Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Sikudai pesa mimi, kwanza huwa sina nguvu ya kudai warembo, ila umenilaza mlango wazi siku mbili mfurulizo inaniuma sana, hapa kichwa ni kizito nahisi Nina malaria kwa kuliwa na mbu.

Hahaaa,ndo ukome
 
aku mi staki

Kuna bint mmoja nilimsaidia issue moja eti shukrani yake ananitoa out for dinner halafu nichague mwenyewe sehemu, nikampeleka sehemu, kumbe budget yake ni ya American chips, bill imekuja sorry nyiingi nikalipa, naomba unitoe out basi.
 
Hahaha ungemuuliza kabisa unash ngapi ili ujue pakwenda
Mi siwez kukutoa out ngoja nilate ruhusa kwa mr
 
Back
Top Bottom