Naaaaam Iam here,nimetulizwa chumbani na shemeji yako Angelicious nakula raha jamani mtoto anjua mambo yuleDaudi1 where are u?
Naaaaam Iam here,nimetulizwa chumbani na shemeji yako Angelicious nakula raha jamani mtoto anjua mambo yule
Na wataoa roho kweli chezeeni mali za watu,watu wanainvest mioyo halaf nyie mnaleta za kuletaNiambie shost ulisema kule unataka utafute dawa ya nini tena?
Hebu tuwaite ila mimi kama naogopa ogopa hahahahaa wake zao wasije kututoa macho.
Ngoja nimuite mamy anavyonidekeza lazima atamtoa mtu damu humuPowa now siwaogopi wake zao, jenereta lako linakuja anasema tutamkoma hapa so usikae mbali mamii. Tujitayarishe na makombora ya Syria kabisa.
Wanahangaika tu walijiona dhahabu leo wamekuwa makopo ya maji yalyotumika wanatafuta waokotaji hahahahaa wamefulia vibaya ngoja niwahi kurudi baby hajala ananisubiri nirudi tule wote....mapenzi matamu jamani ukipatia penyewe
Hiyo mahususi kwa ajili yao naona wamepotea jenereta lenu nimekuja njooni Bantu lady na 'Valentina' come thisi wei puliziii iam here waiting yuuuu,sina mafuta ila mje na diesel msije mkaleta ya taaa nitashindwa kuoperete najua kwa mlivyofulia saizi yenu vibatari ndo vitawaka kwa hayo mafuta ya taa lakini kwa jenereta thubutuuuu!
Hiyo saizi yao mkuu walininyanyasa sana hasa huyu 'Valentina' alinikataa bado akawa ananizibia sehemu zingine eti anataka niwe hivi hivi mvua yangu jua langu wakati yeye ana mtu sasa sijui kapatwa na nini tenaaaa......hata huyu Bantu lady interview na katwa alizonipigisha eti kisa namtaka lol leo sasa sijui kimewapata nini nikimkumbuka rafiki yangu Rich pol alivyopata shida kwa ajili ya vishimo tu lol saizi havina soko wanavitembeza tena hahahahaha Rich pol kam this wei mai frendi uzisikilize hizi sheri hukukaka huu utani wa ukweli, ni mbaya usiwalize watoto wazuri bana
Hiyo saizi yao mkuu walininyanyasa sana hasa huyu 'Valentina' alinikataa bado akawa ananizibia sehemu zingine eti anataka niwe hivi hivi mvua yangu jua langu wakati yeye ana mtu sasa sijui kapatwa na nini tenaaaa......hata huyu Bantu lady interview na katwa alizonipigisha eti kisa namtaka lol leo sasa sijui kimewapata nini nikimkumbuka rafiki yangu Rich pol alivyopata shida kwa ajili ya vishimo tu lol saizi havina soko wanavitembeza tena hahahahaha Rich pol kam this wei mai frendi uzisikilize hizi sheri huku
Aaaah naye Rich pol mambo gani hayo mtoto amelegea kabisa ngozi soft huyooo jamaniii Rich pol usiniangushe bwana chukua mtoto huyo umtulize bwanandiyo maana umeamua kuwakandamiza mazima mkuu?
aisee sijui shida ni nini Honey Faith kaniambia Rich Pol kamwacha ati dah, rich kamlegeza afu kamwacha tena
Sungura1980 kaka umeniangusha kabisa ona mtoto anahangaika mtaani akitafuta part time ticha a.k.a wa tuition kwani kazi imekushinda? kama maji yamezidi unga sema wakusaidieeee.......Uran na mbwembwe zote za kutaka kwenda kujitambulisha holaaaa mbona mtoto anatangatanga kama mbwa a uswahilini aliyekosa matunzo anakula kula vya jalalani bwana? hebu acha hizo kama ulijiona hauwezi kazi ulingang'ania ya nini jamani ona watoto wanazagaa mtaani wakitafuta majenereta ina maana kwenu umeme si wa uhakika? watafutieni hata solar bwana kha!
hii waione 'Valentina' na Bantu lady
Anhaaa dah! Rich bwana hawa wanawake ndo walivyo huwa wanakuwa kama hawataki kumbe wanataka angemsitiri tu mtoto wa waturich sijuii alipatwa na nini? sema hata huyu mdada alimsumbua sana, thats why jamaa na yeye anampelekesha sasa