Live on TBC: Revo wa TIC Azungumzia Uzinduzi wa Kituo cha Pamoja, TeIW Utakaofanywa na Waziri Mkuu Majaliwa 25 Sept. Mlimani City

Live on TBC: Revo wa TIC Azungumzia Uzinduzi wa Kituo cha Pamoja, TeIW Utakaofanywa na Waziri Mkuu Majaliwa 25 Sept. Mlimani City

Liquidified natural gas how it could be applicable?
Mtambo wa LNG ni for export ila wakati mradi huo unatekelezwa pia tunajenga miundombinu ya distribution ya natural gas kwenye viwanda, majumbani na kwenye magari hivyo kupunguza load ya kutegemea umeme na hivyo kuwa na a huge surplus ambayo tuta export.
P
 
Kama TIC ipo na masharti ndiyo hayo kwa mwekezaji mgeni na mzawa, kwa nini uwekezaji wa bandari ya Dar es salaam unataka kufuata mkondo mwingine?😲
 
Watch TBC live !

View: https://www.youtube.com/live/WG68iDTH28I?si=g2NmH5hKoui5ZSRX

Anayezungumza ni Mkurugenzi wa Uhamasishaji Uwekezaji wa TIC, Bw. Revocatus Arbogast Rasheli.

Revo amesema Tanzania ni moja ya nchi za Afrika zenye sheria nzuri sana ya uwekezaji, ambapo mwekezaji wa nje, anapaswa kuwa na mtaji wa Dola $ 500,000 lakini kwa Mtanzania, anatakiwa awe na uwekezaji wa dola $ 50,000 tuu!.

Watanzania wenzangu, tuchangamkie fursa za uwekezaji kupitia TIC.

Karibuni.

Paskali

Mnataka kujua mitaji yetu baadae mtubane kodi?
 
Mtambo wa LNG ni for export ila wakati mradi huo unatekelezwa pia tunajenga miundombinu ya distribution ya natural gas kwenye viwanda, majumbani na kwenye magari hivyo kupunguza load ya kutegemea umeme na hivyo kuwa na a huge surplus ambayo tuta export.
P
Huu wimbo tangu nimeanza kufuatilia mambo ya nchi yetu 2008 upo sana lakini mpk leo miaka 15 hakuna jipya na sijawahi kuona kiongozi akiwajibika kwa kusema uongo
 
Back
Top Bottom