Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima


nampa kila kitu shem lakini badoo may be unifundishe lugha ya ulimi labda atatuliaa
 
Last edited by a moderator:
Pole sana na hongera kwa uvumilivu.
Maana mimi naweza vumilia tabia zingine ila siyo ubazazi, ningejiondokea siku nyingi.
Ulipokuwa unaingia huko my wii nilikuina una roho ngumu hahahaaa

ahsante mwaego jaribu kumwambia ur kaka roho yangu ngumu ipo siku italainika
 

hajaacha my wiii ye na michepuko dam dam namvumilia maana usukumani kuachika aibu mnooo wacha nife tai shingoni

Mkuu Excel umeona?Shem wangu miss neddy alikuwa analalamika eti hujaacha michepuko ndio nikawa namuomba wife wangu Bantu lady ajaribu kuongea naye pengine kuna vitu unanyimwa vinavokufanya uchepuke!!

Mi nilijua umeacha lakini?Kwani bado unaendelea nayo?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kiwatengu nilikuwa mawindoni nimerudi na bunduki yangu, nimekosa mnyama, kuna hata swara hapa nitoe nukxi?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…