Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #21
Mtambo wa LNG ni for export ila wakati mradi huo unatekelezwa pia tunajenga miundombinu ya distribution ya natural gas kwenye viwanda, majumbani na kwenye magari hivyo kupunguza load ya kutegemea umeme na hivyo kuwa na a huge surplus ambayo tuta export.Liquidified natural gas how it could be applicable?
P