Live: Nusu fainali ya challenge cup

Live: Nusu fainali ya challenge cup

super sport wapo hapauwanjani, wapo live
 
Hawa wachezaji wetu wanakula chips mayai tu maana kila contact wanaanguka tu!
 
Huyu jamaa wa uganda vipi? Anapiga msuba nini! Mark serumaga anapewa kadi ya njano kwa kutaka kupigana.
 
kili star wanapoteana. wanapoteza mipara ovyo. yaani wanashindwa kutuliza mpira kinachofanya adui yao wapate mpira kilahisi. Wagaruka katukosakosa. juma kaseja analeta usuper star golini kidogo anyang'anywe mpira. Mia
 
Mwinyi Kazimoto ni noma!
 
wachezaji wa kili star hawakabi. wameshachoka. wakiendelea hivi Uganda wanaweza pata goli la pili coz wanafika sana golini. mia
 
Waganda lazima wafungwe tu, jamani hivi Kenya nao vipi wanashiriki haya mashindano?:lol:
 
kili star wanapoteana. wanapoteza mipara ovyo. yaani wanashindwa kutuliza mpira kinachofanya adui yao wapate mpira kilahisi. Wagaruka katukosakosa. juma kaseja analeta usuper star golini kidogo anyang'anywe mpira. Mia

Kaseja anauza sura si super sport wapo live.
 
Back
Top Bottom