Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzima aisee jana nimegonga mlango mpaka nimechoka hukufungua mpaka asubuhi ndio unanifungulia kuna usalama kweli Bantu lady
Hahahaaaa pole sana Kibo10, mlinzi naona naye alilala. Itakuwa ulikuja kwa miguu. Ungepiga honi angeshtuka tu, jana nilichelewa sana kurudi home naona tulipishana tu.
Sijawahi kupanda daladala nilikuja na gari,sasa leo nitakuja usilale mapema na honi nitapiga niandalie tu juice ya nanasi nataka nije nikusahaulishe baadhi ya vitu na uwezo ninao pia nia ndio kabisa
Sijawahi kupanda daladala nilikuja na gari,sasa leo nitakuja usilale mapema na honi nitapiga niandalie tu juice ya nanasi nataka nije nikusahaulishe baadhi ya vitu na uwezo ninao pia nia ndio kabisa
Kibo10,hata sijasikia,ukiwa unakuja pitia pale Muhimbili au Manzese kuna sehemu wanauza majeneza,angalia linalokutosha na zuri kwako,njoo nalo!Utamkuta tu Bantu lady wala husiogope!Husisau kuandika wosia!Sawa leo nitakusubiri kigiza kikiingia. Ila kuwa makini na Kiwatengu atamwambiamume wangu.
Pia uje taratibu mume wangu sungura1980 asikusikie patachimbika hapa bila jembe.
Wewe, usiku bantu lady huwa na mumewe sungura1980.
Usiwasumbue tena.
Sawa leo nitakusubiri kigiza kikiingia. Ila kuwa makini na Kiwatengu atamwambiamume wangu.
Pia uje taratibu mume wangu sungura1980 asikusikie patachimbika hapa bila jembe.
Baby mimi kwa uzuri wako na utulivu wako hata kiwatengu angekuwa na ak47 acha tuuwane tu tena jioni nikija najuwa utakuwa umechoka na kazi za kutwa nitakufanyia body massage usijali wewe akienda tu kijuweni nistue fasta nakuja mamy
Kiwatengu ni shemeji yangu, mimi mume wangu anaitwa Sungura1980. Kishakusikia sasa mambo yatakuwa magumu atawahi home kurudi leo, si umeona mkwara aliokupa? Hatanii ameshapata kibali cha mguu wa kuku asije kukuua bure.
Mimi tena?
Usijali wewe niachie sungura1980 mimi nitammudu vema tu jiandae tu kisaikolojia maana nikija leo wallah unahamia mazima full fundi na nitajitahidi leoleo nikakununulie gari ya kutembelea naona jamaa kakutesa mda mrefu sana na wewe unathamani ya jet kabisa
Siyo kila mtu ni wakukaribisha ati..
Hahahahaaa uaniweka njia panda mwenzako, nampenda huyu mwanaume sungura 1980. Ananijali sana, ananipenda na ananivumilia kwa mengi sana. Pia katulia hajawahi nicheat, nifanyeje sasa?
Wewe nisikilize mimi hutojilaumu kuanzia kazi nitakupa ya ukweli na tabia za sungura1980 nitarithi zote na kuongezea za kwangu hapo nitkuwa nimemaliza na kama pesa hapa zipo damu ipo safi pia aaah mpaka raha mamy
Sasa mmmmh duh, halafu wewe mchaga eeeh?
Kwa nini tena kulizana makabila baby