Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majangaz...
Umeonaee mke mwenza, ni lazima tuwe na msimamo. Mtu kama anaanza kuchepuka tunampaka hapahapa.
huku ni kuvunja taratibu za kamati asee..
ngoja yamkute sungura1980 utarudi tu hapa
Kila sekunde,kila dakika,kila saa,kila siku,kila wiki,kila mwezi,kila mwaka,mawazo,akili na moyo wangu uko kwako malkia wangu Bantu lady!Najivunia kuwa na wewe,mapenzi yako,unavyonijali,unavyonibebembeleza,chakula chako kitamu!Nakupenda,nakupenda barafu wangu,ua langu la moyo Bantu lady
Jamani kwa uchunguzi nilioufanya inaonekana tarehe 3/04/2014,,kuna mtu mwenye ip address 1.168.........alilogin kama uran akiwa Harare Zimbabwe,,na nilijaribu kufanya upelelezi kwa siku hiyo uran alikuwa Dar es salaam.Hivyo kuonyesha wazi pasipo na shaka kuwa kuna mtu alihack account ya uran!
Hata hivyo natoa onyo kali kwa @ Uran,kubadilisha password yake na kuhakikisha anaitunza vizuri,haya yasijirudie tena!Hata hivyo ili sio tamko la mwenyekiti!
Cc Valentina,,,, ICHANA,, uran,,, Lady doctor,,, kiwatengu,,, Bantu lady,, Mokoyo,,, Rich Pol,,, Kibo10,,, shansarie
Woow ahsante sana honey, mimi ni chizi kabisa wa mapenzi yako. Nimeshadata kabisa ninenasa siwezi toka.
Nakupenda sana.
why then? tatizo nini?
Best kama ni mume umempata shoga angu,mshukuru mungu kwa hilo.