Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Kwani ukitajwa ndio lazima uje? Hakuna aliyekwita uje kuwa kenereta hapa, sisi tumetulia na waume zetu na tunapenda sana, tena tunawapenda.
Wewe fanya promotion ukimaliza utalala, bahati yako leo umetukuta na akili za mchana, subiri ziwe za usiku utajutraaaa.
Mwache Rich Pol aje aseme mwenyewe, mimi uliposhindwa ile interview nilimalizana nawewe siku ileile.

punguza hasira shosti
 
Ndiyo jamani unahitaji kusitiriwa ngoja niongee vizuri na best asikuache mtoto mzuri wewe

Amesema hataki tena mke anataka awe single tu na ameniambia atakuwa hana madhara kwa wengine atakuwa teamrafiki
 
Umejaribu kumueleza jinsi unavyomuhitaji? hebu tumia na ile mikogo ya kike basiii hakuna mkate mgumu mbele ya chai eee
 
rich sijuii alipatwa na nini? sema hata huyu mdada alimsumbua sana, thats why jamaa na yeye anampelekesha sasa

Shemeji yangu nakuona tu unavyozidi kumpa kichwa Daudi1 mmmmh. Lakini kazi ya mwanaume si kumuhangaikia mwanamke?
Silumpelekesha kwa makusudi lazima nimpime kwanza.
 
Kwani ukitajwa ndio lazima uje? Hakuna aliyekwita uje kuwa jenereta hapa, sisi tumetulia na waume zetu na tunapenda sana, tena tunawapenda.
Wewe fanya promotion ukimaliza utalala, bahati yako leo umetukuta na akili za mchana, subiri ziwe za usiku utajutraaaa.
Mwache Rich Pol aje aseme mwenyewe, mimi uliposhindwa ile interview nilimalizana nawewe siku ileile.
Hahahaha unafikiri ukitajwa unakaa huko uliko lazima ufike eneo la tukio unapoitiwa,nimpromoti nani sasa wewe? niseme Bantu lady anahitaji jenereta au shida iko kwenye operation huwezi kuhudumia hilo jenereta ila,michepuo sio dili mbona Sungura1980 ni mtu mzuri sana mimi namfahamu kwani umekosa nini huko? unataka Rich pol aje aseme anahitaji kuwa jenereta
 
Shemeji yangu nakuona tu unavyozidi kumpa kichwa Daudi1 mmmmh. Lakini kazi ya mwanaume si kumuhangaikia mwanamke?
Silumpelekesha kwa makusudi lazima nimpime kwanza.
Rich pol ulikuwa unampima au unampelekesha? kama ulimpima ukaona hamuendani uzito leo tena wa nini? muache apumue tulia kwa kalulu mbona yuko poa shida nini?
 
Hahahaha unafikiri ukitajwa unakaa huko uliko lazima ufike eneo la tukio unapoitiwa,nimpromoti nani sasa wewe? niseme Bantu lady anahitaji jenereta au shida iko kwenye operation huwezi kuhudumia hilo jenereta ila,michepuo sio dili mbona Sungura1980 ni mtu mzuri sana mimi namfahamu kwani umekosa nini huko? unataka Rich pol aje aseme anahitaji kuwa jenereta

Unajua unanichafua bure hapa? Wewe hukua jenereta langu, mimi nawewe tulimalizana mapema baada ya kumpata mahabuba wangu Oooh. Hahaahaaa best umepagawa mpaka ukadhani ni mimi duh punguza mawenge bana
 
Yote yenu umfikishie ujumbe mwenzio wote wale wale na tabia zile zile tulieni kwa waume zenu hapa nakuona mnafiki tu unamuita mahabuba wakati uko kusaka jenereta jamani Sungura1980 uko wapi mahabuba wako anaingia chaka akitoka huko ameshakuletea miba

Mmmh nakuona unavyojitahidi kutuchafua sisi na kujitahidi hasa kuwaambia waume zetu.
Ila kwa taarifa yako tu mume wangu hawezi niacha ng'oooo kwa hayo maneno yako coz ananijua tabia yangu vizuri.
Anajua kiasi gani nimetulia, wewe tu na roho yako.
Hakuna sehemu niliyosema natafuta jenereta.
 
Na kweli anakujua maana juz juzi hapa uliomba radhi kwa mumeo huyo huyo kuwa hautarudia michepuko nikasaidia kukuombea msamaha kwa hiyo unataka kuniambia huyo mumeo amekuzoea na tabia yako ya michepuo si ndiyo?
 
Hata mimi sitaki uachike ila ubadili tabia za mwaka 47 eti bila kidumu mambo hayaendi maana ukiachika utahangaika mno kama hivi tu uko ndoani unahangaika je ukiachika itakuaje?
 
Na kweli anakujua maana juz juzi hapa uliomba radhi kwa mumeo huyo huyo kuwa hautarudia michepuko nikasaidia kukuombea msamaha kwa hiyo unataka kuniambia huyo mumeo amekuzoea na tabia yako ya michepuo si ndiyo?

Mimi nikuambie unisaidie kuniombea msamaha hahahahaa.
Achana na hayo mambo Sungura1980 mimi ndio roho yake.
Namimi nimetulia sana sana, wewe ndio unanichafua.
Wewe ni best yangu na unanijua acha kujishaua hapa okay?
 
Sasa sikukusaidia kukuombea msamaha ukamwambia kuwa michepuo umeacha au unataka nimuite athibitishe? mimi nataka utulie ndo heshima ya mke hiyo,siku zote mwanamke muhuni anadharaulika kuliko mwanaume muhuni,tulia kwa mumeo hata mkila bamia si ni mumeo kikubwa umeridhika nisikusike tena ukitaka majenereta
 
Back
Top Bottom