Live: Stars, Simba vs Wapinzani

Umakini wa defence ya Simba umepungua. Watu hawakabi kama mwanzo.
Motema wamepata nguvu sana sasa.
 

Vp DCMP Vs Simba.......Ni ngapi ngapi so far?....
 
Dah nimechanganyikiwa mpaka kumbe nimetaka ku paste result za zamani dah.
 


[TD="class: blue4, bgcolor: #FFFFFF"]90[/TD]
[TD="bgcolor: #FFFFFF"]And that represents the final action of the game.Nigeria wins 3-0 on the night and 3-1 on aggregate.[/TD]
 
Dah kweli mtaka vyote hukosa vyote Simba wanafanya nini? Bola angekuwa Simba jike ungesema Njaa yake bado ipo. Simba kazeni msuli tafuteni bao la ugenini haraka sana.
 
Simba sasa wanachezewa mtu-kati. Mashambulizi ni mengi golini kwao.
Hata mahasimu wa Motema waliokuwa wanawashangilia Simba wamekata tamaa.
Sijui Simba wamechoka? hawakimbii kama mwanzo, na ule uchu wa kulifikia goli umeyeyuka
 
Ha ha ha haaaaa hata hao wenzetu ni waja wa Mungu nao wanahitaji vilevile

Hahahaaahahah hata mie muda mwengine huwa najiuliza Mungu kwenye michezo kweli anapenda upande mmoja wote wanaomba mungu yule atayejikamuwa ndio anapata zawadi yake ya maombi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…