Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Jamani kwa uchunguzi nilioufanya inaonekana tarehe 3/04/2014,,kuna mtu mwenye ip address 1.168.........alilogin kama uran akiwa Harare Zimbabwe,,na nilijaribu kufanya upelelezi kwa siku hiyo uran alikuwa Dar es salaam.Hivyo kuonyesha wazi pasipo na shaka kuwa kuna mtu alihack account ya uran!

Hata hivyo natoa onyo kali kwa @ Uran,kubadilisha password yake na kuhakikisha anaitunza vizuri,haya yasijirudie tena!Hata hivyo ili sio tamko la mwenyekiti!

Cc Valentina,,,, ICHANA,, uran,,, Lady doctor,,, kiwatengu,,, Bantu lady,, Mokoyo,,, Rich Pol,,, Kibo10,,, shansarie
 
Last edited by a moderator:
Kila sekunde,kila dakika,kila saa,kila siku,kila wiki,kila mwezi,kila mwaka,mawazo,akili na moyo wangu uko kwako malkia wangu Bantu lady!Najivunia kuwa na wewe,mapenzi yako,unavyonijali,unavyonibebembeleza,chakula chako kitamu!Nakupenda,nakupenda barafu wangu,ua langu la moyo Bantu lady
 
Last edited by a moderator:

Woow ahsante sana honey, mimi ni chizi kabisa wa mapenzi yako. Nimeshadata kabisa ninenasa siwezi toka.
Nakupenda sana.
 
Last edited by a moderator:

Mmmhh!!
 
Last edited by a moderator:
Best kama ni mume umempata shoga angu,mshukuru mungu kwa hilo.

Yaani ilikuwa bahati sana shost, na ile interview ilisaidia sana.
Ni mwanaume wa ajabu sana, katulia sana, hana tamaa zaidi ananiheshimu sana.
Mimi ni mtukutu kwake ila hajawahi kurudishia mpaka naogopa.
Waendeleaje lakini luv.
Valentina
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…