we rich ww hebu wacha mineno yako bana..mimi ni mke wa mtu na huyo kiwatengu ni mume wa mtu...itawezekana vip?
Mkuu Excel samahani nimechelewa foleni za mjini hapa.
sasa kijana.. nimekutafutia mke!
rasmi unaanza uhusiano wa kimapenzi na malkia, princess enny!
chukua mke tutangaze ndoa!
Asante sana mkuu Yuko wapi mtalajiwa wangu princess enny tufanye mazungumzo ndoa ifungwe halaka sana.
Toka mtongozo huu uanze hapa sijabatika kumpata mwenza daaaah
usikae mbali sasa, hakikisha mchezo unaenda vizuri
ukiona ameweza kumlegeza wewe ndiyo usepe zako
mkuu usizinguwe sasa! kumbuka mi ndo nimekuunganisha kwa mke huyu!
ujue mi ndo daraja eenh! mkomalie ndoa kesho!
Nakuamini mkuu namsubiri kwa hamu, fanya mpango Aje basi.
vitu vingine vya shamba huwa vitamu kweli kweli.
umeona eenh! nimeshachukua tender ya kuozesha vijana humu!
NB!! VIJANA WOTE WASIO NA WAKE WANITAFUTE MIMI KWA MAELEZO ZAIDI!