Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Naomba kuchukua nafasi hii kukuomba msamaha mume wangu Sungura1980. Kwa chochote nilichokuumiza, nataka ujue nakupenda sana, siwezi chochote bila wewe.
Nitashukuru ukinisamehe, tuanze upya kabisa, nitakuwa mwema zaidi my luv.
Am so sorry my hubby.
 
Ninakupenda sana barafu wangu Bantu lady,haya kipenzi changu,asante kwa mapenzi yako!Nilishakusamehe laazizi wangu,mmmmmmwaaaaaa!!
 
Last edited by a moderator:
Daudi1 mimi nimetoka kabisa huko. Now ni mtu mwema sifanyi hayo tena, mume wangu hataki nifanye hivyo kwahiyo nimetulia hasa. Sitaki kumuudhi mume wangu nisijeachika bure.
CC: Daudi1
 
Acha kunitania bhana...mimi mtoto wa uswazini kupendwa na mwanamke mrembo kama wewe wapi na wapi!
Umenifanya mpaka nimeharibu "boxer" yangu ngoja nikaoge nibadili kaptura kwanza.

Yaaaala!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…