Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jenga ndoa yako juu ya mwamba imara.
haitatikisika kamwe.
acha kabisa haya mambo hayana ukongwe bana..
huyu wako mamaafacebook ni hatari sana, kabla hajawa wako niliwahi kukutana nae somewhere..
daah hii iwe siri tu coz if my wife get this ni mbayaa
Nimemis kutongoza eti some body nimtongoze kwa maneno matamu come this way
Ndo umekuja? hakikisha hauna mtu, au kama unaye hakikisaha hamiliki silaha(bunduki) akiwa na panga hamna shida tatzo ni hiyo nyingne kupona ni nadra sana maana kwa mistari hautachomoka😉😎😉😉😉😉
Ndo umekuja? hakikisha hauna mtu, au kama unaye hakikisaha hamiliki silaha(bunduki) akiwa na panga hamna shida tatzo ni hiyo nyingne kupona ni nadra sana maana kwa mistari hautachomoka
Anhaa hebu niitie ambaye hatapita ila vigezo na mashariti kuzingatiwa maana maisha yenyewe haya spana mkononiAhhhhha ahhhhha nilikua napita tu mie
Nimemis kutongoza eti some body nimtongoze kwa maneno matamu come this way
Hata hanijali nakuwa mpweke muda wote utafiri sina bwana, sssss............ mdomo umegoma hapaBaki njia kuu. Sema suu nimcc mtu hapa
Hata hanijali nakuwa mpweke muda wote utafiri sina bwana, sssss............ mdomo umegoma hapa
Muite tu aje hapa asikie haya ninayosema, nimekaa muda mrefu mpweke yeye wala hajali nahis kapata mwingine i'm so lonely some body for me puliziiHahahaa sema we si mwanaume bwana
Muite tu aje hapa asikie haya ninayosema, nimekaa muda mrefu mpweke yeye wala hajali nahis kapata mwingine i'm so lonely some body for me pulizii
Niseme naye nini yeye wajibu wake haujui? mara kadhaa nimejaribu kusema naye ila amepata mwingine toka nimerudi safari simuelewi tenaUmesema nae??
Niseme naye nini yeye wajibu wake haujui? mara kadhaa nimejaribu kusema naye ila amepata mwingine toka nimerudi safari simuelewi tena
Nimekuambia muite hapa na yeye asemeAisee pole ila tumesikia upande wako tu
Nimekuambia muite hapa na yeye aseme
Aaah! hakuna haja ya kumuita dawa ni kumtafutia bimdogo atakumbuka tu wajibu wakeMuite mwenyewe mi ataniuliza tangu lini mi nikawa msimamizi wa ndoa yenu??