Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

aolewe tu! umri wenyewe ndio huo ushaanza diminishing return... waoze!

mi ninachofanya ni kuwaweka pale juu wajulikane..
kama watataka ndoa hapa tutafanya hiyo kazi
mwenye majukumu yakufungisha ndoa hapa

ni Baba V yuko kimya sana huyu..ndoa kibao hapo juu zinamgoja.

wewe Baba V nakuita hapa, ufanye yako. na usichelewe tafadhali sana
 
Last edited by a moderator:
akidhibitisha si utalia hadhari wewe?/
nakujua ulivyo mwepesi kumwaga chozi

Bora nitoe machozi niumie najua machungu yataisha ila siewezi kuachia kirahisi hivyo!

Ila mkuu wewe hutakiwi kunifanyia hivyo, inatakiwa unilinde na kunitete mpaka mwisho.
 
Excel tengua kauli mi na vibabu kama Window7 wapi na wapi jamani?yani nlikua kipofu lakini Exceptional kabadili mtazamo wangu! infwact Exceptional yupo but nje ya nchi kaenda kuchukua bidhaa UK so busy busy kidogo akirudi ntakwambia.

Nakuangalia tu ila siku nikifunga kibwebwe utanibeba tu we mwana weh.. Lol!
 
Last edited by a moderator:
Bora nitoe machozi niumie najua machungu yataisha ila siewezi kuachia kirahisi hivyo!

Ila mkuu wewe hutakiwi kunifanyia hivyo, inatakiwa unilinde na kunitete mpaka mwisho.

mpaka uapologize...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…