Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Sijaonana nae Yuko wapi? Nimemtafuta karibu mji mzima simuoni.

pu.mbavuuu!!! hivi wewe ni mwanaume halisi kweli?

sasa ngoja mzee kiwatengu achukue mke!!! yani mi nahangaika masaa mia8 kuongea na binti halafu wewe unazurura tu hapa? aaaargh!
 
Last edited by a moderator:
Huyo ni baba Paroko, nakushauri utupe karata zako kwa Daudi1 atakupa mapenzi ya uhakika.

Daud1 naona changamoto ni nyingi nikiwa nae bora baba paroko najua moyo wangu utapata pumziko...
 
Last edited by a moderator:
Yes....nimemzimikia paroko...walai nitaingia parokiani hata kama ni kwa tiketi ya usister..namsubiri avune tu mazao tukamilishe ndoto zetu

hivi maparoko huwa wanoa eenh? kuna mwingine anaitwa Kaizer.. ni mpole, mcheshi, mtulivu, anapenda sana kondoo wake na ni mtu actually mwenye bidii na kazi!
 
Last edited by a moderator:
hivi maparoko huwa wanoa eenh? kuna mwingine anaitwa Kaizer.. ni mpole, mcheshi, mtulivu, anapenda sana kondoo wake na ni mtu actually mwenye bidii na kazi!

Hahaaaa naona unampigia promo kaizer...hizo ndo sifa za mwanaume but moyo wangu upo kwa eiyer.
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaa naona unampigia promo kaizer...hizo ndo sifa za mwanaume but moyo wangu upo kwa eiyer.

nooo!! mimi sikusema chochote kuhusu promo!

kwanza eiyer amepigwa ban ya mwaka mzima.. unaelewa manake lakini?
 
hebu mwelezee hata kidogo kwa nje tuone.. try your bet..
Hiyo ni kazi kubwa bora ungeniambia some traits naweza zisoma kupitia post na comments zako japo pia sio determinant ...but wanasema kimtokacho mtu ndicho kilichojaza moyo wake rty?
 
Back
Top Bottom