Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Anhaaa dah! Rich bwana hawa wanawake ndo walivyo huwa wanakuwa kama hawataki kumbe wanataka angemsitiri tu mtoto wa watu
Hahahahaha yani umenichekesha balaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anhaaa dah! Rich bwana hawa wanawake ndo walivyo huwa wanakuwa kama hawataki kumbe wanataka angemsitiri tu mtoto wa watu
Kwani ukitajwa ndio lazima uje? Hakuna aliyekwita uje kuwa kenereta hapa, sisi tumetulia na waume zetu na tunapenda sana, tena tunawapenda.
Wewe fanya promotion ukimaliza utalala, bahati yako leo umetukuta na akili za mchana, subiri ziwe za usiku utajutraaaa.
Mwache Rich Pol aje aseme mwenyewe, mimi uliposhindwa ile interview nilimalizana nawewe siku ileile.
Ndiyo jamani unahitaji kusitiriwa ngoja niongee vizuri na best asikuache mtoto mzuri weweHahahahaha yani umenichekesha balaaa
punguza hasira shosti
Ndiyo jamani unahitaji kusitiriwa ngoja niongee vizuri na best asikuache mtoto mzuri wewe
Umejaribu kumueleza jinsi unavyomuhitaji? hebu tumia na ile mikogo ya kike basiii hakuna mkate mgumu mbele ya chai eeeAmesema hataki tena mke anataka awe single tu na ameniambia atakuwa hana madhara kwa wengine atakuwa teamrafiki
rich sijuii alipatwa na nini? sema hata huyu mdada alimsumbua sana, thats why jamaa na yeye anampelekesha sasa
Hahahaha unafikiri ukitajwa unakaa huko uliko lazima ufike eneo la tukio unapoitiwa,nimpromoti nani sasa wewe? niseme Bantu lady anahitaji jenereta au shida iko kwenye operation huwezi kuhudumia hilo jenereta ila,michepuo sio dili mbona Sungura1980 ni mtu mzuri sana mimi namfahamu kwani umekosa nini huko? unataka Rich pol aje aseme anahitaji kuwa jeneretaKwani ukitajwa ndio lazima uje? Hakuna aliyekwita uje kuwa jenereta hapa, sisi tumetulia na waume zetu na tunapenda sana, tena tunawapenda.
Wewe fanya promotion ukimaliza utalala, bahati yako leo umetukuta na akili za mchana, subiri ziwe za usiku utajutraaaa.
Mwache Rich Pol aje aseme mwenyewe, mimi uliposhindwa ile interview nilimalizana nawewe siku ileile.
Ndiyo jamani unahitaji kusitiriwa ngoja niongee vizuri na best asikuache mtoto mzuri wewe
Rich pol ulikuwa unampima au unampelekesha? kama ulimpima ukaona hamuendani uzito leo tena wa nini? muache apumue tulia kwa kalulu mbona yuko poa shida nini?Shemeji yangu nakuona tu unavyozidi kumpa kichwa Daudi1 mmmmh. Lakini kazi ya mwanaume si kumuhangaikia mwanamke?
Silumpelekesha kwa makusudi lazima nimpime kwanza.
Hahahaha unafikiri ukitajwa unakaa huko uliko lazima ufike eneo la tukio unapoitiwa,nimpromoti nani sasa wewe? niseme Bantu lady anahitaji jenereta au shida iko kwenye operation huwezi kuhudumia hilo jenereta ila,michepuo sio dili mbona Sungura1980 ni mtu mzuri sana mimi namfahamu kwani umekosa nini huko? unataka Rich pol aje aseme anahitaji kuwa jenereta
Jamani lol ulipendeza kuwa shemeji yangu,mtoto mpoleeee jamani kuna watu wanapishana na bahati,ilu utulie utapata mtu usiige tabia chafu sawa mtoto mzuriNimeishakubaliana na hali
Yote yenu umfikishie ujumbe mwenzio wote wale wale na tabia zile zile tulieni kwa waume zenu hapa nakuona mnafiki tu unamuita mahabuba wakati uko kusaka jenereta jamani Sungura1980 uko wapi mahabuba wako anaingia chaka akitoka huko ameshakuletea miba
Na kweli anakujua maana juz juzi hapa uliomba radhi kwa mumeo huyo huyo kuwa hautarudia michepuko nikasaidia kukuombea msamaha kwa hiyo unataka kuniambia huyo mumeo amekuzoea na tabia yako ya michepuo si ndiyo?Mmmh nakuona unavyojitahidi kutuchafua sisi na kujitahidi hasa kuwaambia waume zetu.
Ila kwa taarifa yako tu mume wangu hawezi niacha ng'oooo kwa hayo maneno yako coz ananijua tabia yangu vizuri.
Anajua kiasi gani nimetulia, wewe tu na roho yako.
Hakuna sehemu niliyosema natafuta jenereta.
Hata mimi sitaki uachike ila ubadili tabia za mwaka 47 eti bila kidumu mambo hayaendi maana ukiachika utahangaika mno kama hivi tu uko ndoani unahangaika je ukiachika itakuaje?Mmmh nakuona unavyojitahidi kutuchafua sisi na kujitahidi hasa kuwaambia waume zetu.
Ila kwa taarifa yako tu mume wangu hawezi niacha ng'oooo kwa hayo maneno yako coz ananijua tabia yangu vizuri.
Anajua kiasi gani nimetulia, wewe tu na roho yako.
Hakuna sehemu niliyosema natafuta jenereta.
Na kweli anakujua maana juz juzi hapa uliomba radhi kwa mumeo huyo huyo kuwa hautarudia michepuko nikasaidia kukuombea msamaha kwa hiyo unataka kuniambia huyo mumeo amekuzoea na tabia yako ya michepuo si ndiyo?
Sasa sikukusaidia kukuombea msamaha ukamwambia kuwa michepuo umeacha au unataka nimuite athibitishe? mimi nataka utulie ndo heshima ya mke hiyo,siku zote mwanamke muhuni anadharaulika kuliko mwanaume muhuni,tulia kwa mumeo hata mkila bamia si ni mumeo kikubwa umeridhika nisikusike tena ukitaka majeneretaMimi nikuambie unisaidie kuniombea msamaha hahahahaa.
Achana na hayo mambo Sungura1980 mimi ndio roho yake.
Namimi nimetulia sana sana, wewe ndio unanichafua.
Wewe ni best yangu na unanijua acha kujishaua hapa okay?
Nilikuwa nakutafuta sana umemfanyaje yule mtoto anatia huruma na upweke huu