Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Rich Pol mmefikia wapi na Honey Faith? nishakupatia mchumba. Nipe jibu faster kieleweke.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rich Pol mmefikia wapi na Honey Faith? nishakupatia mchumba. Nipe jibu faster kieleweke.
Hajanipa jibu! Basi nimeamua kutulia kwanza! Haya nipe habari!.
Haya subiri jibu. Ila huyo mchumba akipata mtu na huko ukose utakuwa na bonge la gundu. Mi niko okay best
mmmmh huku kutamu kumbe kuliko kwa kificho ni matusi mwanzo mwisho
Kwa kificho ni wapi tena
ukk tayari sasa kupokea mke wako?
Siku nyingi! Nimekumissje?!. Umepika nini home maana nimechoka kula chips kila siku si unajua usela tena?!.
Nimepika ndizi nyama na juice ya parachichi karibu sana.
Nimelala bila kula! Ok nakuja lakini niombee ruksa kwa Mzee kwanza.
Haya subiri jibu. Ila huyo mchumba akipata mtu na huko ukose utakuwa na bonge la gundu. Mi niko okay best
Binti hujambo?pole na majukumu ya kutwa
Sijambo Kibo10, mzima wewe.
Mzima aisee jana nimegonga mlango mpaka nimechoka hukufungua mpaka asubuhi ndio unanifungulia kuna usalama kweli Bantu lady