Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
-
- #21
Mtambo wa LNG ni for export ila wakati mradi huo unatekelezwa pia tunajenga miundombinu ya distribution ya natural gas kwenye viwanda, majumbani na kwenye magari hivyo kupunguza load ya kutegemea umeme na hivyo kuwa na a huge surplus ambayo tuta export.Liquidified natural gas how it could be applicable?
Mnataka kujua mitaji yetu baadae mtubane kodi?Watch TBC live !
View: https://www.youtube.com/live/WG68iDTH28I?si=g2NmH5hKoui5ZSRX
Anayezungumza ni Mkurugenzi wa Uhamasishaji Uwekezaji wa TIC, Bw. Revocatus Arbogast Rasheli.
Revo amesema Tanzania ni moja ya nchi za Afrika zenye sheria nzuri sana ya uwekezaji, ambapo mwekezaji wa nje, anapaswa kuwa na mtaji wa Dola $ 500,000 lakini kwa Mtanzania, anatakiwa awe na uwekezaji wa dola $ 50,000 tuu!.
Watanzania wenzangu, tuchangamkie fursa za uwekezaji kupitia TIC.
Karibuni.
Paskali
Tanzania Safari Channel, hiyo hata ofisini muda wote haiboi haipoi...Taarifa ni UTV Azam wanajitahidi, TBC shida its more of political agendas za ChamaKumbe wewe sio mzalendo!, usipoangalia TBC, unaangalia nini?.
P
Huu wimbo tangu nimeanza kufuatilia mambo ya nchi yetu 2008 upo sana lakini mpk leo miaka 15 hakuna jipya na sijawahi kuona kiongozi akiwajibika kwa kusema uongoMtambo wa LNG ni for export ila wakati mradi huo unatekelezwa pia tunajenga miundombinu ya distribution ya natural gas kwenye viwanda, majumbani na kwenye magari hivyo kupunguza load ya kutegemea umeme na hivyo kuwa na a huge surplus ambayo tuta export.
P
Hii ni rubbish channelTanzania Safari Channel, hiyo hata ofisini muda wote haiboi haipoi...Taarifa ni UTV Azam wanajitahidi, TBC shida its more of political agendas za Chama
Wataibaje?Kama TIC ipo na masharti ndiyo hayo kwa mwekezaji mgeni na mzawa, kwa nini uwekezaji wa bandari ya Dar es salaam unataka kufuata mkondo mwingine?😲
Naona bahasha zimekutembelea vizuri, hongera mkuuSambamba na kukamilisha mradi wa umeme wa JNHPP unaotegemea maji, soon HGA ya mradi wa LNG itasainiwa hivyo tutatumia gesi zaidi badala ya kutegemea umeme wa maji.
P
TETETETETETETETETETETEUmeme ni changamoto ndio maana tunakamilisha mradi wa umeme wa JNHPP, issues za kukatika katika umeme, itakuwa ni historia.
P