Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Mimi nilikuwa home mda uran ananisumbua tna nabembelezwa na honey wangu...na nilimwonyesha ndo mana alitaka kumfanya kitu mbaya...

Ahaa! Kumbe hakukushika kabisa!?
Kwa sababu target si ilikuwa mbaya na nadhani alikuwa anataka utamu in a simple way.
Swali jingine..
Hakukupa pesa yoyote?.. tume itakuwa inapitia na majibu yako unayoyatoa hapa ili kusaidia katika upelelezi.
 
We mzuri, hata hapa naongea na wewe najikaza tu, ila mwili unanitetemeka.

Na hiyo ni moja ya sababu iliyonifanya nijitoe kwenye kamati huyu mtoto si mchezo anaweza fanya ushaidi kuvurugika muda wowote

Ushauri!

Mwenyekiti wa kamati hakikisha wajumbe wote wanaapa kwa imani zao bila hivyo kazi hamna.
 
Mmmmmh

Tell me wewe mzima??
Weekend hii ........
 
Na hiyo ni moja ya sababu iliyonifanya nijitoe kwenye kamati huyu mtoto si mchezo anaweza fanya ushaidi kuvurugika muda wowote

Ushauri!

Mwenyekiti wa kamati hakikisha wajumbe wote wanaapa kwa imani zao bila hivyo kazi hamna.

Ushauri mzuri sana huu kuna maswali nimemwuuliza hapo juu, yanaweza kutumika kama ushahidi pia.
 
Ndiyo mimi! Nakosa confidence kukuhoji kama mjumbe! Kazi ya kukuhoji nitamuachia Lady doctor na Kibo10 mimi nitashughurikia TCRA na kumhoji uran tu otherwise utanishawishi tu.

Vaa ujasiri mkuu kazi ifanyike..
Vipi maendeleo ya 'Valentina' ? Nimeaikia kamati imeamua akae hapo kwako.
Hope mambo ni mazuri lakini..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom