Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
lakini tutakuwa tunasaidiana kiundani zaidi ennh!
si ndio bantu bantu?
hmm!! hapana shans! sio kwamba ulikuwa una some agenda with exce?
sorry kama nimetibua!
Yeye Rich Pol halafu hanaga kama msimamo hivi, leo ataamka na jipya.
Jana tulikubaliana awe jenereta shost umeme ukikatika sitaki kukaa giza miye wakati majenereta yapo.
Umeamkaje bibie? Hopeful uko okey missing you.
Ngoja nitafute jenereta lingine, yaani wewe hunifai kabisa.
Pata wako ngoja tumwite a.rahabu japo babu Asprin anasema huyo ni me!!!!
wewe ndio utatuthibitishia.
kiwatengu's wiyfe
Jamani honey mbona hivyo? Mambo ya Cameron mimi siyawezi hata sijaongea nae wala kumtia machoni tu! Am sorry baby ila mambo ya Cameron mimi hapana.
Nimesitisha zoezi la kutafuta jenereta. Nampenda sana mume wangu siwezi msaliti kabisa jana ilikuwa ni alcohol tu.
Mjaribu a.rahabu kwani wee unaogopa nini, nenda utajua hukohuko kama ni ke au me.
Basi njoo nyumbani nyumbani uniambie honey kwa mbali nitaumia sana maana nimeshakupenda tayari. Maumivu ya moyo ni makari sana hayapoi hata kwa Panadol
Wee usimfanye mume wangu akafa kwa presha bure. Mimi ndio roho yake.
Ndo kabebwa hivyo amechoshwa na maisha ya kulialia wakati anaagalia wenzake wanafurahia mapenzi bwana!
Hahahahaaa kumbe na wewe uko kutema madini huku........ lazima watu wawajibike wasipowajibika kwa hiari basi watawjibika kwa shuruti maana naona wanasahau majukumu yao kwa wapenzi waoMchukue Mtoto ukamfute machozi umfanyie massage a relax, na dose ya nguvu, na mimi nakomaa na Bantu lady lazima alale kwangu leo mwenyewe amenogewa nyumba ndogo.