Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Ungeniona hapa yaani nakupigia makofi....nimeipenda hii....
Kipi kilichokufanya uipende?na makofi ya nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungeniona hapa yaani nakupigia makofi....nimeipenda hii....
mbaya ulimwagia sirini..
Heenh kitambo sana mjukuu wangu nategemea kutoka honey moon na mume wangu mpya sr bachelor hivi karibuni
kwani hata ninavyosema wewe hufurahii?
najua!! ila ndiyo hivyo tena kila mtu ana raha yake
si umeona sasa?
yeye akiwa against wewe unachukia
wewe ukiwa against yeye anafurahi.
oops!! mi siyo mchochezi hata kidogo
naona honey faith kakuweka kiti moto malika
leo jioni nitakuja basi..
we mkali bana, naona unakula vitu vitamu tu..
kwa raha zako..
Bahati mbaya kimeshapoa my love leo weekebd uwah kurud basi
we mkali bana, naona unakula vitu vitamu tu..
kwa raha zako..
mkuu kiwatengu sikufikii ww maana ww ni mkogwe
ntawahi mapemaa kabisa
mkuu kiwatengu sikufikii ww maana ww ni mkogwe
kiwatengu umedhamiria kabisa kunivunjia ndoa yangu ww nilipokua na babu yako Asprin sikukuona kusogeza maneno leo nimepata tulizo la roho naona umeamua kabisa kuvunja nyumba yangu ushindwe na ulegee na.upoteee usionekane lolacha kabisa haya mambo hayana ukongwe bana..
huyu wako mamaafacebook ni hatari sana, kabla hajawa wako niliwahi kukutana nae somewhere..
daah hii iwe siri tu coz if my wife get this ni mbayaa
so na wewe umeamua kupita sasa..