Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
dak15 za kwanza zimemalizika. wanakunywa maji kidogo. kuna bango limeandikwa" WAZEE WA BEST LOOSER BILA SISI KUWAZOMEA HOVYO" Wachezaji wa uganda wanachekacheka wa kili star wamenuna. Mpira ushaaanza tunakoswakoswa tena. Mia
Tumekwisha, labda waje wataalam wa kuchakachua!
mkuu hebu ondoa hiyo mia kwa muda, haijakaa mwake, tuko kwenye 20%