Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Nilikuwa nakutafuta sana umemfanyaje yule mtoto anatia huruma na upweke huu

Sijamfanya kitu mkuu ILA nilikuwa sielewi stuation, kisha tukajikuta tuko wawili nikimuuliza hajibu Sasa mkuu hata wewe utaelewaje?
 
Sasa sikukusaidia kukuombea msamaha ukamwambia kuwa michepuo umeacha au unataka nimuite athibitishe? mimi nataka utulie ndo heshima ya mke hiyo,siku zote mwanamke muhuni anadharaulika kuliko mwanaume muhuni,tulia kwa mumeo hata mkila bamia si ni mumeo kikubwa umeridhika nisikusike tena ukitaka majenereta

Wee hujui tu mimi nimetulia sana, ninayekaa naye mume wangu ndio anajua kiasi nilichotulia.
Wewe ukisikia hata tumetaniana umeshalidaka heee yatakushinda sasa oooh.
 
Haahhaha wazima sisi Rich Pol, wewe je umepotea sana. Rafiki yako umeona alivyotapika huko juu?

Nimeona ila sina la kusema si unajua Dunia inazunguruka? Mambo mengine vipi? Aisee long time hajambo laazizi wako sungura1980 mna raha nyie.
 
Last edited by a moderator:
Sijamfanya kitu mkuu ILA nilikuwa sielewi stuation, kisha tukajikuta tuko wawili nikimuuliza hajibu Sasa mkuu hata wewe utaelewaje?
Hebu mmbeleze mtoto mzuri yule bwana,anasema hakuelewi yeye amekubali anashangaa umepotea hebu rudi kwa kimwana umpunguzie baridi
 
Nimeona ila sina la kusema si unajua Dunia inazunguruka? Mambo mengine vipi? Aisee long time hajambo laazizi wako sungura1980 mna raha nyie.

Haahahahaa hajambo hubby wangu, kalala hapa. Ila huyo Daudi1 ndio anataka kunivunjia ndoa yangu.
 
Last edited by a moderator:
Wee hujui tu mimi nimetulia sana, ninayekaa naye mume wangu ndio anajua kiasi nilichotulia.
Wewe ukisikia hata tumetaniana umeshalidaka heee yatakushinda sasa oooh.
Hahahaha uzuri wake mimi huwa hayanishindi nayashinda yenyew hapa najua unajiuma uma tu ili akija umzuge kwamba tulikuwa tunataniana sawa haina shida
 
Hebu mmbeleze mtoto mzuri yule bwana,anasema hakuelewi yeye amekubali anashangaa umepotea hebu rudi kwa kimwana umpunguzie baridi

Mkuu jaribu kumuita yeye labda atakuambia maana mimi nilikuwa sielewi, najua unaongea nae vizuri na anakuheshimu atatoa msimamo wake kati yetu.
 
Haahahahaa hajambo hubby wangu, kalala hapa. Ila huyo Daudi1 ndio anataka kunivunjia ndoa yangu.
Mimi nakutengezea vizuri tena namlindia Sungura1980 si unaona umekuwa mpole hata hamu ya kwenda kwa sangoma kuchukua dawa umeahirisha si ulitaka kumuelekeza mwenzio yule naye namsubiri hapa
 
Mkuu jaribu kumuita yeye labda atakuambia maana mimi nilikuwa sielewi, najua unaongea nae vizuri na anakuheshimu atatoa msimamo wake kati yetu.
Jamani mbona kwangu kasema alikubali ila wewe ndo umekataa eti umesema hautaki mke tena umeridhika kuwa single ngoja nimuite
 
Haahahahaa hajambo hubby wangu, kalala hapa. Ila huyo Daudi1 ndio anataka kunivunjia ndoa yangu.

Lakini best kama jamaa amelala kwanini unamuumiza roho Mtoto wa mwanamke mwenzio? Hata gari ina tairi la akiba, umeme kizimika kwanini unapooza ndani? Mbona watu wanawasha generator? Msikirize basi.
 
Heeee kijana vipi mimi nimeenda kumuita huko unaendelea kumuongelesha mke ya mtu huku,untaka kuwa jenereta? mumwe unamfahamu wewe?
 
Hapana sitaki Kuwa generator, namtania shemeji yangu
 
Jamani mbona kwangu kasema alikubali ila wewe ndo umekataa eti umesema hautaki mke tena umeridhika kuwa single ngoja nimuite

Mtoto wa kike unajua tena ukikaa kimya anaona kama umempa jibu kamili, sijawahi kumtakia mkuu.
 
Naona sazi amelala si unajua pale pao geti kali ila kesho lazima apite hapa maana ataenda tuisheni si unajua wako likzo wiki mbili
 
Muda huu atakuwa amelala mkuu, vipi shemeji yangu hajambo lakini?
 
Back
Top Bottom