Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Nasubir hiyo juice hivo

Nilipita asubuhi ila nilishindwa kukushtua maana gari la uran lilikuwa bado limepaki nje nikajua bado hajaondoka, nilitamani nikupigie simu wasi wasi wangu umeacha simu chumbani uko jikoni nikakamatwa, akiondoka nishtue basi nije.
 
Last edited by a moderator:

Heheee kumbe muoga eee
 
sasa mbona nashindwa kuwaelewa humu?
'Valentina' ni mke wa uran ama Tonykp?

naomba Lady doctor uje hapa uthibitishe pamoja na Baba V!

naumia sana tena saaana ninapoona rafiki yangu mpendwa Tonykp anabebewa mke mzobemzobe tena hadharani!!

mkuu hauna stock ya mapanga tuanze kazi?? how comes they rob your wife this easy?

mbona The secretary alimvumilia Bishanga mpaka alipoonekana? mbona Passion Lady alimvumilia Ruttashobolwa mpaka alipotoka kuzurura?

Hivi itakuwaje leo hii kwa mfano Arushaone atoke tu kwa muda kama mwezi hivi afu akute mi nimembeba Lady doctor? hiyo haitokaa sawa kabisa! sio haki!

kuachwa imekuwa rahisi hivyo siku hizi jamani?
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaa,wewe Excel ebu tulia kama unanyolewa haya mambo tushakubaliana kwenye kikao cha dharura....
 
Last edited by a moderator:

Leo naona umeamka vizuri mkuu.
 
'Valentina' alikuwa ni mke wa Tonykp sasa sijui bado ndoa ipo au la maana sikuhizi nimetingwa sana mpaka nashindwa kuelewa kipi kinachoendelea kwenye hiki kijiji
 
Last edited by a moderator:
'Valentina' alikuwa ni mke wa Tonykp sasa sijui bado ndoa ipo au la maana sikuhizi nimetingwa sana mpaka nashindwa kuelewa kipi kinachoendelea kwenye hiki kijiji

we mama mwenye nyumba una icompetent sana! kwanini haupitishi roll call ya wapangaji wako regularly? we unafikiri itakuwa kazi rahisi kwa Tonykp kuanza upya kutafua mke?

we unazijua gharama za kuanza upya kutafuta mke?

unazijua gharama za kuanza upya kugharamia harusi we mama?
Baba V yuko wapi,? nyie wazee nyie siku hizi mnawaza fesibuku tu! hamna kazi mnayofanya!
 
Last edited by a moderator:

Jamani wewe Excel! Nini lakini?
 
Last edited by a moderator:
shansarie toka umemiahidi mpaka imefika siku husika bado Niko single hujaniletera ubavu wangu, siwezi kutoka tena maana Niko single leo wanatoka album peke yao.
 
Last edited by a moderator:
Ndio kusema watu wote mko kwenye mambo ya wakubwa ama? Leo ni siku ya kuonyesha upendo tu siyo hayo jamani.
Yoyote aje hapa.
 
shansarie toka umemiahidi mpaka imefika siku husika bado Niko single hujaniletera ubavu wangu, siwezi kutoka tena maana Niko single leo wanatoka album peke yao.

Mwenzangu wadada ni wagumu humu bado najitahidi lakini
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…