Live: Nusu fainali ya challenge cup

Live: Nusu fainali ya challenge cup

saimoni masaba amempa pasi emanuel okwi na kutufunga goli zuri sana.
kili star 1 - 2Uganda. mia
 
tuache ushabiki. wachezaji wetu wamechoka. tumekoswakoswa sana hii ni kona ya 17 wanapata uganda. halafu tunazidi shambuliwa. Mia

Matokeo tumeshayaona ya uzembe!
 
kwa soka la leo naona TZ haina haja ya kufundishwa na kocha wa kigeni.

kwa mpira gani uliuona leo?Coordination umeiona?Footwork vipi?Mgosi anafanya nini uwanjani,Poulsen alishamtema zamani?Tuache upupu wa uzalendo...hivi unachagua timu kwa kupigiwa kelele na mashabiki,chagua Boban,Mgosi,Redondo...unawachagua then uwanjani zero!
 
What a finish from Okwi!! Its nothing less than the Cranes deserve. A brilliant well weighted cross from Simeon Masaba is met by Okwi at the near post with a brilliant diving header the pit Uganda in the driving seat...for now at least.

Isaw it coming one more please...
 
dak15 za kwanza zimemalizika. wanakunywa maji kidogo. kuna bango limeandikwa" WAZEE WA BEST LOOSER BILA SISI KUWAZOMEA HOVYO" Wachezaji wa uganda wanachekacheka wa kili star wamenuna. Mpira ushaaanza tunakoswakoswa tena. Mia
 
Back
Top Bottom