Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Hahaha hivi huu uzi kumbe umekuwa updated sikuona aisee
Bado hajaupdate maana kuna couple ambazo wameishaachana na wapo na watu wengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha hivi huu uzi kumbe umekuwa updated sikuona aisee
Bado hajaupdate maana kuna couple ambazo wameishaachana na wapo na watu wengine
Aaah! hakuna haja ya kumuita dawa ni kumtafutia bimdogo atakumbuka tu wajibu wake
Kama yangu aiondoe tu maana inanipa machungu tu nikiionaBado hajaupdate maana kuna couple ambazo wameishaachana na wapo na watu wengine
Anhaa hebu niitie ambaye hatapita ila vigezo na mashariti kuzingatiwa maana maisha yenyewe haya spana mkononi
Kama yangu aiondoe tu maana inanipa machungu tu nikiiona
Sijielewi kama tumeachana au hatujaachanaKwani mmeachana?ooooh too bad jamani
Haya kila la heri
Uuuuuufffffff, afadhari. Nilikuwa nafuatilia kwa mbaaali, nione mwisho wake.
sr bachelor umenikimbia kule kumbe uko huku ndo nin umelala na mkeo hata salam.hamna au mpaka kila siku akuanze ww kama ushapata pa kuchepuka na ww pia useme mana sikulewi
kiwatengu usione hapa
aisee means kila mwanaume wa kisukuma kwako. ni baby?
ni angela eeh...
aisee means kila mwanaume wa kisukuma kwako. ni baby?
ahaa...acha hizo wewe, unatak mke wangu aletre noma eeh