G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Huu uchafu ndiyo Pascal Mayalla alitaka tufuatilie?Waziri wa habari mh Mwakyembe amesema bunge la Uingereza juzi limeanza vikao kwa kuiga ubunifu wa Spika Ndugai.
Mwakyembe amesema sasa wabunge wa UK wanakaa katika chambers wakiwa wachache wachache wakiendelea na vikao vya bunge ukiwa ni ubunifu ulioasisiwa na Spika Ndugai.
Tanzania kwa sasa tumekuwa nchi ya mfano hata Rais Trump amefuata nyayo za Rais Magufuli kwa kutangaza siku maalumu ya Maombi ya kuliombea taifa.
Maendeleo hayana vyama!