Wandugu. Ni nini kinaendelea hapa we
uran umemfanya nini mke wako? Na ni nani aliyehack hiyo akaunti yako.,?
ICHANA na wewe ni kwanini ulikubali kutongozwa na mtu baki? Wakati ni hivi majuzi umekuwa verified na mke halali wa bwana
Mokoyo?
Kama wengi mlivoshauri ni kweli tume hapa inahitajika
Mke wa
Arushaone hebu fanya mambo hapa.
Unda tume huru ya watu wa 4.
Wachunguze hili swala la uran ili kuinusuru ndoa yake.
Na
Valentina hebu kuwa mpole na itakupasa usubirie majibu ya tume.
Rich Pol anaweza kuwa mjumbe mzuri.
Pamoja na huyu kibo10.
Ili uchunguzi uwe wa huru, inabidi ndugu uran asitishe ushawishi kwa mkewe.
Shem
Bantu lady na mumeo
sungura1980 ni watu wanaoweza kuwa wajumbe wazuri.
Hii tabia ya kutongoza wake za watu inaudhi sana..
😡😡😡😡