Huu uchafu ndiyo Pascal Mayalla alitaka tufuatilie?Waziri wa habari mh Mwakyembe amesema bunge la Uingereza juzi limeanza vikao kwa kuiga ubunifu wa Spika Ndugai.
Mwakyembe amesema sasa wabunge wa UK wanakaa katika chambers wakiwa wachache wachache wakiendelea na vikao vya bunge ukiwa ni ubunifu ulioasisiwa na Spika Ndugai.
Tanzania kwa sasa tumekuwa nchi ya mfano hata Rais Trump amefuata nyayo za Rais Magufuli kwa kutangaza siku maalumu ya Maombi ya kuliombea taifa.
Maendeleo hayana vyama!
Utatuzi wa corona wewe hujui? Yani kila siku selikali inapiga kelele wewe bado unasubiri hatua za utatuzi wa corona?Haya mapambio yenu ya kusifu tumeshayaapuza..
Mwambie jamaa atoke huko chattel aungane na Marais wenzake kujadili utatuzi wa Corona
Wale ndugu zako wa kule kijijini kabisa unapotoka wana tv tuanzie na hapo
Karibu
Paskali
Haya mambo yanawaumiza sana bavicha
Mfalme wao Mbowe,kaongea na BBC lakini habari wanapashana wao kwa wao tu,dunia haina habari nae
Haya mambo yanawaumiza sana bavicha
Mfalme wao Mbowe,kaongea na BBC lakini habari wanapashana wao kwa wao tu,dunia haina habari nae
Mayalla naona umetumia nafasi vyema kutema nyongo zako kwa Waziri...Naona hujagusia swala la amri toka juu au unamsubiri Ngosha mwenyewe ndio uje umuulize.?
Halafu Waziri anasema maswala ya kawaida huwa mnaongea vizuri tu ila maswala mazito ya kazi humwambii...Bila shaka amekufungulia mlango wa chumbani kazi kwako nategemea baada ya Muda mfupi vipindi vyako vitakuwa hewani.
Usisite kutupa update kwa utatuzi wa Changamoto zako kwa Mh. Waziri.
Yote kwa yote Nimependa utulivu wako na ujenzi wako wa hoja, Natamani siku moja kipindi Cha Kitimoto kirudi hewani bila vitisho vya amri toka juu.
Ndugai huyu aliyeruhusu mtu asiye na sifa kushiriki shughuli za bunge? Huyu ndio wa kuigwa?Waziri wa habari mh Mwakyembe amesema bunge la Uingereza juzi limeanza vikao kwa kuiga ubunifu wa Spika Ndugai.
Mwakyembe amesema sasa wabunge wa UK wanakaa katika chambers wakiwa wachache wachache wakiendelea na vikao vya bunge ukiwa ni ubunifu ulioasisiwa na Spika Ndugai.
Tanzania kwa sasa tumekuwa nchi ya mfano hata Rais Trump amefuata nyayo za Rais Magufuli kwa kutangaza siku maalumu ya Maombi ya kuliombea taifa.
Maendeleo hayana vyama!
Waandishi wa habari bongo wengi ni waoga na mambumbumbu.
Karibu
Paskali
Ina maana huenda Mayalla akarudishiwa zile tenda zake za kazi alizopokonywa?Halafu Waziri anasema maswala ya kawaida huwa mnaongea vizuri tu ila maswala mazito ya kazi humwambii...Bila shaka amekufungulia mlango wa chumbani kazi kwako nategemea baada ya Muda mfupi vipindi vyako vitakuwa hewani.
Usisite kutupa update kwa utatuzi wa Changamoto zako kwa Mh. Waziri.
Ndio nilichoona.!Ina maana huenda Mayalla akarudishiwa zile tenda zake za kazi alizopokonywa?
Wamrudishie bhana, jamaa ni mtu wa watu na hana makuu.
Bahati mbaya Mayalla hakuwepo vinginevyo asingempongeza kwa hotuba mzuri yenye weredi na bashasha.Nimemsikia waziri anasema jamii forums si chombo cha habari ni kijiwe cha wahuni,,, na awastahili kulindwa kwa sababu watoa taarifa wa jamii forums awana weredi wa habari zaid ya mitusi tu wanatukanana
Tunazidiwa hata na Wakenya wanapashana taarifa bila mitusi lakini Ss watanzania ni aibu kwa kweli....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo sababu ya kutoweka maswali ya ana kwa ana hata akishindwa kujibu hauwezi kumbana.Pasko na Dotto mmeahidi kuja kumuita waziri siku nyingine ajibu hoja. Ukijakubali kuhojiwa tena muulize swali lifuatalo. Kuna magazeti yalisgawahi kushtakiwa mahakamani kwa uchochezi(Mwanahalisi na Mawio). Baada ya hukumu ni kuwa magazeti hayo yalishinda kesi na mahakama iliridhia yaendelee kuchapiswa lakini serikali imeyazuia. Tatizo nini? Kwanini serikali haitii maamuzi ya mahakama?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kunyanyapaa ni social distancing ili kujikinga.Hii ya Kiongozi wa serikali kuwanyanyapaa waandishi wa habari kwamba wakimsogelea watamwambukiza Corona ndio imenishangaza sana!!!