhasi wew ulimwengu wa Roho bado haijaujua vizuri jitahidi Ukomae kwenye ulimwengu wa kiroho utajua mengi..Ndio hivyo,
Sababu Kuna njia mbili pekee kuingia Ulimwengu wa Roho,
1. Kupitia Mungu katika Roho mtakatifu.
2. Kupitia Shetani.( Uganga, uchawi, Mizimu, free mason nk nk).