Rich Pol
JF-Expert Member
- Oct 11, 2013
- 7,874
- 5,685
Nashkur naendlea vema best,pole kwa mshtuko jmn
Haya nitakuletea juice na matunda asubuhi wakati naenda job.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashkur naendlea vema best,pole kwa mshtuko jmn
anyone here tutotongozane!!!!
Haya nitakuletea juice na matunda asubuhi wakati naenda job.
Nasubir hiyo juice hivo
Nilipita asubuhi ila nilishindwa kukushtua maana gari la uran lilikuwa bado limepaki nje nikajua bado hajaondoka, nilitamani nikupigie simu wasi wasi wangu umeacha simu chumbani uko jikoni nikakamatwa, akiondoka nishtue basi nije.
Heheee kumbe muoga eee
Siogopi tatizo ukipigwa nitaumia sana, hasa ulivyo soft halafu upigwe vibao na mitama naweza nikaumwa, bora akuache nitakuoa.
Nilipita asubuhi ila nilishindwa kukushtua maana gari la uran lilikuwa bado limepaki nje nikajua bado hajaondoka, nilitamani nikupigie simu wasi wasi wangu umeacha simu chumbani uko jikoni nikakamatwa, akiondoka nishtue basi nije.
sasa mbona nashindwa kuwaelewa humu?
'Valentina' ni mke wa uran ama Tonykp?
naomba Lady doctor uje hapa uthibitishe pamoja na Baba V!
naumia sana tena saaana ninapoona rafiki yangu mpendwa Tonykp anabebewa mke mzobemzobe tena hadharani!!
mkuu hauna stock ya mapanga tuanze kazi?? how comes they rob your wife this easy?
mbona The secretary alimvumilia Bishanga mpaka alipoonekana? mbona Passion Lady alimvumilia Ruttashobolwa mpaka alipotoka kuzurura?
kuachwa imekuwa rahisi hivyo siku hizi jamani?

Hivi itakuwaje leo hii kwa mfano Arushaone atoke tu kwa muda kama mwezi hivi afu akute mi nimembeba Lady doctor? hiyo haitokaa sawa kabisa! sio haki!

Leo naona umeamka vizuri mkuu.

'Valentina' alikuwa ni mke wa Tonykp sasa sijui bado ndoa ipo au la maana sikuhizi nimetingwa sana mpaka nashindwa kuelewa kipi kinachoendelea kwenye hiki kijiji
we mama mwenye nyumba una icompetent sana! kwanini haupitishi roll call ya wapangaji wako regularly? we unafikiri itakuwa kazi rahisi kwa Tonykp kuanza upya kutafua mke?
we unazijua gharama za kuanza upya kutafuta mke?
unazijua gharama za kuanza upya kugharamia harusi we mama?
Baba V yuko wapi,? nyie wazee nyie siku hizi mnawaza fesibuku tu! hamna kazi mnayofanya!
Ndio kusema watu wote mko kwenye mambo ya wakubwa ama? Leo ni siku ya kuonyesha upendo tu siyo hayo jamani.
Yoyote aje hapa.
Mimi nipo nakusikiliza bibie hujambo lakini?