Live Kutoka Mbinguni/ Welcome back to Heaven

Mbingu ya kiwaki huku kwetu kuna mbususu za kumwaga chura pro max wachana na izo fake za mloganzia
Nawe ubarikiwe.

Unayemtumikia nanavizia kivuli chako Ili akikupata akakugeuke na kukutesa kuzimu ya moto.

Nakuombea neema ya Wokovu ikupate Ili ukifa uende Mbinguni!!
 
Mkuu kama Kuna kula na kunywa huko mbinguni, inamaana nyumba za huko Zina vyoo kama huku Duniani?
Nyumba zipo, vyakula vipo nk nk lakini miili ya huko Si kama ya hapa duniani,

Hakuna uchafu huko, na vyakula vya huko ni vya halisi kama huku lakini katika Ulimwengu mwingine.

Hakuna vyoo na maji taka huko, usichanganye utakatifu na usafi wa Mbinguni na huku.

UBARIKIWE.
 
spiritual haiwezi kuopinga bioz hata siku moja ukifa umefariki full stop viungo vyote havifanyi kazi
Mtu hafi ndugu, anabadili form , anavua na kujitenga na vazi linaloitwa mwili.

Usizidiwe akili na wachawi na Waganga, mwana wa Mungu Inatakiwa uwe na akili kuwazidi wale wa Ulimwengu wa Giza.

Ubarikiwe.
 
Nyumba zipo, vyakula vipo nk nk lakini miili ya huko Si kama ya hapa duniani,

Hakuna uchafu huko, na vyakula vya huko ni vya halisi kama huku lakini katika Ulimwengu mwingine.

Hakuna vyoo na maji taka huko, usichanganye utakatifu na usafi wa Mbinguni na huku.

UBARIKIWE.
Sasa mkuu si watakuwa wanene Sana kama vinavyoingia mwilini havitoki?
 
NAFSI huhifadhiwa wapi?

Na inapohifadhiwa hujitambua au haijitambui?
Mkuu nafsi hufa na huuishwa ila roho haifi na haiuishwi..

Mtu baada ya kufa hupitia vingi sana ikiwwmo. Utambuzi kamili wa yeye ni nani na alitoka wapi na hiyo ndo kazi ya nafsi (atmic) kuna mengi ya kuongea kuhusu ulimwengu wa kiroho ila niishie hapa tu..

nafsi huifadhiwa wapi?
kwangu mimi nina majibu tofauti sana na wengi na wakristo wote na waislamu wote kwasababu mimi siongei kwa kusoma vitabu bali kuwepo katika spiritual realm!

Mlengo ntakaoongelea kuhusu nafsi na roho na mwili nitaongelea tofauti sana na ndo maana huwa kwenye public kama humu napenda kuongelea kwa mlengo wa Biblia au mafundisho wengi waliozoea...
nafsi na roho hupita katika sehemu mbalimbali katika ulimwengu wa kiroho na ndio utambuzi wenyewe wa mwanadamu
 
Mtu hafi ndugu, anabadili form , anavua na kujitenga na vazi linaloitwa mwili.

Usizidiwe akili na wachawi na Waganga, mwana wa Mungu Inatakiwa uwe na akili kuwazidi wale wa Ulimwengu wa Giza.

Ubarikiwe.
Sasa hapa ndo tutaelewena ukienda hivi
 
Sasa mkuu si watakuwa wanene Sana kama vinavyoingia mwilini havitoki?
Huo mfumo wa maisha ya huko usiutafsiri Kwa akili zako kibinadamu, it won't work.

Ubarikiwe!!
 
Mtu hafi ndugu, anabadili form , anavua na kujitenga na vazi linaloitwa mwili.

Usizidiwe akili na wachawi na Waganga, mwana wa Mungu Inatakiwa uwe na akili kuwazidi wale wa Ulimwengu wa Giza.

Ubarikiwe.
kwaiyo ww ukifariki tusemeje ebu acha wosia kabisa ili tuandike pale kwenye kabur lako kuzaliwa mwaka 1994 na kijitenga na mwili 2023 mwezi wa 11 saa 5 usku🤣😅😆😁😄😃😀
 
Mkuu nafsi hufa na huuishwa ila roho haifi na haiuishwi..

Mtu baada ya kufa hupitia vingi sana ikiwwmo. Utambuzi kamili wa yeye ni nani na alitoka wapi na hiyo ndo kazi ya nafsi (atmic) kuna mengi ya kuongea kuhusu ulimwengu wa kiroho ila niishie hapa tu..

nafsi huifadhiwa wapi?
kwangu mimi nina majibu tofauti sana na wengi na wakristo wote na waislamu wote kwasababu mimi siongei kwa kusoma vitabu bali kuwepo katika spiritual realm!

