kijana... ulishaonana na mwenzio?
Huyu huyu baba paroko ama mwingine?
Sijaonana nae Yuko wapi? Nimemtafuta karibu mji mzima simuoni.
Huyu huyu baba paroko...uparoko wake umenivutia kwa kweli
binti....!
Hapa sina kaka aisee. Mmmmh hebu sample ya huyo mume kwanza.
Yes excel
Huyu huyu baba paroko...uparoko wake umenivutia kwa kweli
whaaat?
pu.mbavuuu!!! hivi wewe ni mwanaume halisi kweli?
sasa ngoja mzee kiwatengu achukue mke!!! yani mi nahangaika masaa mia8 kuongea na binti halafu wewe unazurura tu hapa? aaaargh!
wewe ndiwe rosita eenh?
Mzee nimegundua mchumba wangu princess enny hana simu, kesho nafanya mpango nimnunulie iPad.
Ndo mimi excel....
Yes....nimemzimikia paroko...walai nitaingia parokiani hata kama ni kwa tiketi ya usister..namsubiri avune tu mazao tukamilishe ndoto zetu
hivi ukiulizwa mimi ni nani, unaweza kuelezea kiundani?
hivi maparoko huwa wanoa eenh? kuna mwingine anaitwa Kaizer.. ni mpole, mcheshi, mtulivu, anapenda sana kondoo wake na ni mtu actually mwenye bidii na kazi!
Kwa kweli hapana siwezi kimwelezea excel kiundani....
Hahaaaa naona unampigia promo kaizer...hizo ndo sifa za mwanaume but moyo wangu upo kwa eiyer.
Hiyo ni kazi kubwa bora ungeniambia some traits naweza zisoma kupitia post na comments zako japo pia sio determinant ...but wanasema kimtokacho mtu ndicho kilichojaza moyo wake rty?hebu mwelezee hata kidogo kwa nje tuone.. try your bet..