Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Eheee bebii miss neddy nilikuwa nakusubiri kwa hamu tangu dada yangu amu na rafiki yake Arabela walipo wasilisha wasifu wangu kwako! Nimekubaliana na maelezo yao maana mawifi wakikupenda ujue uko sahihi.... karibu kwangu

Mi najiandaa kuimba "wifi twende nyumbani wifi twende nyumbani wifi wetu wa gharama wa gharamaaaaaa"
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu nammiss sana, nawezaje kuishi hivi?
Hata nilivyofanya ni kwasababu nakumiss ujue. Najua uko busy sana sana ila ujue tu ni jinsi gani nakumiss my honey.
 
Shogaa yale majeneta mawili hivi yameishia wapi?
 
Hahahaaa kishanicall angalau nimepata tabasamu. Mpango wa jenereta nimelisimamisha kwanza, ilibaki kidogo nimuue kwa presha mume wangu. Hakuamini kama nimimi ndio nasema vile.

Uko powa shost wa miye? kimya sana luv
 
Kuna mtu nammiss sana, nawezaje kuishi hivi?
Hata nilivyofanya ni kwasababu nakumiss ujue. Najua uko busy sana sana ila ujue tu ni jinsi gani nakumiss my honey.

Am here honey! How are doing! Sorry nimechelewa kutoka leo.
 
Weee kwani nakumiss wewe? kaendelee kutongoza huko kila unayekutana naye.
Mimi nammiss mtu tofauti na kishanicall.
So kila la kheri.
 
Jamani sijui kama nitafika hata July nahisi nita RIP tu, nimemtongoza nani tena? Nakuapia you're the only one for me! Unataka nifanye nini ndiyo uamini nakupenda sweet heart??!.
 
Mimi ndio napenda upate mtu, sasa ukiwa unarusha ndoano halafu unarudi kwangu utachelewa kumpata shauri yako.
Halafu naumwa unajua
 
Kumbe ndo maana. afu nani alikudanya nanilii nyekundu ikitoka kwenye naniliu ya kujojoa ni ugonjwa??
 
Mimi ndio napenda upate mtu, sasa ukiwa unarusha ndoano halafu unarudi kwangu utachelewa kumpata shauri yako.
Halafu naumwa unajua

Mbona sijarusha ndoano kwa mtu yoyote? Nakuletea na simu zangu ushinde nazo uone kama utapokea simu au SMS ya msichana! Pole sana honey unaumwa nini tena? Unaendeleaje? Naomba nije nikupeleke hospital!!m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…