Live: Leo ni zamu ya Mbao FC kuraruliwa na Simba SC

Mkuu mimi ni wa kimataifa. Usione naipongeza Simba, sina shaka nayo kwenye mzunguko wa pili.
Japo msimu huu mtani umejipanga mpaka unatishia amani
nyie ni wakimataifa au KIMA WA TAIFA

KAZI YENU KUAIBISHA NCHI NA RANGI YENU MBAYA KAMA LILE LICHAMA CHAKAVU
 
Ni yule yule kiungo fundi sana, Muzamiru Yassin aliyewalaza mapema wakata miwa wa Kagera.. Leo kawalaza tena walanda mbao.

Kanda ya ziwa wawe makini sana na Muzamiru Yassin. Ni kama ananogewa na nyavu, wakati mabeki wote wanamtazama Kichuya
 
Kwa mbinde, cha nguruwe ila vitoto 12, au ppont tatu!
Mkuu, kubali tu simba iko level nyingine, timu nzuri ni ile inayocheza mpira wa kapeti na mida fulani mpira ukikataa wanajua kulazimisha kupata point tatu kihalali, sio mambo ya netball!
Simba iko level nyingine kama UKAWA[emoji382] [emoji375]

Kama haukubali wewe sio MNYAMA[emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…