Nzi kufia ktk kidonda ni haki yake.
Mimi niko peke yangu ndo mke wa kwanza na wa mwisho nimeridhika kwake kiwatengu tu
Usifanye hivyo, nipe nafasi na mimi japo kidogo, nakuahidi utafurahi, unajua hapa mjini mwanaume ukiona mke wako anasumbuliwa sana na wanaume jisifie na kujiamini Kuwa mke wangu mzuri ndiyo maana anapata usumbufu, ndiyo maana mkuu kiwatengu Yuko raha mstarehe na labtop yake sebuleni hata ukirudi jioni hatakuuliza chochote.
Hahaha ntakuta talaka mlangoni afu tatizo nilishajaribu kumcheat lililonipata siri yangu,sirudii tena hapa nimeoza.
Ngoja nikutafutie mdada wako peke yako uache kudandia wake za watu
Mke wangu ni Honey Faith nakuomba plz amsindikize.
ok. nitakujibu baadae
Mke wangu ni Honey Faith nakuomba plz amsindikize.
Duh!tokea lini nimekua mkeo unataka nivunjia ndoa yangu mchana kweupe jamani?
sweetie nakuomba uniwie radhi kidogo kuna mambo nayaweka saw ahapa
sijaweza kutulia kabisa na kukupa lile penzi nililokuandalia.
niivumilie hebu ziba masikio kwa hao watongozaji wapya.
Ajasikia mwite tena,vinginevo utabaki kula kwa macho2