Live: Nusu fainali ya challenge cup

Live: Nusu fainali ya challenge cup

The first half of extra time clearly belonged to Uganda and they made that advantage count with a goal. There are plenty of tired legs out there and most of them belong to Tanzania. They have a mountain to climb if they are to get back in this
 
Kumbukumbu za miaka 50 ya uhuru na kichwa cha mwendawazimu!
 
Hivi ndivyo Waganda wanavyotusema kwenye blogu yao.
phpbbO8BZnewvision-logo_beta.jpg The first half of extra time clearly belonged to Uganda and they made that advantage count with a goal. There are plenty of tired legs out there and most of them belong to Tanzania. They have a mountain to climb if they are to get back in this
 
dak15 za kwanza zimemalizika. wanakunywa maji kidogo. kuna bango limeandikwa" WAZEE WA BEST LOOSER BILA SISI KUWAZOMEA HOVYO" Wachezaji wa uganda wanachekacheka wa kili star wamenuna. Mpira ushaaanza tunakoswakoswa tena. Mia

...mia..
 
mkuu hebu ondoa hiyo mia kwa muda, haijakaa mwake, tuko kwenye 20%

Mimi mia yangu inamanisha nilicho post ni sahihi. haihusiani na matokeo ya leo wala haiangalii ni nani kafungwa au kafunga. mimi ni kupost tu. Thomas urimwengu anaingia kuchukua nafasi ya Nurdin bakar. mia
 
penalt!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kumbukumbu za miaka 50 ya uhuru na kichwa cha mwendawazimu!

Hapa Mwinyi alitulaani.. Nurdin nje, anaingia Ulimwengu ndani.... Waganda wanapata penati!
 
Penalti........gooooli... Izaki Isinde!
 
Back
Top Bottom