Mlengo ntakaoongelea kuhusu nafsi na roho na mwili nitaongelea tofauti sana na ndo maana huwa kwenye public kama humu napenda kuongelea kwa mlengo wa Biblia au mafundisho wengi waliozoea...
nafsi na roho hupita katika sehemu mbalimbali katika ulimwengu wa kiroho na ndio utambuzi wenyewe wa mwanadamu
Ikiwa huongei Kwa muktadha wa ukristo na uislamu,

Unatafsiri kisayansi au kinajimu?

Na unaongozwa na Roho ipi nyuma,

Ya Mungu au Shetani?
 
Huo mfumo wa maisha ya huko usiutafsiri Kwa akili zako kibinadamu, it won't work.

Ubarikiwe!!
Wale wanandoa waliokutana huko na kufurahiana walienda kuishi kwenye apartment moja?
 
kwaiyo ww ukifariki tusemeje ebu acha wosia kabisa ili tuandike pale kwenye kabur lako kuzaliwa mwaka 1994 na kijitenga na mwili 2023 mwezi wa 11 saa 5 usku🤣😅😆😁😄😃😀
Basi sawa tumekusikia,

Nawe ubarikiwe.

Mungu akupe Neema na Rehema zake, uingie Mbinguni siku ya HUKUMU.

Amen
 
Wale wanandoa waliokutana huko na kufurahiana walienda kuishi kwenye apartment moja?
Endelea kuwepo!!

ITAENDELEA.....

Najibu comments kwanza.

Ubarikiwe.
 
Ikiwa huongei Kwa muktadha wa ukristo na uislamu,

Unatafsiri kisayansi au kinajimu?

Na unaongozwa na Roho ipi nyuma,

Ya Mungu au Shetani?
Ulimwengu wa roho hauna dini, spirituality is just a independent realm kuna vitu vingi vya kuongea kuhusu hichi ila.sio sasa
 
Sasa hapa ndo tutaelewena ukienda hivi
Kumbe uko huko upande wa pili?

Shetani Huwa Hana shukrani, atakutumia Leo, ila utakapokufa hutoamini atavyokugeuka.

Rudi Kwa Mungu uwe salama.

Ubarikiwe.
 
Endelea kuwepo!!

ITAENDELEA.....

Najibu comments kwanza.

Ubarikiwe.
Mkuu nilitaka kujua pia kama walijiunga na watoto wao na kama wazazi wao walikuwa huko walijumuika nao.......
kama grand^10 parents waliingia huko...., je wanaishi pamoja..... hizo nyumba zikoje .... yaani kama li Bugando moja linaka ukoo wa pleo?
Samahani kwa maswali ya kitoto labda!
 
Hahaaaa ndo ulivyoconclude hivyo
Ndio hivyo,

Sababu Kuna njia mbili pekee kuingia Ulimwengu wa Roho,

1. Kupitia Mungu katika Roho mtakatifu.

2. Kupitia Shetani.( Uganga, uchawi, Mizimu, free mason nk nk).
 
Mkuu nilitaka kujua pia kama walijiunga na watoto wao na kama wazazi wao walikuwa huko walijumuika nao.......
kama grand^10 parents waliingia huko...., je wanaishi pamoja..... hizo nyumba zikoje .... yaani kama li Bugando moja linaka ukoo wa pleo?
Samahani kwa maswali ya kitoto labda!
ITAENDELEA......

HAKIKA yote utapata majibu yake,

Mungu akipenda kesho nitaendelea kuleta mwendelezo.

Ubarikiwe.
 
Ndio hivyo,

Sababu Kuna njia mbili pekee kuingia Ulimwengu wa Roho,

1. Kupitia Mungu katika Roho mtakatifu.

2. Kupitia Shetani.( Uganga, uchawi, Mizimu, free mason nk nk).
Sasa bhasi wew ulimwengu wa Roho bado haijaujua vizuri jitahidi Ukomae kwenye ulimwengu wa kiroho utajua mengi..
Kikubwa usiwe mwenye kujisifu..kuwa mvumilivu..
Karibisha Mafunzo ukiwa huko ujue vingi (Kama kwako karibisha Roho mtakatifu atakufundisha vingi sana )
Jaribu uwe ni mtu wa kusikiliza Roho yako mara zote jikite kwenye kuijua nafsi yako ndani zaidi..
Utajua mengi kuhusu roho yako na ulimwengu wakiroho
 
Back
Top Bottom