Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
Wewe ni Me au Ke?Mbona humu kila mtu na mtu mimi sina mtu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni Me au Ke?Mbona humu kila mtu na mtu mimi sina mtu?
Nilikuwa nakutafuta sana umemfanyaje yule mtoto anatia huruma na upweke huu
Sasa sikukusaidia kukuombea msamaha ukamwambia kuwa michepuo umeacha au unataka nimuite athibitishe? mimi nataka utulie ndo heshima ya mke hiyo,siku zote mwanamke muhuni anadharaulika kuliko mwanaume muhuni,tulia kwa mumeo hata mkila bamia si ni mumeo kikubwa umeridhika nisikusike tena ukitaka majenereta
Wewe ni Me au Ke?
Haahhaha wazima sisi Rich Pol, wewe je umepotea sana. Rafiki yako umeona alivyotapika huko juu?
Hebu mmbeleze mtoto mzuri yule bwana,anasema hakuelewi yeye amekubali anashangaa umepotea hebu rudi kwa kimwana umpunguzie baridiSijamfanya kitu mkuu ILA nilikuwa sielewi stuation, kisha tukajikuta tuko wawili nikimuuliza hajibu Sasa mkuu hata wewe utaelewaje?
Nimeona ila sina la kusema si unajua Dunia inazunguruka? Mambo mengine vipi? Aisee long time hajambo laazizi wako sungura1980 mna raha nyie.
Hahahaha uzuri wake mimi huwa hayanishindi nayashinda yenyew hapa najua unajiuma uma tu ili akija umzuge kwamba tulikuwa tunataniana sawa haina shidaWee hujui tu mimi nimetulia sana, ninayekaa naye mume wangu ndio anajua kiasi nilichotulia.
Wewe ukisikia hata tumetaniana umeshalidaka heee yatakushinda sasa oooh.
Hebu mmbeleze mtoto mzuri yule bwana,anasema hakuelewi yeye amekubali anashangaa umepotea hebu rudi kwa kimwana umpunguzie baridi
Mimi nakutengezea vizuri tena namlindia Sungura1980 si unaona umekuwa mpole hata hamu ya kwenda kwa sangoma kuchukua dawa umeahirisha si ulitaka kumuelekeza mwenzio yule naye namsubiri hapaHaahahahaa hajambo hubby wangu, kalala hapa. Ila huyo Daudi1 ndio anataka kunivunjia ndoa yangu.
Jamani mbona kwangu kasema alikubali ila wewe ndo umekataa eti umesema hautaki mke tena umeridhika kuwa single ngoja nimuiteMkuu jaribu kumuita yeye labda atakuambia maana mimi nilikuwa sielewi, najua unaongea nae vizuri na anakuheshimu atatoa msimamo wake kati yetu.
Haahahahaa hajambo hubby wangu, kalala hapa. Ila huyo Daudi1 ndio anataka kunivunjia ndoa yangu.
Heeee kijana vipi mimi nimeenda kumuita huko unaendelea kumuongelesha mke ya mtu huku,untaka kuwa jenereta? mumwe unamfahamu wewe?Lakini best kama jamaa amelala kwanini unamuumiza roho Mtoto wa mwanamke mwenzio? Hata gari ina tairi la akiba, umeme kizimika kwanini unapooza ndani? Mbona watu wanawasha generator? Msikirize basi.
Honey Faith njoo shemeji yangu mzuri umsikilize mwenzioSijamfanya kitu mkuu ILA nilikuwa sielewi stuation, kisha tukajikuta tuko wawili nikimuuliza hajibu Sasa mkuu hata wewe utaelewaje?
Heeee kijana vipi mimi nimeenda kumuita huko unaendelea kumuongelesha mke ya mtu huku,untaka kuwa jenereta? mumwe unamfahamu wewe?
Jamani mbona kwangu kasema alikubali ila wewe ndo umekataa eti umesema hautaki mke tena umeridhika kuwa single ngoja nimuite
Naona sazi amelala si unajua pale pao geti kali ila kesho lazima apite hapa maana ataenda tuisheni si unajua wako likzo wiki mbiliMtoto wa kike unajua tena ukikaa kimya anaona kama umempa jibu kamili, sijawahi kumtakia mkuu.
Naona sazi amelala si unajua pale pao geti kali ila kesho lazima apite hapa maana ataenda tuisheni si unajua wako likzo wiki mbili
Shemeji yako mzima kabisa nimetoka kumpa stata sasa imemchosha amelalaMuda huu atakuwa amelala mkuu, vipi shemeji yangu hajambo lakini?