Eli79 come here meen! U nd to gat me better hahah! In mchombezo voice! Afu Excel kaa mbal na mim! Usiinglie anga zangu ntakutungua ka mindege ya marekan, pakstan
Huyo Excel atakuwa wapi good boy? charty usimuingize hapo tafwazaliiiii!! muhusika ni miss neddy. Upo hapo?
Good Morning Eli79!!!
Excel! Excel umeshalala? Ebu toroka kwa mkeo ukuje hapa alah! Miss neddy..my foot! Hahah
lazma aviziwe tuh! Kama mke wake huko buzy!waacha na siye tuchombeze na alivo mtamu kama haluwa ya tanga!..hehehe! King, et king, king my foot!..hahahahaha tabia ya kumvizia king saa tano za usiku ife binti azawise
kuna kimbunga kitakupeperushia mbali
yaani na mkiki wote ule bado waniita hivi?
lazma aviziwe tuh! Kama mke wake huko buzy!waacha na siye tuchombeze na alivo mtamu kama haluwa ya tanga!..hehehe! King, et king, king my foot!..
mh hvi we kibabu siku ile ulikula "mkuyangu"? Maana ulivyoshughulika kama unataka kukata roho!..
miss neddy ni aje mamy jifiche Valentina asikuone unaongea na mimi ana wivu huyo!hahahahaha umeona unavyopenda kulamba vya wenzio
weka katangazo upate wako humu humu
azawise utashia kuwa mchepuko
Vitu vya kawaida hivyo! Ila mbona unaharaka sana? Ulitakiwa uniambie hivyo ukiwa na khanga moja umetoka kuoga, kisha unaniomba huku unarembua macho! Usijari njoo basi home umaanishe unachokisema, love u more.
My akanana Passion Lady hivi ni wewe umeandika au !
hapa yenyewe nimevaa nite dress
ya kimitego,mbele ya mkoko acha kabisa!!
miss neddy ni aje mamy jifiche Valentina asikuone unaongea na mimi ana wivu huyo!
My akanana Passion Lady hivi ni wewe umeandika au !